Kiukweli Arusha ilinuka Mh. Polepole ulichelewa sana kumshauri Rais kama yule DC wa Mara

Pdidy

JF-Expert Member
Nov 22, 2007
50,956
22,148
Naomba nichukue muda kumshukuru. Mh rais kwa yale mazuri anayoendelea kufanya ikiwemo. Kutoangalia wanaokichafua chama. Na serikali yake.

Niweke wazi viongozi wa CCM mnaomsaidia mh raisi kama mtaacha dhana ya kujuana ama Kulindana mtamsaidia sana mh rais.

Nioongee machache kuna DC Mara alikuwa anatukana watu ofisini anafikia kuweka bastola bar tena bila aibu akilewa anajiita ndie raisi wa Mara mwenye kupiga kelele aongee.

Haifaii akaanza kulazimisha mahusiano na wake za wafanyakazi.

Hizi taarifa zilifika Lumumba siku nyingi sana.

Wanasema mkilea... Mtazaa.... Gafla akaanza kupambana na viongozi wa ccm mkoa na Wilaya.

Mh polepole alienda akambiwa yote na kurejea pale newmwanza kuelekea Dar.

Wakamwacha aendelee waliposhtuka chama. Kilikuwa icu mara ndipo wakamwodoa mh B. L.

Nirudi kwa mh Gambo

Sipendi kuongea ila ni huzuni kubwa sana Mh Polepole na timu yake wamekuwa Arusha muda mrefu mara kwa mara mh Polepole ameona sana zile vid za rc vs dc wakirushiana maneno.

Aitoshi naamini badomalengo yetu n maendeleo aijalishi mb n mpinzani mh gambo amekuwa akipambana sana na mh lema bila aibu hata kwenye mambo yanayohusu maendeleo.

Mh polepole niseme moja jambo kama mb atafanikkiwa kuleta wafadhili kuendeleza maendeleo ya mkoa tumuunge mkono tusiingize siasa kwenyw maendeleo

Mh Gambo niseme mlimlea sana mlimwacha akawa kama gugu la Misebo hata uwezi kumshauri.

Mh kaka polepole nafurahi kusikia uamuzi wa mh raisi niseme jambo moja msisubiri harufu zitoke mkiona mtu anaua chama mwondoen mapema tu.

Leo hii Arusha wanakula Bia bar zote asbh hii kama. Amwamini piteni na wanasherekea kuondka kwa Gambo hiii ni mbaya.

Msisubiri mtu akafikia level hii hasa RC anaemwakilisha mh raisi aipendezi.

Niombe muwe mnaratiba ya kupita kila. Mkoa kuangalia. Maendeleo na mahusiano ya chama. Na viongozi muweze kukilinda chama chetu palw. Mnapoona shida msichoke kumshauri mh raisi tule hapana tuondolee
 
Duuh ulivyo andika sasa ni shida aiseee,, we ni baniani au Muhindi ? Au mmasai ?? Samahani mkuu ila rudi kasome kiswahili vizuri
 
Pdidy,
Mwaka wa tatu huu nakuona na huu uandishi. Imefikia hatua wadau imebidi wakuzoee tu. Yaani kwa kifupi wewe ni moja ya watu wachache wale ambao mtu mmoja anailazimisha halaiki kukubaliana na udhaifu wake na kuamua kuishi nao bila shida.
 
Pdidy nakushauru tu, uandikapo pendelea kutumia herufi ndogo.
Herufi kubwa zitumike mwanzo wa sentensi, unapoandika majina ya watu, miji, nchi nk.
Unapoandika uzi mzima kwa herufi kubwa tupu unakuwa unatugombeza Kama tunavyogombezwa kwenye hotuba za Magufuli
hahahajaaampwaaaa paleee
 
Yaani mleta uzi huu, ninakushangaa kusema watu wanakunywa bia Arusha nzima yaani watu hawakwenda kanisani wala kwenye biashara zao?
 
Sasa bado RPC ili kuvunja mtandao wa Gambo. Nategemea IGP nae amuunge mkono Mh rais nae atengue uRPC wa bwana Shana. Maana nae kajisahau kwenye majukumu yake..
 
Mwisho Wa Siku ukweli utabakia nchi hii ni yetu wote hivyo ukipewa cheo heshimu wasio nacho.Ili ukitoka uendelee kuheshimiwa zaidi.

Ukitumia Mamlaka vibaya kuumiza watu..kutesa...kunyanyasa ukipigwa wanakuangalia wanacheka sana.

Hasa Kwa Vijana jiangalieni sana Gambo nadhani atakua amesaidia Vijana kuacha gogoro kazini.

Kama Gambo wanakunywa Pombe naamini Iko siku mmoja wa RC akitolewa watachinja kuku na bata tujiangalie sana madaraka hupita.
 
Back
Top Bottom