Rais mtarajiwa wa Uganda General Muhoozi Kainerugaba

Ngongo

Platinum Member
Joined
Sep 20, 2008
Posts
21,353
Reaction score
37,877
Heshima sana wanajamvi,

General Muhoozi Kainerugaba CDF wa Uganda Army Forces na ndiye Rais wa mtarajiwa wa Uganda baada ya Baba yake kuitawala Uganda kwa zaidi ya miaka 40.

General Muhoozi amekuwa akitoa kauli za hovyo hovyo dhidi ya mataifa mengine ikiwemo Kenya na Uturiki.

Kauli zake kama CDF zinamwonyesha kama kiongozi asiyetumia akili sawa sawa.

Najaribu kufikiri baada ya Baba yake Mzee Museveni kumaliza muula wake na yeye kukabidhiwa hatamu za uongozi hali ya usalama itakuwaje katika eneo lote la EAC !.

Ngongo kwasasa safarini Kampala
 
Rekebisha kiswahili,sio muula ni muhula.Ama kuhusu uturuki,wao wanataka nchi yao iitwe Turkiye
 
1779356512058.jpeg
 
Back
Top Bottom