rais

  1. Rais Kenyatta atoa onyo kwa Somalia, ataka nchi hiyo kuacha kuichokoza Kenya

    Rais Uhuru Kenyatta wa Kenya ameionya serikali ya Somalia kuacha uchokozi wa mara kwa mara dhidi ya Kenya. Onyo lake linajiri siku moja baada ya wakazi wa Mandera kulazimishwa kutoroka makazi yao baada ya ghasia zilizozuka kati ya wanajeshi wa Somalia dhidi ya wanajeshi wa eneo la Jubaland...
  2. Ole Sabaya anawafundisha vijana wengine nchini kwamba siasa bora ni siasa za kimafia

    Mh Rais magufuli mfano mbaya anaoutoa SABAYA kwa vijana wengine nchini huku ukiangalia bila kumchukulia hatua ni Jambo baya Sana. SABAYA anatenda Mambo ya kihuni hachukuliwi hatua siku vijana wengine WAKIMWELEWA itakuwa balaa kubwa Sana. Wakati nyerere aliwa groom wanasiasa Bora na kuliachia...
  3. Rais Magufuli aitikia wito wa maridhiano wa Mbowe, leo akutana na viongozi waandamizi wa vyama pinzani

    Ni dhahiri kuwa Mbowe na Chadema wamezichanga na kuzicheza karata zao vyema sana. Kitendo cha Mbowe kutamka hadharani umuhimu wa maridhiano kati ya serekali na wapinzani kililenga ku draw attention ya sympathizers wa mustakabali wa mwenendo wa kisiasa na utawala bora hapa nchini. Sympathizers...
  4. Z

    Agizo la Rais juu ya taasisi za Serikali kupewa kazi za ushauri liliishia wapi?

    Rais anaposonga mbele, aliyoagiza nyuma yanasahaulika. Muongozo ulitolewa na serikali ya awamu hii ikiwa ni pamoja na ofisi za serikali kuhamia majumba ya serikali, mikutano kufanyika nyumba za serikali, kazi za ushauri kufanywa na taasisi za serikakali. Nionacho ni mapambano kati ya tabia za...
  5. Rais wa Guinnea-Bissau ajiuzulu urais baada ya kukaa madarakani kwa siku moja tu

    Cipriano Cassama, ambae alichaguliwa kuwa Rais wa muda (Interim) wa Guinnea-Bissau amejiuzulu wadhifa wake kama rais baada ya kukaa madarakani kwa siku moja tu (1 day at office). Inaelezwa kuwa Cassama amestaafu kwasababu za kiusalama zaidi baada ya kuapishwa ndani ya siku moja. "Rais wa muda...
  6. GE2020 Rais Magufuli heshimu maamuzi ya wananchi kupitia sanduku la kura kwenye Uchaguzi Mkuu mwishoni mwa mwaka huu

    Miongoni mwa mambo yanayowatia sana wasiwasi wananchi katika kipindi hiki ni Uchaguzi Mkuu unaotegemewa kufanyika mwishoni mwa mwaka huu. Ingawa Rais Magufuli umetoa uhakikikisho kwa Jumuiya ya kimataifa kuwa uchaguzi wa mwaka huu utakuwa huru na haki, lakini maneno na vitendo vya viongozi...
  7. J

    Maseneta wa Ufaransa wampongeza Rais Magufuli wasema ni kiongozi mwenye maono barani Afrika

    Kiongozi wa maseneta wa Ufaransa waliopo nchini kujionea shughuli za maendeleo hasa mipango miji na miundombinu wamempongeza Rais Magufuli na serikali yake. Kiongozi huyo amesema Rais Magufuli ni kiongozi mwenye maono na bara la Afrika linapaswa kujivunia. Ujumbe huo wa maseneta 8 wa Ufaransa...
  8. Miaka 5 ya utawala wa Rais Magufuli ametengeneza Serikali ya kishikaji kuliko Kikwete

    Kikwete alilipa bunge meno ili kuikalipia serikali kila wakati inapofanya ndivyo sivyo, kikwete alifika wakati akawatumbua washikaji zake kama Kagasheki, Lowassa, Nchimbi na Tibaijuka na wengine kibao. Magufuli toka ameingia madarakani Paul Makonda, Dotto James wametuhumiwa ila hajachukua hatua...
  9. Wananzengo tuingie "field" kuusaka ugomvi binafsi kati ya Rais Magufuli na Benard Membe

    Tuingie field kwa kigezo kimoja tu "Urais ni taasisi" "Urais wa nchi ni jambo linalomuhusu kila mwananchi" Hawa watu abadan wana ugomvi binafsi tena unafukuta kwelikweli. Kila mmoja hana amani na mwenzie. Facts ni hizi hapa. 1. Magufuli alipopata ridhaa ya kuongoza CCM kuwania urais wa JMT...
  10. Mazungumzo kati ya rais Putin na Erdoğan baada ya shambulizi la Idlib

    Rais wa Urusi Azungumza na rais Erdoğan kufuatia shambulizi dhidi ya jeshi la Uturuki na kusababisha maafa. Urusi na Uturuki zavunja ukimya baada ya shambulizi lililowalenga wanajeshi wa Uturuki Idlib na kupelekea vifo vya askari 33 wa Uturuki. Waziri wa Urusi wa mambo ya je Sergey Lavrov...
  11. J

    Hawa wananchi wa Chato waliolima bangi kwenye ardhi waliyopewa na Rais wachukuliwe hatua stahiki

    Imeripotiwa na luninga ya ITV kuwa baadhi ya wananchi waliopewa ardhi na Rais Magufuli kwa ajili ya kilimo cha mazao ya chakula wao wamepanda bangi. Mkuu wa wilaya ya Chato na kamati yake ya ulinzi na usalama imewalazimu kuvamia mashamba hayo na kuwashurutisha wale waliolima bangi waing'oe na...
  12. 4

    Ombi maalum kwa Rais wangu Magufuli

    Husika na kichwa hapo juu, Nafikiri Bunge limebaki na mkutano mmoja, na kama ndio hivyo naomba sheria ya mgombea binafsi ipelekwe Bungeni maana tumechoshwa na wananchi tunaowachagua kutuongoza kuhama vyama, wanatuharibia muda na kuturudisha nyuma. Hivyo Mkuu wangu naomba tupeleke muswada wa...
  13. Madiwani 11 wa CHADEMA wakiongozwa na Meya wa Jiji la Mbeya wahamia CCM

    Katibu Mkuu wa CCM, Bashiru Ally amesema kati ya Madiwani hao, 10 ni Madiwani wa Kuchaguliwa na Mmoja ni wa Viti Maalumu huku timu hiyo inayoongozwa na Meya ikiwa na Viongozi Watatu wa Juu wa CHADEMA. Amesema kuwa Madiwani hao wanatoka katika Jiji la Mbeya kwenye Halmashauri inayoongozwa na...
  14. Mfungwa wa leo, ndio Rais wa kesho; na kinyume chake, haya ndio maisha bwana

    Ehhh ndio maisha bwana, unashanga kuhusu jela! Kwa wanaharakati na wanasiasa halisi jela ndio masikani, huwezi kuwa mdai haki alafu uogope masikani (jela), kama unaogopa jela acha siasa, acha uwana harakati, acha kutetea misingi ya taifa lako, kazi ndogo tu acha kuwa mzalendo wa nchi na chagua...
  15. J

    Rais Magufuli afanya mazungumzo na msomi Prof Patrick Loch Otieno Lumumba, msomi huyu ammwagia sifa lukuki Dr Magufuli

    Rais Magufuli leo amekutana na msomi mbobezi duniani Prof Patrick Lumumba Ikulu jijini Dsm. Rais Magufuli amempongeza Prof Lumumba kwa namna anavyojitahidi kuwashauri viongozi wa Afrika namna ya kuzifanya nchi zao zijitegemee. Nay Lumumba amempongeza Dr Magufuli kwa jinsi alivyoibadilisha...
  16. Harusi ya Rais Uhuru na Margaret Kenyatta

    Ilikua mwaka 1991
  17. J

    Mbowe muige Raila Odinga shirikiana na Rais Magufuli kuijenga Tanzania yetu!

    Ni ushauri tu kwa mwenyekiti wa Chadema na Kiongozi wa Upinzani Bungeni mh Mbowe kwamba afanye siasa za kushirikiana na serikali ili tuijenge nchi yetu. Pale Kenya Kiongozi wa Upinzani mh Raila Odinga yuko mstari wa mbele akishirikiana kwa karibu na Rais Uhuru Kenyata katika kuwaletea wananchi...
  18. Hivi Rais wetu ameshindwa kabisa kuchukua hatua dhidi ya janga la kamari? Tunaelekea shimoni, nini kifanyike?

    Kila kona ukipita wamejaa mateja wa kamari wenye msongo mkali wa mawazo baada ya kuliwa dau walizoweka, hasa sports betting, muda wote wanaomba hela tu, full vizinga, ili wakabet, na kazi hawataki kufanya wakiamini ipo siku watakuwa mamilionea. Sasa sielewi,serikali inafurahia hili wimbi la...
  19. Utabiri: Bernie Sanders Ndiye Rais Ajaye Wa Marekani

    Bernie Sanders ndiye atakayekuja kuwa Rais wa 46. Kuna vita Marekani kati ya matajiri na masikini, mfumo uliopo sasa unakandamiza sana watu wa kawaida. Pengo kati ya matajiri na wafanyakazi limezidi kuongezeka. Mfano, watu watatu matajiri kabisa wanautajiri mkubwa kuliko nusu ya wananchi wa...
  20. Sudani Kusini: Rais Kiir na Mpinzani wake, Riek Machar wakubali kuunda Serikali ya Muungano

    Rais wa Sudan Kusini Salva Kiir na Mpinzani wake Riek Machar wamekubaliana kuunda serikali ya muungano kufikia siku ya Jumamosi kama walivyokubaliana. Hatua hiyo inafuatia mkutano uliofanyika katika Ikulu katika mji mkuu wa Juba siku ya Alhamisi. Rais Kiir ameahidi kuwalinda viongozi wa...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…