Rais wakate Kangi Lugola, Kessy na Ndugai kwa udhaifu wa kukufanya mpenda madaraka wakati Urais ni mzigo unahitaji kupumzika

mgt software

JF-Expert Member
Nov 1, 2010
13,767
7,115
Wana Jf

Rais wangu, naanza kwa kukusifu kwa kazi nzuri unayoifanya kama mzalendo. Urais ni taasisi, umeiongoza kwa mapenzi ya Mungu, sasa ametokea watu wenye upungufu wa maoni wanataka uyabadirishe ambayo uliyokuwa unayapinga adharani. Rais wetu ulisema tukuombee sana usiwe na kiburi.

Sasa tumekuombea sana , hawa wanaojitokeza kutaka uongezewe muda sio watu wakutumainia, upeo wa wa kufikiri umefika mwisho, naomba safari hii wazee wote waliomstali wa mbeke kama wakina mkamia, Kessy, lugola na Ndugai uwakate kwenye kura za maoni kwani ni wapiga kelele hawana jipya kuiendekeza nchi hii.

Najua kuna vijana unawaandaa kuja kurithi kiti chako. Hawa si wazaliwa katika chama lakini unaangalia uwezo wao wa kufikiri unawapa nafasi.

Mwisho wale wote waliojionyesha kutaka uongezewe muda bora ukawakata maana hawana cha kujadiri zaidi ya kuhemea tumbo lao
 
Rais ameshasema mara zote kua yuko tayari kustaafu kwa mujibu wa katiba. Miaka 10.

Lakini hilo halimzuii kuendelea kama wananchi watamhitaji. Nchi ni ya wananchi. Wakisema wanamhitaji atapewa nafasi.
 
Mtu akishiba na ukamlazimisha kuendelea kula anaweza kutapika nani alaumiwe?
 
Wana Jf

Rais wangu, naanza kwa kukusifu kwa kazi nzuri unayoifanya kama mzalendo. Urais ni taasisi, umeiongoza kwa mapenzi ya Mungu, sasa ametokea watu wenye upungufu wa maoni wanataka uyabadirishe ambayo uliyokuwa unayapinga adharani. Rais wetu ulisema tukuombee sana usiwe na kiburi. Sasa tumekuombea sana , hawa wanaojitokeza kutaka uongezewe muda sio watu wakutumainia, upeo wa wa kufikiri umefika mwisho, naomba safari hii wazee wote waliomstali wa mbeke kama wakina mkamia, Kessy, lugola na Ndugai uwakate kwenye kura za maoni kwani ni wapiga kelele hawana jipya kuiendekeza nchi hii. Najua kuna vijana unawaandaa kuja kurithi kiti chako. Hawa si wazaliwa katika chama lakini unaangalia uwezo wao wa kufikiri unawapa nafasi.

Mwisho wale wote waliojionyesha kutaka uongezewe muda bora ukawakata maana hawana cha kujadiri zaidi ya kuhemea tumbo lao
Kama Kweli Rais sio Mpinga kristo basi inabidi ahakikishe hawa watu hawarudi madarakani maana wameonesha kuwa JPM ni mroho wa madaraka waziwazi. Kama hakuwatuma basi awaadhibu kwa kutorudi ulingoni.

Lakini kwa kuwa Mpinga kristo anafanya kazi na manabii wa uongo huenda hilolisitokee.
 
Jiwe akatae sifa?! Huoni tayari akina Ndugai wameshapewa majengo kwa majina yao? Usishangae Kenge Logolo akapewa ukuu wa mkoa.
 
huyu kaepuka rushwa nyingi alafu ni mwanafunzi wake mbali na kuwa na likitambi likubwa
 
Mi naamini MZEE wangu Magufuli Ni mtu poa sana sometime

Ila Sasa hivi vijamaa vinayomzunguka ndio vinamuharibiaa mzee wetu avikatile mbali vikajifunze maisha mengine nje ya siasa

Kuna maisha mengine nje ya siasa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
hivyo vizee havikomi, kilianza kimkamia sasa wamekuwa wengi, wanatamani nafasiya §Nyerere
 
Dawa Yao mzee magu awakatile mbali waache kisebengo

Yeye kashasema hataki kuongeza hata sekundi jamaa wanataka kumlazimisha Wana ajenda zao za Siri

Mzee awakatile mbali waje mtaani huku tunywe nao alkasusu kwenye jamvi la makuti

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kama Kweli Rais sio Mpinga kristo basi inabidi ahakikishe hawa watu hawarudi madarakani maana wameonesha kuwa JPM ni mroho wa madaraka waziwazi. Kama hakuwatuma basi awaadhibu kwa kutorudi ulingoni.

Lakini kwa kuwa Mpinga kristo anafanya kazi na manabii wa uongo huenda hilolisitokee.
Kila kitu kimepangwa wala usiwalaumu wanaosema aongezewe. Yeye atasema siongezi hata dakika nikimaliza muda wangu. Na wao watasema lazima uendelee hakuna kama wewe (mpaka wameanza kukufuru kwa kumfananisha na Yesu).

Pili angalia wanavyoua upinzani wa kweli (kutoka CHADEMA/ CUF) na kuleta upinzani pandikizi wa NCCR. Angalia wanavyotengeneza sheria kandandamizi dhidi ya uhuru wa kujieleza, shughuli za vyama vya siasa na makosa ya mtandao. Angalia wanavyoapa kuwa wabunge wa upinzani hawatarudi mwaka kesho ili 90% iwe CCM na hao pandikizi chini ya James Mbatia. Hapo ndipo utagundua kuwa itakapofika 2023 wataleta muswaada wa au kuondoa ukomo wa U-Rais au kufanya aliyepo sasa awe mtawala wa maisha. Na hapo wakiwa na 90% ya bunge ndipo watapitisha hiyo sheria ya Rais wa Maisha bila kupingwa.

Ni Mungu tu ndiyo atalinusuru Taifa la Tanzania wala siyo kura yako kwenye sanduku la kura.
 
Natambua kuwa Duniani kote Dikteta huwa ni mmoja lakini wanakuwa nyuma yake watu wanaokula nae pamoja kama CDF, IGP na DIGIS. Hivi vyombo visipokuwa upande wake hao wapiga makelel bungeni hawawezi kusaidi chochote. Hao ndio wanaoliangusha taifa lolote kutumbukia kwenye machafuko.
 
Back
Top Bottom