Uchaguzi 2020 CCM imefanya uhuni wa kuengua baadhi ya wagombea wa vyama vya upinzani. Uhuni huu umepitwa na wakati

Luthertz

JF-Expert Member
Mar 7, 2018
206
830
CCM imefanya uhuni wa kuengua baadhi ya wagombea wa vyama vya upinzani. Uhuni huu umepitwa na wakati. Wananchi kupitia vyama vyao vya siasa, wamechoka na uhuni huu.

Kwa wale ambao tunajua jinsi ambavyo mataifa mengi barani Africa yaliingia kwenye matatizo mazito sana, tuwaomba washauri wa Rais, mwambieni kwamba huko anakotaka kutupeleka ni giza nene.

Ndugu zangu, katika siasa, siku moja yaweza kuwa sawa na siku mia moja.

CCM na Mwenyekiti wake, mbinu za mwaka jana hazitofaa tena. Isitoshe, wananchi waliowengi, wameisha elimika.
 
Wameelimika ndio maana jana hawakuja zarkiemu kusikiliza upuuzi wa kuchangishwa hela.
Hawa ni kinanani si mnasema chadema imekuwa nyie
Mikutano yenu inajazwa na wasanii na malori
2500754_IMG-20200828-WA0117.jpg
FB_IMG_1598652781146.jpg
2500753_IMG-20200828-WA0152.jpg
 
Katika nchi hii..Kuna watu wawili mpaka umri huu watakuja kumbukwa na vizazi vijavyo,nawaapia mmoja ametangulia mbele za haki huyu alitengeneza Taifa moja lenye watu wenye umoja Bila kujali ukabila,ukanda,rangi nk hyu mwingine atakuja kumbukwa na vizazi vijavyo Kama hatabadilka kama mwaasisi wa kugawa nchi ktk vipande vipande ktk misingi ya itikadi ya uvyama,ukanda na ukabila. Nk.Mungu ingilia Kati shetani ashindwe katka nyakati hizi za mpito kuelekea kutugawa Watanzania!!!

Sent from my SM-G920F using JamiiForums mobile app
 
Kwao vita ni jambo la kawaida tu!
 
Yeye ndiye aliyetoa mwongozo huo. Ila hao wateule hawajui kikinuka wao ndiyo watabeba huo msalaba .
 
Wameelimika ndio maana jana hawakuja zarkiemu kusikiliza upuuzi wa kuchangishwa hela.
Acha kuleta utoto kwenye mambo ya msingi. Usidhanie wote tunuaishi kwa kutegemea mkate wa ccm. Wengine tuna biashara zetu nchi ikiharibika tunapoteza Mali zetu kwa ajili ya ujinga wenu wakuendekeza siasa za kishetani.
 
Bana choo mkuu, kisha meza mebendazole!
 
Katika nchi hii..Kuna watu wawili mpaka umri huu watakuja kumbukwa na vizazi vijavyo,nawaapia mmoja ametangulia mbele za haki huyu alitengeneza Taifa moja lenye watu wenye umoja Bila kujali ukabila,ukanda,rangi nk hyu mwingine atakuja kumbukwa na vizazi vijavyo Kama hatabadilka kama mwaasisi wa kugawa nchi ktk vipande vipande ktk misingi ya itikadi ya uvyama,ukanda na ukabila. Nk.Mungu ingilia Kati shetani ashindwe katka nyakati hizi za mpito kuelekea kutugawa Watanzania!!!

Sent from my SM-G920F using JamiiForums mobile app
Magufuli ni rais wa wanyonge.

Mtanzania usiwe bwege ukakubali kuitwa mnyonge.
 
Hao pimbi wa Lumumba wanajifanya Hawaoni hilo nyomi
vijana ambao tulifikiri watakuwa makini kuchambua sera za wagombea na ilani zao for the next 5 years, Ndio Hao Hao wako mitandaoni kubishana nani kajaza uwanja...Smh, Tuna safari ndefu sana fam. Tuko kishabiki zaidi dizaini ya simba na yanga!!

Tusiwe na ushabiki wa kijinga kama vijana wa ccm, nyomi haina tija kama sera zikiwa za kipuuzi kama za jamaa yetu wa kununua mandege kila siku.
 
CCM imefanya uhuni wa kuengua baadhi ya wagombea wa vyama vya upinzani. Uhuni huu umepitwa na wakati. Wananchi kupitia vyama vyao vya siasa, wamechoka na uhuni huu.

Kwa wale ambao tunajua jinsi ambavyo mataifa mengi barani Africa yaliingia kwenye matatizo mazito sana, tuwaomba washauri wa Rais, mwambieni kwamba huko anakotaka kutupeleka ni giza nene.

Ndugu zangu, katika siasa, siku moja yaweza kuwa sawa na siku mia moja.

CCM na Mwenyekiti wake, mbinu za mwaka jana hazitofaa tena. Isitoshe, wananchi waliowengi, wameisha elimika.
ipo ingine mbaya kuliko zote, hiyo si ingine bali ni NECCCM kuwa na matokeo ya Urais mifukoni, kwa Lugha ingine ni kwamba mtukufu magufuli akichaguliwa asichaguliwe na wapiga kura lazima NECCCM itamtangaza mtukufu kuwa mshindi kwa nguvu zote bila kujali wala kusikiliza chochote tokea kwa wapinzani na wananchi.
 
Hii style mpya ya kishetani ya eti kapita bia kupingwa wakati waliompinga wapo ni style ya kishetani kweli kweli
 
Back
Top Bottom