Anawaendekeza sana chawa.Rais Amia amesema kuwa matumizi ya Jina Samia kulipa kwenye Jina la vitu limekuwa linajirudia rudia hadi haipendezi
Sugu alisema "Unakuwa Mpambe hadi Boss anakasirika".Rais Amia amesema kuwa matumizi ya Jina Samia kulipa kwenye Jina la vitu limekuwa linajirudia rudia hadi haipendezi
AliyemuelewaRais Amia amesema kuwa matumizi ya Jina Samia kulipa kwenye Jina la vitu limekuwa linajirudia rudia hadi haipendezi
Unadhani huwa yana aibu?!.Machawa wanajisikiaje?
Mnapenda saanaa kuabudu wazungu aisee..Nyie wakati wa Mkwawa au Kinjekitile mgetoswa majiniAmeanza kutafuta chaka la kujifucha. Hapa commonwealth kule EU na US, pale Nchi za shengeni/scandinavia.
Hilo sahihi kabisaSahihi Hata shimo la mavi vijijin nalo anatajwa Samia