rais

  1. ngara23

    JamiiForums Tanzania UTABIRI: Ndejembi kuwa Rais wa awamu ya 7 kabla ya 2030

    Makamu wa Rais mteule ambaye anatarajiwa kuapishwa Leo aliyechukua nafasi ya Emmanuel Nchimbi aliyejiuzulu Mungu ameonionyesha kuwa kabla ya 2030 atakuwa Rais kamili Watu wa mtandao hawalali wako mbele ya muda, Rais awamu ya 7 anaandaliwa Sababu unaweza kuwa jambo letu la The Hague au...
  2. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania Uapisho: Rais Samia akishuhudia uapisho wa Ndejembi kuwa Makamu wa Rais

    Samia Suluhu Hassan, Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania akishuhudia uapisho wa Mhe. Deogratius John Ndejembi kuwa Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Ikulu Chamwino, Dodoma Agosti 29, 2026. https://www.youtube.com/live/NULnL3jSsg8?si=MU1qd7w89oG2L0Dw Hapa kuna nukuu ya...
  3. H

    JamiiForums Tanzania BUNGE LAMTHIBITISHA NDEJEMBI KWA ASILIMIA 100 UMAKAMU WA RAIS

    BUNGE LAMTHIBITISHA NDEJEMBI KWA ASILIMIA 100 UMAKAMU WA RAIS. ▪️Waziri Mkuu asema anatosha, kiti kimempata mtu sahihi wa kumsaidia Mheshimiwa Rais. BUNGE la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania leo (Ijumaa, Agosti 28, 2026) limemthibitisha Mheshimiwa Deogratius Ndejembi kuwa Makamu wa Rais wa...
  4. NYAQ

    JamiiForums Tanzania Mtazamo wangu kuhusu uongozi wa Rais Samia na siasa za Tanzania

    Kwa mtazamo wangu, uongozi wa Rais Samia una pande mbili tofauti sana: upande wa uchumi/maendeleo kuna mambo ya kupongeza, lakini upande wa demokrasia na siasa hasa baada ya uchaguzi wa 2025 kuna mambo mazito sana ya kuhoji. 1. Kwenye uchumi na maendeleo — kuna mafanikio Tanzania imeendelea...
  5. U

    JamiiForums Tanzania Rais kwa asiempenda anabadili any time, wananchi tusiempenda hatuwezi mtoa

    Narudia tena, Kwa Tanzania organization structure Iko hivi Mungu - Rais wa JMT/Rais - wengine Kiufupi kiutawala Tanzania , ukiacha Mungu alie Mbinguni, katiba yetu imetupa Mungu Binadamu ambaye ni Rais wa Tanzania. Ambaye kila mtu, raia, majengo, bahari, mahakama, bunge, jeshi, raia, ardhi...
  6. M

    JamiiForums Tanzania Wabunge wamepiga kura kumchagua au kumkubali Makamu wa Rais?

    Hivi wabunge wamepiga kura kumkubali Makamu wa Rais au kumchagua? Kulikuwa na uwezekano wa kumkataa kweli? Kama ni demokrasia kwanini Rais asingechagua majina matatu halafu wabunge wapige kura kumchagua mmoja? Mi naona Makamu wa Rais ameteuliwa, mambo ya kura za wabunge ni kiini macho tu. Ndio...
  7. Zack Abdul

    JamiiForums Tanzania Ufafanuzi wa Kisheria Uteuzi Makamu wa Rais na AG Johari

    Mwanasheria Mkuu wa Serikali Mhe. Hamza S. Johari akitoa ufafanuzi wa Kisheria kuhusu Uteuzi wa Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Bungeni Jijini Dodoma tarehe 28 Agosti, 2026. https://x.com/_zack255/status/2093349788511084748 👆🏾👆🏾👆🏾 Tazama Video yote hapo juu.
  8. R

    JamiiForums Tanzania Msafara wa Makamu wa Rais ukiondoka bungeni Dodoma

    Habari ndiyo hiyo.
  9. Zack Abdul

    JamiiForums Tanzania BUNGE LAMTHIBITISHA NDEJEMBI KWA ASILIMIA 100 UMAKAMU WA RAIS.

    Waziri Mkuu asema anatosha, kiti kimempata mtu sahihi wa kumsaidia Mheshimiwa Rais. BUNGE la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania leo (Ijumaa, Agosti 28, 2026) limemthibitisha Mheshimiwa Deogratius Ndejembi kuwa Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. Mheshimiwa Ndejembi amepitishwa kwa...
  10. 2

    JamiiForums Tanzania Mwinyi kuwa Rais 2030, Makamu wake ataendelea kuwa Deo Ndejembi

    Rais 2030 ni Dr Mwinyi, Makamu wake ni Ndejembi
  11. McLaren

    JamiiForums Tanzania Ndejembi apitishwa na Bunge kuwa Makamu wa Rais

    Wakuu Spika wa Bunge, Mussa Azzan Zungu ametangaza kuwa Deogratius John Ndejembi amepitishwa na Bunge kuwa Makamu wa Rais kwa kura 324 sawa na 100%, na kwamba aliongea na baadhi ya mabalozi wa nchi mbalimbali nchini na walimwambia wameridhika uteuzi huo. Ndejembi, alikuwa ni Mbunge wa Chamwino...
  12. The Palm Beach

    JamiiForums Tanzania Rais Ruto wa Kenya akiri serikali yake kuua waandamanaji GenZ 2024. Rais Samia na serikali yake wanaweza kuwa na ujasiri huu kwa mauaji ya 29/10/2025?

    Rais wa Kenya, William Ruto, amekiri kuwa kulikuwa na makosa katika namna Serikali ilivyoshughulikia maandamano ya vijana wa Gen Z mwaka 2024, akitambua maumivu yaliyosababishwa na vifo, madai ya kukamatwa kiholela, kutoweka kwa watu na matumizi ya nguvu kupita kiasi... Ruto ametoa kauli hiyo...
  13. Ndagullachrles

    JamiiForums Tanzania Jina la makamu wa Rais mteule latua bungeni

    Spika wa Bunge Mhe. Mussa Azzan Zungu (Mb) leo tarehe 28 Agosti 2026 amepokea jina la Makamu wa Rais Mteule lililopendekezwa na Kamati Kuu ya Chama cha Mapinduzi. Jina hilo limewasilishwa kwa Mhe. Spika na Katibu wa Rais Bal. Ali Jabir Mwadini akiwa ameambatana na Mpambe wa Rais (ADC) Brig...
  14. R

    JamiiForums Tanzania DR Congo: Rais Tshisekedi aita Mazungumzo ya Kitaifa kutuliza mivutano ya kisiasa, M23 wawekwa kando

    Rais wa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo (DRC), Felix Tshisekedi, ametangaza mpango wa kuanzisha mazungumzo ya kitaifa yenye lengo la kupunguza mvutano wa kisiasa nchini humo, ambao umeongezeka kutokana na muswada ambao wakosoaji wanadai unaweza kumuwezesha kutafuta muhula wa tatu wa urais...
  15. Jannatul Firdaus

    JamiiForums Tanzania Aomba Rais Samia amsaidie mtoto wake aliempatia jina la SAMIA

    "Ninaitwa Eza Ashindikene. Kwa sasa ninaishi Mkoa wa Pwani, Wilaya ya Mkuranga. Mwaka 2025, wakati wa uchaguzi Mkuu Tanzania, nilipata nafasi ya kuandika nyimbo kama msanii kwa ajili ya kuunga mkono harakati za kuwaombea kura wagombea wetu. Wakati huo nilikuwa na ujauzito wa miezi tisa. Mungu...
  16. AI tata

    JamiiForums Tanzania Watanganyika mnasahau sana. Miki bado nipo kwenye utabiri wa Sheikh Yahaya. Ile hatua ya baada ya Rais Mwanamke.......

    Hapa tupo shingoni, bado kichwa tu. Kama ni ng'ombe imebaki mkia tu kiwiliwili kwisha. Kwa kuwa serikali haziamini utabiri. Basi waamini hata political winds it blows. Tayari sio mpasuko tena ni pamde mbili tofauti, asilimia mia hakuna anayesapoti pande. Hata raia wamechoka. Ikifanyika...
  17. O

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Rais William Ruto aagiza uchunguzi wa vifo vya Waandamanaji wa Gen Z

    Rais William Ruto ameagiza uchunguzi huru na wa kina kuhusu vifo, madai ya utekaji nyara, kukamatwa kinyume cha sheria na matumizi ya nguvu kupita kiasi yaliyoripotiwa wakati wa maandamano ya Gen Z ya 2024 na yaliyofuata. Akizungumza wakati wa maadhimisho ya miaka 16 ya Katiba ya 2010 katika...
  18. Z

    JamiiForums Tanzania Makamu wa Rais wa Marekani JD Vance ana umri wa miaka 42, Makamu mteule wa Tanzania Ndejembi ana miaka 43.

    Nawashangaa wanao dai eti Makamu wa Rais ndg. Ndejembi bado kijana sana hivyo na fasi hiyo angeteuliwa mtu mzima aliye komaa. Sasa tuangalie kwenye Taifa kubwa kama Marekani, Makamu wake wa Rais JD Vance ana umri wa miaka 42 kijana kabisa. Ndugu Ndejembi ni kiongozi makini, mwadilifu na...
  19. F

    JamiiForums Tanzania Tetesi kuhusu makamu wa rais mfukuzwa Nchimbi hayupo Tanzania

    Tetesi nilizodaka toka kwenye vyombo vya usalama ni kwama Nchimbi hayupo Tanzania. Ametoweka kuogopa kutekwa Wanangu chimbeni na kufuatilia hili ili tuivue nguo CCM.
  20. Idugunde

    JamiiForums Tanzania Rais Samia hana watu wa kumuambia ukweli kuwa Wananchi hawampendi na hawataki awe rais wao?

    Hili ni swali la msingi sana kwa kiongozi yoyote yule duniani. Unaowatawala hawakutaki, wanakuona wewe ni fisadi na muuaji. Hakuna watu wa kukuambia picha halisi ya nini kinachoendelea? Kwa nini uchukiwe? Kwa nini ukae madarakani huku raia wakisema hukuchaguliwa na wananchi? Kwa nini ukae...
Back
Top Bottom