GENTAMYCINE
JF-Expert Member
- Jul 13, 2013
- 56,586
- 108,939
Sasa nimeamini kwanini Boss wangu wa zamani na Kiongozi ninayemkubali Simba SC Mzee Ismail Aden Rage alisema kuwa Sisi wana Simba SC ni Mambumbu sana na hakika alikuwa sahihi Kutudhihaki kiasi kile.
Mnaacha kutuambia Kocha Mkuu anakuja lini, Usajili utakuwaje na kwanini Msimu huu tumetoka patupu mnatuhamisha Mawazo yetu ya Usununu (UIchungu ) kutupeleka katika Ujenzi wa Uwanja wa Awali wa Mazoezi ambapo hata Pesa zenyewe bado hazina uhakika wa kuwepo/ kupatikana kwa sasa.