Rais Magufuli, jitokeze hadharani kupinga kufananishwa na Yesu Kristo!

Tajiri Tanzanite

JF-Expert Member
Oct 23, 2016
2,070
3,705
Hapo vipi!

Binafsi nimemsikiliza Kangi Lugola akiwa anamsifia Rais Magufuli, ila kwa hili la kumfananisha Rais Magufuli kama Yesu Kristo amevuka mipaka kabisa, sijajua kinachomfanya ajisahau kiasi hicho nini.

Mheshimiwa Rais, sipingi watanzanaia kukusifia katika mambo uliyoyafanya ila wakusifie katika viwango vya kibiinadamu ila kwa hili la Kangi Lugola, kukufananisha na Yesu kristo nakushauri hizo sifa usipokee.

Kumbuka maandiko yanasema Mungu hafananishi na kitu chochote,hivyo ukikubali kufananisha na Yesu Kristo utakuwa umetenda zambi kubwa kufuru.

Kwanini nakuambia usimame na upinge hadharani,kwanza kukaa kimya maana yake umekubaliana na hayo madai,sasa ili kunawa mikono yako na kumuachia Kangi mzigo wake, Jitokeze pinga na kukataa sifa hizo.

Mheshimiwa Rais, kumbuka juzi tulitoka kwenye maombi ya kitaifa na ni kweli Mungu ametenda ila sasa Shetani anamtumia Kangi Lugola kuleta laana katika taifa hili.

Naomba umuonye na atumie akili,busara na hekima wakati anaanza kukusifia.
 
Hili suala lazima Rais alikee tena sana
Hiki sio kitu cha kawaida kabisa
Yesu hafananishwi na binadamu yoyote yule mwenye ubora wa aina yoyote tunaweza kuuona pengine hata kutenda.
'Jesus is the perfection of all creatures include devil himself'
Imeandikwa kuwa yeye ni Mwanzo na Mwisho na yote ndani yote
In fact Lugola kafanya jambo la kipuuzi ni wa kukemewa hadharini tu na yeye mwenyewe Rais
 
KANGI ANAWEWESEKA NA KUTUMBULIWA KATIKA NAFASI ALIYOKUWA NAYO, SASA ANAJITAHIDI ILI AKUMBUKWE MAANA HATA UBUNGE WAKE HUKO MASHAKANI MWAKANI,
HUYO ALIYEFANANISHWA ALISEWAHI SEMA ATAPEWA NAFASI YA KUWA KIONGOZI WA MALAIKA, HIVYO SI AJABU.
 
Hapo vip!!
Binafsi nimemsikiliza Kangi Lugola akiwa anamsifia Rais Magufuli,ila kwa hili la kumfananisha Rais Magufuli kama Yesu Kristo amevuka mipaka kabisa,sijajua kinachomfanya ajisahau kiasi hicho nini...
Muheshimiwa Rais,sipingi watanzanaia kukusifia katika mambo uliyoyafanya,ila wakusifie katika viwango vya kibiinadamu ila kwa hili la Kangi Lugola,kukufananisha naYesu kristo nakushauri hizo sifa usipokee.

Kumbuka maandiko yanasema Mungu hafananishi na kitu chochote,hivyo ukikubali kufananisha na Yesu Kristo utakuwa umetenda zambi kubwa kufuru.

Kwanini nakuambia usimame na upinge hadharani,kwanza kukaa kimya maana yake umekubaliana na hayo madai,sasa ili kunawa mikono yako na kumuachia Kangi mzigo wake,Jitokeze pinga na kukataa sifa hizo.

Muheshimiwa Rais,kumbuka juzi tulitoka kwenye maombi ya kitaifa na ni kweli Mungu ametenda ila sasa Shetani anamtumia Kangi Lugola kuleta laana katika taifa hili...Naomba umuonye na atumie akili,busara na hekima wakati anaanza kukusifia.
Kwa hiyo ndio mmevalia njuga huu upuuzi? Nani alisema JPM ni Yesu? Au kiswahili hamjui nyie vibaraka wa Mbowe anayeshinda Chako ni Chako.
Lugola alisema JPM huwa anatatua kero za wananchi papo kwa papo kama Yesu alivyokuwa anafanya. Mfano akienda sehemu kuna shida ya maji au barabara papo kwa papo kero inatatuliwa.
Sasa leo mnabadili maneno ili mpate kick za kisiasa!
 
Sasa kila kitu asimame apinge hadharani! Si ujiongeze tu! Hizo sio tuhuma ni mtu kaongea tu! Kila siku mnamuita majina mapya atasimama na kupinga vingapi?
Jiongeze Magufuli sio Bwana Yesu.
Mwisho hili jambo ninyi ndo mmelikuza na kuling'ang'ania kama watoto wadogo.Mkiamua muendelee kulishikilia au mkiamua mliache!
 
Hawana hoja za kuisakama serikali wamekuwa kama wajinga. Yaani Lugola amfananishe Yesu na JPM?
 
Hapo vipi!

Binafsi nimemsikiliza Kangi Lugola akiwa anamsifia Rais Magufuli, ila kwa hili la kumfananisha Rais Magufuli kama Yesu Kristo amevuka mipaka kabisa, sijajua kinachomfanya ajisahau kiasi hicho nini.

Mheshimiwa Rais, sipingi watanzanaia kukusifia katika mambo uliyoyafanya ila wakusifie katika viwango vya kibiinadamu ila kwa hili la Kangi Lugola, kukufananisha na Yesu kristo nakushauri hizo sifa usipokee.

Kumbuka maandiko yanasema Mungu hafananishi na kitu chochote,hivyo ukikubali kufananisha na Yesu Kristo utakuwa umetenda zambi kubwa kufuru.

Kwanini nakuambia usimame na upinge hadharani,kwanza kukaa kimya maana yake umekubaliana na hayo madai,sasa ili kunawa mikono yako na kumuachia Kangi mzigo wake, Jitokeze pinga na kukataa sifa hizo.

Mheshimiwa Rais, kumbuka juzi tulitoka kwenye maombi ya kitaifa na ni kweli Mungu ametenda ila sasa Shetani anamtumia Kangi Lugola kuleta laana katika taifa hili.

Naomba umuonye na atumie akili,busara na hekima wakati anaanza kukusifia.
Yule mtu anavyopenda sifa sio ajabu ukasikia Kangi kawa waziri mkuu wa jamhuri.
 
Kufuru kali sana, pale watu wanapopewa daraja isiyowasitahili hata kidogo, lakini sishangai ni kujikomba tena kwa ajili ya uteuzi wa jimbo la mwibara,maana anaweza kutemwa
Hapo vipi!

Binafsi nimemsikiliza Kangi Lugola akiwa anamsifia Rais Magufuli, ila kwa hili la kumfananisha Rais Magufuli kama Yesu Kristo amevuka mipaka kabisa, sijajua kinachomfanya ajisahau kiasi hicho nini.

Mheshimiwa Rais, sipingi watanzanaia kukusifia katika mambo uliyoyafanya ila wakusifie katika viwango vya kibiinadamu ila kwa hili la Kangi Lugola, kukufananisha na Yesu kristo nakushauri hizo sifa usipokee.

Kumbuka maandiko yanasema Mungu hafananishi na kitu chochote,hivyo ukikubali kufananisha na Yesu Kristo utakuwa umetenda zambi kubwa kufuru.

Kwanini nakuambia usimame na upinge hadharani,kwanza kukaa kimya maana yake umekubaliana na hayo madai,sasa ili kunawa mikono yako na kumuachia Kangi mzigo wake, Jitokeze pinga na kukataa sifa hizo.

Mheshimiwa Rais, kumbuka juzi tulitoka kwenye maombi ya kitaifa na ni kweli Mungu ametenda ila sasa Shetani anamtumia Kangi Lugola kuleta laana katika taifa hili.

Naomba umuonye na atumie akili,busara na hekima wakati anaanza kukusifia.
 
Hili suala lazima Rais alikee tena sana
Hiki sio kitu cha kawaida kabisa
Yesu hafananishwi na binadamu yoyote yule mwenye ubora wa aina yoyote tunaweza kuuona pengine hata kutenda.
'Jesus is the perfection of all creatures include devil himself'
Imeandikwa kuwa yeye ni Mwanzo na Mwisho na yote ndani yote
In fact Lugola kafanya jambo la kipuuzi ni wa kukemewa hadharini tu na yeye mwenyewe Rais
Mbona Hawa wanajifananisha na picha zao zimejaa makanisani na filamu zao tunaangalia kila siku
willem-dafoe-the-last-temptation-of-christ-1988-1517933613.jpg
mainnn.jpg
2b9b89f78bf4755e50e901f988c7aa75.jpg
bb.PNG
 
Kwa hiyo ndio mmevalia njuga huu upuuzi? Nani alisema JPM ni Yesu? Au kiswahili hamjui nyie vibaraka wa Mbowe anayeshinda Chako ni Chako.
Lugola alisema JPM huwa anatatua kero za wananchi papo kwa papo kama Yesu alivyokuwa anafanya. Mfano akienda sehemu kuna shida ya maji au barabara papo kwa papo kero inatatuliwa.
Sasa leo mnabadili maneno ili mpate kick za kisiasa!
Wanajaribu kufunika aibu ya mbowe kulewa chakari na kuumia kisigino
 
Back
Top Bottom