ramani

  1. Sam Gidori

    JamiiForums Tanzania Fahamu: Nchi Zinazoitwa kwa Majina Tofauti na Yanayofahamika kwenye Ramani ya Dunia

    Zipo sababu nyingi za nchi kufahamika kwa jina lililopo, baadhi ya sababu hizo ikiwa ni pamoja na lugha ya asili ya wazungumzaji, wageni au wafanyabiashara waliofika katika eneo hilo, jina la mtu maarufu au eneo maarufu katika nchi hiyo nk. Hakuna sababu moja iliyosababisha kila nchi kupata jina...
  2. OMOYOGWANE

    JamiiForums Tanzania Ukikutana na Engineer yeyote hana kazi, mchongo wala ramani yoyote ya maisha tafadhali mpige makofi

    Mods sitaki mbadili title, Ktk watu ambao huwa wanaanza na idea ya kitu, wanakitathimini, wanatafakari na kupata picha halisi kabla idea hiyo haijafanyiwa kazi na kuwa kitu, basi ni hawa watu wanaoitwa maingineer. Fikiria daraja la kigamboni, fikiria daraja la ssalenda lile jipya linalopita...
  3. I

    JamiiForums Tanzania Ramani simple kwa wenye viwanja

  4. L

    JamiiForums Tanzania Tunatengeneza ramani za nyumba mbalimbali

    Ramani ya vyumba vitatu , chumba kimoja masta, sebule na choo cha kushea, Ukubwa wa Ramani ni mita 9/kwa mita9/...kupata Ramani yake tuwasiliane 0627571649.
  5. Hajto

    JamiiForums Tanzania Naomba ushauri kuhusu ramani hii

    Ramani hii kwa kiwanja chenye ukubwa wa urefu 15 na upana 11,je inaweza kufiti na pia kipi niongeze ama kipi nipunguze. Maoni yenu muhimu kwenye ili swala.
  6. B

    JamiiForums Tanzania Ramani ndogo ya nyumba inahitajika

    Vyumba viwili, kimoja master Dinning, sitting, jiko na public toilet Simu 0712464478
  7. Nivea

    JamiiForums Tanzania Iko wapi ramani ya mpango mji ya Mji wa Kigamboni?

    Habarini Wajanamvi Mimi ni mkazi wa Kigamboni kwa muda sasa nina 20 yrs katika wilaya hiyo. Kuna maswali mengi ambyo nimeshindwa kuyajibu kichwani kwangu. Ninaomba mwenye uelewa au kufikisha hili jambo kwa Waziri wa Ardhi. Si kawaida ya serikali kuona karibu namna ile kwenye ule mji.. Nahisi...
  8. SHEDEDE

    JamiiForums Tanzania Nahitaji ramani "simple and low cost" ya nyumba ya kuishi vyumba vinne

    Atakayeweka ramani nzuri nitamtaka anipe namba yake nimtumie laki anipe ramani kamili yenye vipimo nianze ujenzi. Nahitaji ramani ya nyumba ambayo haina kelele nyingi: vumba 4 viwili master, jiko na sebule. DESIGN yake iwe simple ili nitumie gharama kidogo. Atakayeweka na makisio ya gharama...
  9. Lord Denning

    JamiiForums Tanzania Rebranding Tanzania: Hongera Rais Samia, ni dhahiri Tanzania inaenda kuonekana kwenye ramani ya Dunia kiuchumi

    Amani iwe nanyi wadau! Leo napenda kuongelea kuhusu suala la program aliyoibuni Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ya kui rebrand nchi yetu na faida ya programu hii kiuchumi huko mbeleni. Kwanza kabisa napenda kutoa pongezi kwa Mama Samia na huu ubunifu wake. Kwa uzoefu wangu, nchi chache...
  10. SN.BARRY

    JamiiForums Tanzania Kwa ramani hii mkoa wa Chato utatokea wapi?

    Hebu tulinganishe ukubwa wa mikoa mbalimbali tushauri mikoa inayotakiwa kugawanywa.
  11. yettex

    JamiiForums Tanzania Ramani za nyumba bora

    Flyon architects tupo kwa ajili yako. Huduma zetu ni nafuu
  12. becknature

    JamiiForums Tanzania Ramani na ukadiriaji wa materials

    Hizi ni baadhi ya 3D view za design ambazo nimeziandaa, 1. Ina sitting room, three bedroom, guest room, study room, kitchen, store, public w/c Inachukua nafasi ya 222.65SQM. 2. hii ina masterbedroom moja,Two bedroom,study room,sitting room,kitchen,dining and public w/c. plot coverage ni...
  13. E

    JamiiForums Tanzania Ramani ya nyumba vyumba viwili kwa watanzania wakawaida

    Nimejitahidi kadri ya uwezo wangu naanda hii ramani ya nyumba ya vyumba viwili kwaajili ya watanzania wenye uchumi wa kawaida kama mimi. Unaweza kujionea hapa chini. Ila bado haijamalizika.
  14. EJOSMAT

    JamiiForums Tanzania Mtindo mpya wa ujenzi Tanzania hiden roof (contempolary)

    Contempo.(hiden roof) ni mtindo mpya wa ujenzi wa nyumba Tanzania lakini wengi wanaishia kupata hasara kwasababu wanajenga bila kua na michoro ya kitaalamu hivyo zinaishia kuvuja. Ili ujenge mtindo huu unatakiwa kwanza kuwasiliana na wataalamu wa ramani wakuandalie mchoro hutapata shida...
  15. Richard

    JamiiForums Tanzania Nchi za mabeberu wana Ramani zinazoonyesha maliasili ilipo Tanzania na nchi nyingine mbili. Wao wanaamini walitukabidhi tuwatunzie lakini si zetu

    Nchi za Tanzania, Angola na Congo DRC ni nchi muhimu katika mstakabali mapinduzi ya viwanda barani Ulaya na Marekani. Mwaka 2020 Uingereza walitangaza kuachana na magari yatumiayo mafuta ya diseli na petroli kufikia mwaka 2030 na wameazimia kuanza kutengeneza magari zaidi yatumiayo betri. Hata...
  16. becknature

    JamiiForums Tanzania Ramani na ukadiriaji wa matirio

    Kwa mahitaji ya ramani kwa gharama nafuu pia ukihitaji schedule of materials ambayo itakusaidia kwenye kufahamu idadi ya materials ya ujenzi wako, contact 0679851483/0754984819. Hii design in two bedrooms, na one masterbedroom,kitchen,dining,sitting room,store, design cover 11m x 12.5m. hii...
  17. Mwita Mtu Mrefu

    JamiiForums Tanzania Hivi ni kwanini Israel imeshindikana kufutika kwenye ramani ya dunia?

    Habari JF.. Hizi habari za israel kufutwa kwenye ramani ya dunia na maadui zake nimezisikia toka zamani sana. Hivi wanakwama wapi hawa wanaotaka kuifuta israel kwenye ramani ya dunia? Israel kazungukwa na maadui pande zote lakini bado anadunda. Je, wanakwama wapi?
  18. E

    JamiiForums Tanzania Kama una ramani haina vipimo na unahitaji vipimo ilete hapa utafutiwe vipimo ndani ya dakika mbili

    Habari wakuu, Baada ya kuhangaika kwa muda mrefu sasa nimepata ufumbuzi wa kuweza kujua vipimo vya ramani yoyote ile ambayo haina vipimo kwa haraka (express) ni zoezi la dakika mbili tu bila kuumiza kichwa. Basi kama una karaman hakana vipimo na alafu unahitaji vipimo vyake kalete hapa...
  19. Nyumba Nafuuu

    JamiiForums Tanzania Nyumba zaidi ya 30 za Kitanzania ambazo waweza chagua kujenga kulingana na bajeti yako

    Zifuatazo ni Aina Kadhaa za Nyumba za kuishi Familia ambazo waweza chagua kujenga kulingana na bajeti yako. Zipo ktk uwanja mpana wa STAILI, KIASI CHA KIWANJA, KIASI CHA VIFAA... Kutazama Ramani Zake za Ndani +255-657-685-268 WhatsApp 1 ==> vyumba 3, tofali 1700, bati 50 2 ==> vyumba 3...
  20. becknature

    JamiiForums Tanzania Ramani na makadirio ya material

    Hii ramani ina masterbedroom, two bedrooms, sitting room,kitchen, dining,store room, public toilet na ina urefu 12.25m x upana 13.05m. kwa mahitaji ya ramani, makadirio, ushauri na usimamamizi wa ujenzi contact 0679851483/0754984819.
Back
Top Bottom