rais

  1. Etwege

    JamiiForums Tanzania Rais anayekuja kazi yake kubwa iwe kurudisha nchi kwenye uchumi wa kati

    Benki ya dunia na IMF mwaka 2019 viliitangaza Tanzania kuingia uchumi wa kati baada ya maboresho makubwa ya kiuchumi yaliyofanywa na serikali ya awamu ya tano iliyokuwa ikiongozwa na hayati Magufuli na Makamu wake Samia. Serikali ya awamu ya tano ilifikia hayo mafanikio ya kuingiza nchi uchumi...
  2. Zack Abdul

    JamiiForums Tanzania Rais Samia kuongoza Ajenda ya Afya ya Uzazi Afrika UNGA

    Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Kinara wa Umoja wa Afrika wa Masuala ya Afya ya Uzazi, Mama na Mtoto, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan, anatarajia kuwaongoza Viongozi wakuu wa nchi Barani Afrika na Wadau wa Maendeleo kujadili na kuhamasisha uwekezaji katika afya ya uzazi, mama, mtoto...
  3. Robert Heriel Mtibeli

    JamiiForums Tanzania Nimeshangazwa sana; Watu wanaosema kuna Rais na serikali Haramu wakisema Hakuna mtoto Haramu

    NIMESHANGAZWA SANA; WATU WANAOSEMA KUNA RAIS NA SERIKALI HARAMU WAKISEMA HAKUNA MTOTO HARAMU. Anaandika, Robert Heriel Mtibeli. Nilileta mada hapa iliyozua mjadala mkubwa kuhusu mtoto haramu. Nilieleza kinaga ubaga kwamba Uharamu yaani jambo lisilo halali, kitendo kisicho halali, au matokeo...
  4. Zack Abdul

    JamiiForums Tanzania Rais Samia: Kukuza Biashara Tanzania-Marekani

    LEO KATIKA KUMBUKUMBU 📅 22 Septemba 2021 — Mkutano wa Biashara Tanzania na Marekani Tarehe 22 Septemba 2021, akiwa jijini New York, Marekani, Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan, alishiriki mkutano wa pamoja kati ya wafanyabiashara wa Tanzania na Marekani...
  5. R

    JamiiForums Tanzania Ràis Samia atuma Rambirambi kifo cha Mama Fatma Karume.

    Copy and paste Nimepokea kwa masikitiko taarifa ya kifo cha Mama yetu, Mama Fatma Karume, mjane wa Hayati Sheikh Abeid Amani Karume, Rais wa Kwanza wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, kilichotokeo leo tarehe 21 Septemba, 2026. Kifo chake ni pengo kwa familia na Taifa kwa ujumla...
  6. Zack Abdul

    JamiiForums Tanzania Pole kwa Rais Samia Kufuatia Msiba wa Mama Karume

    Mpendwa Mama Samia Shikamoo Mhe. Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. Mama wakati mwingine ninapotazama safari yako, najikuta nikijiuliza ni wapi msichana anayekaribia kukata tamaa anaweza kujifunza nguvu, uvumilivu na moyo wa kusimama tena na jibu ninaloliona ni kwako Mama Rais. Hakuna...
  7. Mkalukungone Mwamba

    JamiiForums Tanzania Kigwangala: 2015 niliamini ningekuwa rais mzuri wa kizazi chetu

    "Mimi nilikuwa kuwa mwanasiasa kijana machachari nimeingia bungeni nikaona kuna fursa ya kuomba ah nafasi ya kuwa rais wa jamhuri ya muungano wa tanzania..." "Mbali na kwamba ah ilikuwa ni haki yangu ya kikatiba nilikuwa na sifa zote lakini pili mimi ni mtu ninayependa kudhubutu.
  8. L

    JamiiForums Tanzania Taifa Ni Salama Mikononi Mwa Jemedari Hodari Rais Samia. Watanzania Tembeeni Vifua Mbeleeee na Laleni Bila Hofu Majumbani Mwenu.

    Ndugu zangu Watanzania, Watanzania Tembeeni Vifua Mbeleeee,Laleni bila Hofu, nendeni kokote kule mtakako ndani ya Taifa hili bila Hofu Wala Wasiwasi yoyote ile. Mkiwa na Imani na uhakika wa kuwa Mpo salama kabisa na Taifa letu lipo Salama Kabisa mikononi Mwa Rais Wetu Mpendwa na Jemedari wetu...
  9. Zack Abdul

    JamiiForums Tanzania CMAG Yamfariji Rais Samia, Yapigia Debe Ushirikiano Tanzania

    Jumuiya ya Madola kupitia Commonwealth Ministerial Action Group (CMAG) imetuma salamu za rambirambi kwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan, kufuatia kifo cha mume wake, Hafidh Amir Hassan. Katika kikao chake cha 74 kilichofanyika New York, CMAG ilifanya dakika moja ya...
  10. K

    JamiiForums Tanzania Mkuu WA JWTZ , IGP na mwenyewe Kingai ni wateule WA rais je kauli ya kusema wote wanataka Lisu akutwe na hatia haiwezi athiri hukumu?

    Wadau habari zenu, HIVI kauli ile ya Kingai mahakamani akimwambia lisu na lisu akaisema hadharani mahakamani mbele ya majaji hawezi kuwafanya majaji kushindwa kutoa hukumu Kwa haki wakizingatia kauli ya Kingai ndo kauli ya bosi wa mihimili yote. Au ndo hukumu tayari Wanasheria na wadau...
  11. Tlaatlaah

    JamiiForums Tanzania Jiji la Dar Es Salaam limejengeka zaidi katika kipindi cha awamu hii ya 6 chini ya Rais Dr.Samia Suluhu Hassan.

    Naona majengo makubwa na marefu ya makazi ya watu, kumbi za mikutano ya kitaifa na kimataifa, mahotel makubwa ya kimataifa na maofisi ni mengi sana ukilinganisha na wakati uliopita, hali inayoashiria kuimarika kwa uwekezaji na kushamiri kwa maisha na uchumi wa watu wa jiji la Dar Es Salaam...
  12. Mwizukulu mgikuru

    JamiiForums Tanzania makonda ndie rais ajae.....

    sote kwa pamoja tunaona utendaji kazi wa makonda, heko heko, ccm mbele kwa mbeleee....hawapumui wapinzani...ccm mbele kwa mbele....baada ya kumpata rais msukuma magufuri sasa ni zamu ya makonda..kijana kutoka mwambola katika wilaya ya misungwi, hekooooo hekooo
  13. polokwane

    JamiiForums Tanzania Asha rose migiro atuambie aliyekuwa makamu wa rais E.J.Nchimbi yupo wapi mana yeye ndiye alitutangazia kumvua uanachama.

    Tunahitaji jibu huyo mama atupe jibu
  14. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Makamu wa Rais Ndejembi aelekeza mgogoro wa Dampo la Pugu na mpaka wa Msitu wa Kazimzumbwi utatuliwe ndani ya siku 7

    Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Deogratius Ndejembi, amewaagiza Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu, Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (OWM–TAMISEMI), Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi na Waziri wa Maliasili na Utalii kufika ndani ya siku saba katika Dampo la...
  15. C0000-5068-428-1

    JamiiForums Tanzania Tuunge mkono Uongozi wa Rais Samia Suluhu Hassan, mipango na vipaumbele

    Tukiacha Mihemko, Ukiangalia Tanzania ya leo, kuna mambo mengi yanaendelea. Kuna miradi inajengwa, huduma zinaendelea kuboreshwa na mipango ya maendeleo inaendelea kuwekwa kwa ajili ya miaka ijayo. Hakuna mradi uliosinama Tukumbuke pia maendeleo ya nchi si jukumu la Serikali pekee. Sisi...
  16. Yoda

    JamiiForums Tanzania Dini rahisi mtu kwenda mbinguni ni Uislamu

    Katika dini rahisi kwenda mbinguni (kama ipo) kati ya dini kuu mbili basi ni Uislamu hasa kama una pesa au ni tajiri kwa sababu katika Uislamu maisha ya dini ni kama ligi ambapo kila jambo lina thawabu yake ambazo ni kama point. Ukikusanya point za kutosha unachukua kombe (kuingia mbinguni)...
  17. figganigga

    JamiiForums Tanzania Rais Trump kaipiga ban CNN, MSNOW/MSNBC kwa kinachodaiwa wanatoa taarifa Feki.. Kwamba hawafai kuaminika

    Donald Trump ametangaza kupiga marufuku CNN, MSNOW (zamani MSNBC), na Politico kutoka Ikulu ya White House, akinukuu "kuripoti kwao mara kwa mara HABARI FEKI." Aliishutumu Politico kwa ufisadi, akidai walipokea usajili wa "dola milioni 8" kutoka kwa utawala wa Biden ili kuwaweka "hai." Trump...
  18. L

    JamiiForums Tanzania Rais Samia Mgeni Rasmi Mkutano wa Kimataifa Wa Wabunge Wanawake Ukanda wa Maziwa Makuu November 2 Hadi 5 Mwaka Huu Ikiwa Atapata Nafasi

    Ndugu Zangu Watanzania, Rais wetu Mpendwa na Jemedari wetu kipenzi cha watanzania Mheshimiwa Daktari Mama Samia Suluhu Hasssan Mama wa shoka, chuma cha reli, shujaa wa Afrika,jasiri muongoza njia,nuru ya Wanyonge na nyota ya Matumaini. Anatarajiwa kuwa Mgeni Rasmi katika mkutano wa Kimataifa...
  19. Mshana Jr

    JamiiForums Tanzania Siku Tundu Lissu atakapokuwa rais

    Maneno ya Biblia takatifu yanatuasa tulinde vinywa vyetu kuliko kitu kingine kile... Maana yake ni kwamba maneno ni kama risasi hayana rivasi.. Ni vema sana kuwa na tafakuri kuu kabla ya kutamka lolote Matamshi ya Kingai leo kwa Lissu yamebeba mwangwi mkubwa na kuna siku yatamrudia maana...
  20. H

    JamiiForums Tanzania Ushauri kwa Rais: Epuka Doa Jipya

    Nani wa kumshauri Rais la kutojiongezea doa jingine. Kwa yale yaliyotokea 29 octoba inatosha kuwa fundisho kwake. Kumfunga Lisu kwa uhaini litakuwa ni doa jingine ambalo litamtesa na kumtengenezea kumbukumbu mbaya kwa kizazi kijacho. Atafananishwa na Ma Rais wengine hata pata wa kufanana nae...
Back
Top Bottom