rais

  1. JamiiForums Tanzania Kauli ya Lema kuwa angekuwa serikalini wangeingia dili la siri na Laizer kuna kitu cha kujiifunza, lakini pia tumpongeze Rais Magufuli kwa uwazi

    Nimesikiliza mahojiano kati ya Mwandishi wa habari na Mbunge wa Arusha mjini, Godbless Lema kuhusu Serikali kununua mawe mawili ya Madini ya Tanzanite ya Bilionea Aniniu Laizer kwa Tshs. Bil.7.8. Hakika nimesikitishwa na kauli ya Lema kuwa angekuwa Serikalini wangeingia dili la siri na...
  2. J

    JamiiForums Tanzania DAS Kisarawe, Mtela Mwampamba atumbuliwa kwa kutongoza wake za watu

    Mambo ni moto Mtela (katikati) akiteta jambo na Mkuu wa Wilaya ya Kisarawe RAIS MAGUFULI AMTENGUA KATIBU TAWALA WILAYA YA KISARAWE Rais wa John Pombe Magufuli, amemtengua Katibu Tawala wa Kisarawe, Mtela Mwampamba na kumteua Mwanana Msumi, aliyekuwa Afisa Tawala wa Wilaya kuchukua nafasi...
  3. J

    JamiiForums Tanzania Waziri Jaffo: Rais Magufuli mimi si lolote si chochote nitaendelea kukutii na kutangaza kazi zako!

    Kumekucha uchaguzi mkuu 2020 Waziri wa Tamisemi Jaffo amesema Rais Magufuli hana sababu ya kwenda Kisarawe kufanya kampeni kwa sababu kazi zake ni kampeni tosha. Jaffo amesema yeye si lolote si chochote lakini Rais Magufuli alimteua na kumkabidhi kwa maaskofu na viongozi wa dini wamuombee na...
  4. JamiiForums Tanzania Rais amefanya ziara Kisarawe na kuzindua Mradi mkubwa wa Maji Wilayani humo

    Rais Wa Jamhuri Ya Muungano Wa Tanzania, Leo Atafanya Ziara Wilayani Kisarawe Kuzindua Mradi Mkubwa Wa Maji. Ambao Utawanufaisha Wakazi Wa Kisarawe Hadi Maeneo Ya Ukonga, Pugu Bila Shaka Tutaaambiwa Mapya Mengi Kuhusu Maendeleo Ya Nchi Yetu. Pia Wakazi Wa Pembezoni Mwa Barabara Atakayopita...
  5. JamiiForums Tanzania Rais Magufuli hajawahi kuwa na Mpinzani

    Ukweli usemwe tu. Kiutendaji, uwezo binafsi, ubunifu, uchapakazi, uzalendo ni vitu vinavyomuuza Rais Magufuli tokea awe mwanasiasa -- mbunge, waziri na sasa ni Rais Rais Magufuli hajawai kuwa na mshindani katika kariba yake katika mambo hayo. Akiwa waziri katika wizara mbalimbali uwezo wake...
  6. F

    JamiiForums Tanzania Magufuli angekuwa Rais wa Yanga ama simba, zingetingisha sana Africa, uncle Magu ukistaafu njoo utuongozee yanga kama rais misimu mitatu tu

    Habari wadau.. natamani sana yanga yangu ingepata kiongozi mbabe na mpenda maendeleo kama magufuli. hawa kina msolla na wenzake kina mkwassa ni wasanii tu.. miaka yote tunawajua hawajawai kupata mafanikio yeyote ya taasisi wanazoziongoza..Magufuli japo mpira haupendi ila kuongoza anajua.. maana...
  7. JamiiForums Tanzania Rais Mutharika: Amewataka wafuasi wake kupuuza matokeo yanayosambazwa na vyombo vya habari

    Ijapokuwa tume ya uchaguzi ya Malawi MEC bado haujatangaza matokeo ya uchaguzi wa urais uliorudiwa , ishara za mapema zinaonesha kwamba rais Peter Mutharika yuko nyuma ya mpinzani wake mkuu Lazarus Chakwera. Kulingana na mgombea mwenza Atupele Muluzi, ambaye alisema kwamba ametumwa na Mutharika...
  8. JamiiForums Tanzania Namba 10: Waziri wa Maji na Umwagiliaji, Prof. Makame Mbarawa achukua fomu ya kuwania Urais Zanzibar

    Waziri wa maji na umwagiliaji Mhe.Makame Mbarawa amechukua fomu ya kuwania kuteuliwa kugombea Urais Zanzibar kwa tiketi ya CCM katika ofisi kuu ya CCM Zanzibar. Career Highlights Professor Makame Mbarawa has been a Member of Parliament since 2010 and currently is the Minister for Water...
  9. JamiiForums Tanzania Namba 30: Mussa Aboud Jumbe, Mtoto wa Rais wa zamani wa Zanzibar, Aboud Jumbe amechukua fomu ya CCM kuwania Urais wa Zanzibar

    Mussa Aboud Jumbe, Mtoto wa Rais wa zamani wa Zanzibar, Aboud Jumbe amechukua fomu ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) kuwania Urais wa Zanzibar katika Uchaguzi Mkuu wa Oktoba 2020. Jumbe amekuwa mgombea wa 30 katika mbio hizo za Urais. Vile vile Mussa ni Mkurugenzi katika Idara ya Maendeleo ya Uvuvi...
  10. JamiiForums Tanzania Fahamu historia fupi ya Rais mpya wa Malawi Dkt. Chakwera

    MJUE RAIS MTEULE WA MALAWI MH LAZARUS MCCARTHY CHAKWERA Na Elius Ndabila 0768239284 Nchi ya Malawi wiki hii ilifanya uchaguzi ambao matokeo rasmi yametangazwa leo na kumpatia ushindi Mh CHAKWERA. Ikumbukwe Malawi imefanya Uchaguzi huu baada ya mahakama ya juu ya Malawi kutengua matokeo yaliyo...
  11. JamiiForums Tanzania Mahakama nchini Brazil yamuamuru Rais Jair Bolsonaro kuvaa barakoa. Atakiwa kuheshimu sheria za nchi

    Habari! Kutokana na kushamiri ama kuongezeka kwa maambukizi ya virusi vya corona nchini Brazil, Mahakama nchini humo imemuamuru Rais wa nchi hiyo Jair Bolsonaro kuvaa barakoa ya kinga la sivyo 'kukiona cha mtema kuni'. Jair Messias Bolsonaro. Taarifa kamili: Katika uamuzi uliotolewa...
  12. JamiiForums Tanzania Rais ajaye akerwe na udini kwa vitendo

    Kanuni za uteuzi na ajira lazima zipitiwe upya ili ziruhusu watu wa dini zote wateuliwe na kuajiriwa kwa uwiano, hasa baada ya vigezo muhimu vya elimu na uzoefu wa kazi husika kuzingatiwa. Inahuzunisha sana kukuta wafanyakazi wote wa ofisi ya umma au taasisi ya umma Ni wa dini fulani tu...
  13. JamiiForums Tanzania China: Rais Xi Jinping asisitiza kuendelea na msimamo mkali dhidi ya dawa za kulevya

    Rais Xi Jinping wa China leo ametoa mwito wa kuendelea kwa juhudi za kupambana na dawa za kulevya. Kwenye ujumbe aliotoa mapema kabla ya maadhimisho ya siku ya kupambana na dawa za kulevya (26 June), Rais Xi amesema msimamo mkali dhidi ya dawa za kulevya ni lazima uendelee, ili kupata maendeleo...
  14. JamiiForums Tanzania URUSI: Wananchi wanapiga kura kuongeza muda wa Rais Putin

    Wananchi huko Urusi wameanza kupiga kura ya maoni ili kuruhusu Rais Putin kubakia madarakani kwa miaka 16 zaidi. Upigaji kura huyo utakamilika Julai mosi. Urusi inafanya kura ya maoni ya kubadilisha Katiba ya nchi ili kumuwezesha Vladimir Putin asalie madarakani hadi mwaka 2036 na atekeleze...
  15. M

    JamiiForums Tanzania Profesa Nyagori ashauri Taasisi za Afya kumpa tuzo Rais Magufuli kwa mapambano ya Corona

    PROFESA NYAGORI ASHAURI TAASISI ZA AFYA KUMPA TUZO JPM MAPAMBANO YA CORONA NA MWANDISHI WETU-MOROGORO Daktari Mshauri Mwandamizi wa Magonjwa ya Ndani na Moyo, Taasisi ya Moyo ya Jakaya Kikwete (JKCI), ambaye pia ni Mhadhiri wa vyuo vikuu mbali mbali vya tiba, Profesa Harun Nyagori, ameshauri...
  16. J

    JamiiForums Tanzania Uchumi wa dunia utashuka kwa 5% katika miaka miwili ijayo, Wapinzani tumuunge mkono Rais Magufuli atuvushe!

    Kwa mujibu wa taarifa iliyotolewa jana ya IMF ni kwamba inakadiriwa uchumi wa funia utasinyaa kwa 5% ndani ya miaka miwili ijayo tofauti na makisio ya awali ya 2%. Imeelezwa pia kutakuwa na upungufu mkubwa wa ajira Afrika na duniani kwa ujumla. Ombi langu niwaombe viongozi wote wa Upinzani...
  17. J

    JamiiForums Tanzania Arusha wamshukuru Rais Magufuli kwa kuubadilisha uongozi mzima wa mkoa, waahidi kumstaafisha Lema Oktoba!

    Mkuu wa mkoa wa Arusha ameanza kazi rasmi na kuwaomba wana Arusha kumpa ushirikiano ili kwa pamoja waijenge Arusha mpya. Wananchi wa Arusha wameahidi kumpa ushirikiano na pia wamemshukuru Rais Magufuli kwa mabadiliko hayo. Wamesema wana Arusha kwa sasa uongozi wote kuanzia RC, RPC, Kamanda wa...
  18. JamiiForums Tanzania Rais Magufuli tusaidie sisi vijana wasomi kwenye mradi wa SGR

    Habari Mh rais Dr John Pombe Joseph Magufuli, Pole kwa majukumu mazito ya nchi kwa maana ya kitaifa na kimataifa kwa ujumla. Awali ya yote tunatoa pongezi za dhati kabisa kwa serikali yako ya awamu ya tano, chini ya uongozi wako kwa kazi nzuri ulizozifanya na unazoendelea kuzifanya katika...
  19. JamiiForums Tanzania GE2020 TLP Updates: Fahamu Mambo matano (5) kati ya ishirini na moja (21) yanayoisukuma zaidi TLP kumuunga Mkono Mhe Dkt. John Magufuli kuelekea Okt 2020

    " HAYA NDIO MAMBO MATANO( 5 ) KATI YA ISHIRINI NA MOJA ( 21 ) YANAYOISUKUSUMA ZAIDI LABOUR PARTY YA TANZANIA KUMUUNGA MKONO MHE DK JOHN POMBE JOSEPH MAGUFULI KUELEKEA OCT 2020 " 1. Watumishi 32,555 wenye dosari serikalini, Nyote Mtakumbuka March 2016 Mhe Dk John Pombe Joseph Magufuli...
  20. J

    JamiiForums Tanzania CCM kuna demokrasia pana wagombea 29 wachukua fomu kugombea Urais wa Zanzibar hadi sasa, CHADEMA ni 3

    Hadi sasa jumla ya wagombea 29 wamechukua fomu xa kuomba kuteuliwa kuwa mgombea wa urais Zanzibar kupitia CCM. Kwa upande wa wapinzani CHADEMA ina wagombea 3 na NCCR Mageuzi 1 CCM ni baba wa demokrasia Maendeleo hayana vyama!
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…