rais

  1. Mshana Jr

    JamiiForums Tanzania Siku Tundu Lissu atakapokuwa rais

    Maneno ya Biblia takatifu yanatuasa tulinde vinywa vyetu kuliko kitu kingine kile... Maana yake ni kwamba maneno ni kama risasi hayana rivasi.. Ni vema sana kuwa na tafakuri kuu kabla ya kutamka lolote Matamshi ya Kingai leo kwa Lissu yamebeba mwangwi mkubwa na kuna siku yatamrudia maana...
  2. H

    JamiiForums Tanzania Ushauri kwa Rais: Epuka Doa Jipya

    Nani wa kumshauri Rais la kutojiongezea doa jingine. Kwa yale yaliyotokea 29 octoba inatosha kuwa fundisho kwake. Kumfunga Lisu kwa uhaini litakuwa ni doa jingine ambalo litamtesa na kumtengenezea kumbukumbu mbaya kwa kizazi kijacho. Atafananishwa na Ma Rais wengine hata pata wa kufanana nae...
  3. H

    JamiiForums Tanzania Makamu wa Rais Ndejembi atembelea ubalozi wa Tanzania, Vienna

    Tarehe 16 Septemba 2026 Mheshimiwa Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Deogratius John Ndejembi alitembelea Ubalozi na Uwakilishi wa Kudumu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Vienna. Wakati wa ziara hiyo, Mhe. Makamu wa Rais alisaini kitabu cha wageni, kupitishwa kwenye Ofisi za...
  4. Parabolic

    JamiiForums Tanzania Chalamila: Dar ni Chafu, Tulijisahau, Rais hakutuonea

    https://www.youtube.com/watch?v=4-CwMyWk3wk Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Albert Chalamila, amekiri kwamba Jiji hilo ni chafu, akisema Viongozi walijisahau kwa muda katika suala la usafi. Chalamila ameyasema hayo Septemba 17, 2026 mbele ya Waandishi wa Habari, akizungumzia hatua...
  5. H

    JamiiForums Tanzania Waziri Kombo amuwakilisha Makamu wa Rais kwa Rais wa Mfuko wa OPEC

    Mheshimiwa Balozi Dkt. Mahmoud Thabit Kombo, (Mb.), Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, alimwakilisha Mheshimiwa Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Deogratius John Ndejembi kwenye mazungumzo na Dkt. Abudlhamid Alkhalifa, Rais wa Mfuko wa Maendeleo wa OPEC...
  6. Zack Abdul

    JamiiForums Tanzania Rais Samia UNGA81: Afya Mama na Mtoto Afrika

    Tukutane New York!!!!!! Tanzania ikiendelea kuongoza juhudi za kuimarisha afya na ustawi wa mama na mtoto barani Afrika. Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan, Bingwa wa AU wa Afya ya Mama na Mtoto, atakuwa mwenyeji wa tukio la UNGA81 kuhusu - Malengo matatu...
  7. Zack Abdul

    JamiiForums Tanzania Rais Samia Aongoza Maadhimisho Miaka 60 ya Jeshi la Polisi

    LEO KATIKA KUMBUKUMBU 📌 17 Septemba 2024 — Maadhimisho ya Miaka 60 ya Jeshi la Polisi Tarehe 17 Septemba 2024, Rais Samia Suluhu Hassan akiwa Amiri Jeshi Mkuu, alihudhuria na kuongoza hafla ya kuhitimisha maadhimisho ya miaka 60 ya Jeshi la Polisi Tanzania, yaliyofanyika Shule ya Polisi...
  8. O

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Makamu wa Rais Kithure Kindiki Ahakikisha Uchaguzi Mkuu wa 2027 Utakuwa wa Haki na Uazi

    Makamu wa Rais wa Kenya, Kithure Kindiki, ametoa hakikisho kwa washirika wa maendeleo wa kimataifa na jumuiya ya kimataifa kuwa Uchaguzi Mkuu wa mwaka 2027 utakuwa wa haki, huru, na wa wazi bila ukiukaji wowote wa sheria. Akizungumza katika mkutano huo, Kindiki alisisitiza kuwa serikali iliyo...
  9. ChoiceVariable

    JamiiForums Tanzania Ndani ya Miaka 5 ya Uongozi wa Rais Samia,Tanzania Yaanza Kuzalisha Smartphone na Kutengeneza Ndege Ndogo

    My Take Kuna nyumbu watabisha na kuanza kutukana Walisema kibaraka anawania tuzo ya Mabeberu 😂😂 Kazi nzuri sana ya kuhuisha sera Bora za biashara na uwekezaji zimefanikisha wawekezaji wa ndani na Nje kuanzisha Viwanda vya kimkakati kama hivi. Ushauri wangu ni tununue "Made in Tanzania",Mimi...
  10. Zack Abdul

    JamiiForums Tanzania Laporta Atuma Rambirambi kwa Rais Samia

    Lapotra Atuma Salam za Rambirambi Kufuatia Kifo cha Mwenza wa Rais Samia Na Mwandishi wetu - MAELEZO Rais wa Klabu ya Barcelona FC, Joan Lapotra amemkabidhi Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, Mhe. Paul Makonda barua maalum ya rambirambi kwa ajili ya kumfikishia Rais wa Jamhuri ya...
  11. Zack Abdul

    JamiiForums Tanzania Rais Samia Azindua Hospitali ya Rufaa Kanda ya Kusini

    15 Septemba 2023 — Mtwara Mhe.Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan alizindua Hospitali ya Rufaa ya Kanda ya Kusini, iliyopo Mikindani, Mkoani Mtwara. Hospitali hiyo ililenga kuongeza upatikanaji wa huduma za matibabu ya kibingwa kwa wananchi wa Mtwara, Lindi na Ruvuma. Katika hafla hiyo, Rais Samia...
  12. Zack Abdul

    JamiiForums Tanzania Makamu wa Rais Ndejembi Vienna kwa Jukwaa la IAEA

    Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Deogratius Ndejembi akiongoza kikao cha Maandalizi cha Viongozi na Wataalamu mbalimbali kutoka Tanzania, wanaoshiriki Jukwaa la Kisayansi la Wakala wa Kimataifa wa Nguvu za Atomu (IAEA Scientific Forum) mara baada ya kuwasili Vienna nchini...
  13. Empty containers Tanzania

    JamiiForums Tanzania Diaspora ambao wamerudishwa nyumbani kutoka South Africa na Mh Rais , tuendelee kuwaunga mkono.

    Diaspora ambao wamerudishwa nyumbani kutoka South Africa na Mh Rais , tuendelee kuwaunga mkono.
  14. R

    JamiiForums Tanzania Rais Paul Kagame: Viongozi wanapokuwa madarakani na hawafanyi jambo sahihi, tunapaswa kuwa na ujasiri wa kusema

    Rais wa Rwanda, Paul Kagame, amesema uongozi bora barani Afrika unahitaji uhalali wa mamlaka katika ngazi ya kitaifa na bara, akisisitiza kuwa viongozi wanapaswa kuwajibika kwa namna wanavyotumia madaraka yao. Akizungumza katika mjadala wa jopo kwenye Africa Mindset Reset Forum iliyoandaliwa na...
  15. Zack Abdul

    JamiiForums Tanzania Rais Samia Azindua Mkakati Sensa 2022

    14 Septemba 2021 — Rais Samia kuzindua mkakati wa Sensa Tarehe 14 Septemba 2021, Rais Samia alizindua Mkakati wa Uelimishaji na Uhamasishaji wa Sensa ya Watu na Makazi ya mwaka 2022 katika Uwanja wa Jamhuri, Dodoma. Alieleza umuhimu wa Sensa katika kupata taarifa za idadi ya watu, makazi...
  16. Dennis Robert Shughuru

    JamiiForums Tanzania Nikiwa Rais patajengwa brand new city kwenye fukwe za pangani mfano wa goldcoast australia au miami

    Ukienda pangani ni moja ya sehemu zenye fukwe nzuri sana white sand beach but tatizo lilopo Pangani hakuna uwekezaji pako local sana Pangani pakiwekezwa na pakijengwa mfano wa goldcoast australia ua miami florida basi utakua ni mji mzuri sana na moja ya sehemu ambayo itavutia watalii wengi...
  17. ChoiceVariable

    JamiiForums Tanzania Tumemsikia Lissu akitoa Pole kwa Rais, Lakini Mbowe na Lema walipotoa Pole CHADEMA wamewashambulia; Kwanini wasimseme Mwenyekiti?

    My Take Nadhani kuna shida mahali Kwa nyumbu wengi wa Chadomo ambao wameshikiwa akili na Heche na Mange. Maboksi wao wameonesha utu hapa 👇 👇 https://www.instagram.com/p/DdPdRE-jKuC/?stkn=MXVlaW5mdDBqcjRrNg==
  18. L

    JamiiForums Tanzania Rais Mstaafu Jakaya Kikwete Atua Tabora kwa Ziara ya Siku 4 Kukagua Utekelezaji Wa Miradi ya Afya inayotekelezwa Chini Ya Taasisi Yake.

    Ndugu zangu Watanzania, Rais wetu Mstaafu wa Awamu ya Nne Mheshimiwa Daktari Jakaya Mrisho Kikwete Ameingia na Kutua Mkoani Tabora kwa Ziara ya kikazi ya Siku nne . Ambapo katika Ziara hiyo Atafanya ukaguzi Wa Utekelezaji wa miradi ya Afya inayotekelezwa Chini ya Taasisi yake ya Jakaya...
  19. M

    JamiiForums Tanzania Taifa lina haki ya kujua Makamu wa Rais mstaafu yuko wapi, kama amepotea atafutwe

    Mnaweza kudhani kuwa kutoonekana kwa makamu wa rais mstaafu ni jambo dogo mbele ya wananchi. Hili siyo jambo dogo hata kidogo. Kutoonekana kwake hadharani kunawafanya wananchi wajiulize maswali mengi sana, miongoni mwa maswali hayo ni, 1. Je yuko hai au amekufa? 2. Je nchi hii iko salama kiasi...
  20. mirindimo

    JamiiForums Tanzania Wachukua ruhusa na kujilipa per dm kwenda kumfariji rais (mfiwa)?

    Hii nchi aisee tuna kitu tutafika mbali….. mnajiandikiaje per dm , kujilipia nauli kwenda na kurudi ya kwenda kumfariji mfiwa ? Ndio ni rais lakini kafiwa na mume , mume hakua ameoa taifa wajameni !! Msitumie kodi zetu vibaya hivo
Back
Top Bottom