rais

  1. Dar: Madaktari wamuangukia Rais Magufuli, amwaga ajira 1,000 za Madaktari, aelezea alivyozimia siku mbili mbele ya Zainabu

    Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. John Pombe Magufuli tarehe 20, Febuari, 2020 anazungumza na Madaktari pamoja na watumishi wa Sekta ya Afya katika Hafla Maadhimisho ya Siku ya Madaktari Nchini inayofanyika katika Ukumbi wa Kituo cha Mikutano cha Kimataifa cha Mwalimu Julius Nyerere...
  2. Rais Magufuli mtumbue Bosi wa TTCL anaihujumu kampuni

    Shalom, Niende moja kwa moja kwenye mada. Mh Rais tunaomba umtumbue boss wa TTCL haiwezekani tangu apewe uongozi mwaka 2016 mpaka leo kampuni ipo ovyo. Kampuni haijiongezi na pia huyo boss sio mbunifu kabisa. Yaani 52% wa watumiaji wa TTCL hawajui menyu ya kuangalia salio ipoje. Kampuni haina...
  3. B

    Makamu wa Rais, Mama Samia: Wapinzani wana hoja nzuri, zisizojibiwa na Mawaziri

    February 17, 2020 FULL HISTORIA YA MAMA SAMIA Mama Samia anakubali hoja nzito za wapinzani, nilikataa pendekezo la kuwa Makamu wa Rais Makamu wa Rais wa serikali ya Muungano wa Tanzania Mama Samia Hassan Suluhu asema kilichomsukuma kuingia katika siasa ni maoni na hoja za mashiko za...
  4. Barua ya wazi kwa Mheshimiwa Rais Dr. John Pombe Magufuli

    Habari Mh rais Dr John Pombe Joseph Magufuli, Pole kwa majukumu mazito ya nchi kwa maana ya kitaifa na kimataifa kwa ujumla. Awali ya yote tunatoa pongezi za dhati kabisa kwa serikali yako ya awamu ya tano, chini ya uongozi wako kwa kazi nzuri ulizozifanya na unazoendelea kuzifanya katika...
  5. Rais Magufuli, fanya mabadiliko Jeshi la Polisi

    Mh Rais wewe kama Amiri Jeshi Mkuu huu ndio wakati kulifanyia mabadiliko Jeshi la Polisi. Liwe jeshi la kisasa ambalo lina askari wenye weledi na maadili. Fanya mabadiliko liwe Jeshi la kulinda raia na mali zao na sio jeshi la kulinda watawala (legacy iliyoachwa na wakoloni). Fanya mabadiliko...
  6. J

    Waziri Lukuvi atekeleza agizo la Rais Magufuli, aikabidhi Halmashauri ya Kigamboni ekari 715 za ardhi

    Waziri wa ardhi mh Lukuvi leo ametekeleza agizo la Rais Magufuli kwa kuikabidhi halmashauri ya Kigamboni ekari 715 zilizokuwa za Quality group iliyozimiliki kupitia International Village ltd. Rais Magufuli alitoa siku 7 kwa Waziri Lukuvi awe ameikabidhi ardhi hiyo kwa halmashauri ya Kigamboni...
  7. J

    Kwa niliyoyashuhudia ibadani Kenya ni sahihi kabisa alichofanya Rais Magufuli kuzuia mikutano holela ya kisiasa hadi wakati wa kampeni

    Jana nimebahatika kuhudhuria ibada katika Kanisa moja pale Mtwapa katika pwani ya Kenya, ama kwa hakika ibada iligeuka kuwa " kama" mkusanyiko wa wanasiasa. Watu wanazungumzia nani awe Rais wa Kenya baada ya Uhuru kanisani wakibishana juu ya William Rutto, Raila Odinga na Gideon Moi...
  8. T

    Suala la wastaafu kutolipwa kiinua mgongo(Pensheni) kwa wakati

    Katika biashara yangu ya ujasiriamali nimetokea kuwakopesha sana walimu na hivi karibuni nilikopesha walimu wanaokaribia kustaafu na wamekuwa wanastaafu lkn hawalipi rejesho. Sasa katika hawa niliowakopesha nimewauliza mbona Rais aliwahi kutoa maelekezo penshni zisichelewe inakuwaje? Majibu...
  9. Rais wa Senegal asema nchi hiyo hairuhusu ushoga

    RAIS wa Senegal Macky Sall ametetea hatua ya taifa lake kupiga marufuku mapenzi baina ya watu wa jinsia moja, wakati wa ziara ya Waziri Mkuu wa Canada Justin Trudeau. Mataifa 28 kati ya 49 yaliyoko Kusini mwa janga la Sahara yameweka sheria zinazopiga marufuku shughuli kama vile ushoga na...
  10. R

    Natarajia kufungua shauri la kikatiba kuhusu Ibara ya 46(3) Inayoenda kinyume na ibara 13(1) katika mahakama Kuu ya Tanzania

    Habari wanabodi? Heri ya siku ya wapendana nao. Ni matumaini yangu kwamba wote hamjambo humu ndani. Kama kichwa cha habari kinavyojieleza hapo juu. Ni kwamba mwishoni mwanzoni mwa mwezi wa tatu natarajia kupeleka Shauri mahakama kuu ya Tanzania kuhusu uhalali wa Ibara ya 46(3) ya Katiba ya...
  11. Uchumi wa Serikali ya Rais Magufuli kichekesho cha karne

    Aliingia madarakani mwaka 2015 na kwa mjibu wa TRA toka kipindi icho anakusanya 1.3 trion *50 miezi aliyokaa madarani. amekusanya trion 65. Na kakopa zaidi ya trion 25 jumla ni trion 90 Wakati huo. Kapunguza mikopo ya watoto chuo kikuu, wanafunzi bado wanakaa chini, ajira za walimu hakuna...
  12. S

    Walinzi wa Kenya na Rwanda watifuana kwenye mazishi ya Rais Moi

    Wadau wa maswala ya intelijensia hii kitu imekaaje? Hakukuwa na coordination kati yao? ========== Rwandan President Paul Kagame’s arrival at the Nyayo Stadium to attend the national prayer service for the late former President Daniel Moi was marked with chaos. A video posted by the Daily...
  13. Madini aliyotema Rais Magufuli kwa waathirika wa mafuriko huko Lindi

    Haya ndiyo madini ya ukweli aliyotema Rais Magufuli kwa waathirika wa mafuriko huko Lindi kama alivyonukuliwa ----- Watanzania tumejenga kwenye mikondo ya maji haizibi, mvua ikija kuwachukua mnapiga kelele ni mafuriko, mnajifurika wenyewe, mlima upo hutaki kujenga unakwenda kujenga kwenye...
  14. R

    Rais Magufuli jitahidi uache uvunjaji wa sheria! Let justice take its natural course!

    Inawezekana kweli ametenda kosa kuchana Qurani, amewaudhi wengine, Lakini 1. Kuna taratibu tumejiwekea za kushughulka na watu kama hao wanaoamsha hasira za wengine! Uliapa kulinda katiba na sheria zitokanazo na katiba hiyo. Kunatartibu! Wewe huna mamlaka ya kisheria kumwajibisha. Mihemko ya...
  15. Rais Magufuli amfukuza kazi Mtumishi wa Serikali aliyechana Juzuu Amma huko Kilosa

    Rais Magufuli akiwa leo anazindua Jengo la Manispaa na Ofisi ya Mkuu wa Wilaya Kigamboni amemsifu Waziri Jafo kwa kumsimamisha kazi lakini amesema yeye amemfukuza kabisa. Amesema "Juzi nilimsikia Waziri Jafo, Mtu mmoja kule Kilosa nafikiri alichana Kitabu Kitabu Kitakatifu. Nashukuru ulichukua...
  16. J

    Mzee Mkapa awasilisha salamu za Rais Magufuli kumuaga Mzee Moi, asema alikuwa 'mentor' wake

    Rais mstaafu mzee Mkapa amesoma salamu za rambirambi kutoka kwa Rais Magufuli katika msiba wa Mzee Moi. Mzee Mkapa amesema yeye binafsi amefanya kazi na Mzee Moi kwa miaka 7, akiwa na Rais na mzee Kikwete aliyekuwa Waziri wa Mambo ya Nje. Mkapa amesema Rais Magufuli amewatuma wao wawili kama...
  17. J

    Waziri Jafo: Kuna watu wanadhani watakaoingia mbinguni ni wale wanaosali sana kumbe watenda kazi kama Rais Magufuli wataenda peponi!

    Nakubaliana kabisa na kauli hii ya mh Jaffo kwamba Rais Magufuli atakwenda peponi kutokana na kujitoa kwake kwa hali na mali katika kuwatumikia wananchi wanyonge. Hata Yesu alisema si kila amuitaye Bwana....Bwana ataingia katika ufalme wa mbinguni bali wale wayatimizayo mapenzi ya Mungu. Mh...
  18. Uzinduzi Wilaya ya Kigamboni: Rais Magufuli anazindua Jengo la Manispaa na Jengo la Mkuu wa Wilaya

    Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. John Pombe Magufuli tarehe 11, Febuari, 2020 anazindua Jengo la Manispaa ya Kigamboni na Jengo la Mkuu wa Wilaya ya Kigamboni katika Eneo la Gezaulole Kigamboni Jijini Dar es Salaam Rais Magufuli akikata utepe wa uzinduzi wa Jengo hilo...
  19. Gazeti la The Economist: Rais Magufuli na CCM kuendelea kushika madaraka baada ya Uchaguzi Mkuu

    INTELLIGENCE UNIT ni sehemu ya kitengo ndani ya Gazeti la The Economist ambacho hufanya uchunguzi na utafiti wa kisiasa na kiuchumi kwa nchi mbali mbali duniani na kutoa matokeo au matarajio. Kitengo hiki cha kiuchunguzi kina wafanyakazi wabobezi zaidi ya 100 duniani ambao hutoa tafiti na...
  20. Kiukweli Rais Magufuli ndio mwanasiasa pekee Tanzania aliyeanza moto na anamaliza miaka mitano moto bila kupoa

    Moto alioanza nao ndio anamaliza nao. Kuna watu tulidhani pumzi itakata katikati ya safari ila hilo halijaonekana. Ameanza kwa kuogopwa na anamaliza kwa kuogopwa. Hili nililithibitisha siku amezushiwa kufariki mitandani, Kuna jamaa mmoja mtumishi wa Umma alishukuru akasema afadhali aondoke...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…