rais

  1. JamiiForums Tanzania GE2020 Ushindi mkubwa wa Rais John Magufuli, utatoka kwa wanyonge na Wananchi wa kawaida kabisa

    USHINDI MKUBWA WA RAIS JOHN MAGUFULI, UTATOKA KWA WANYONGE NA WANANCHI WA KAWAIDA KABISA. Leo 13:45pm 09/07/2020 Niseme wazi ya kwamba,Silaha kubwa ya Rais John Pombe Magufuli ni wananchi tena wale wanyonge na wa kawaida kabisa,na ushindi mkubwa wa Rais John Pombe Magufuli utatoka kwa asilimia...
  2. K

    JamiiForums Tanzania Kama Corona imeisha magari yaruhusiwe kusimamisha abiria, hasa Dar es Salaam

    Amani iwe kwenu wakuu! Kwa heshima na taadhima nimpongeze mheshimiwa Rais wetu kwa utekelezaji wa shughuli zake za kila siku vyema. Lakini pia nimpongeze kwa maamuzi yaliyokuwa magumu na ambayo wengi hatukukubaliana nayo kwanza ya kuruhusu watu waendelee na shughuli zao katikati ya janga la...
  3. JamiiForums Tanzania Hivi sifa kubwa ya kuteuliwa na Rais kwenye nafasi za utumishi wa Umma ni kuwa kada kindaki ndaki wa CCM?

    Tumemsikia mara kwa mara Rais Magufuli wakati akihutubia akisema kuwa maendeleo hayana vyama, akimaanisha kuwa serikali yake haina upendelo linapokuja suala la maendeleo ya nchi, kuwa kila mwananchi anayo haki sawa Lakini, maneno hayo yana tofauti kubwa katika utendaji wake katika uteuzi wake...
  4. JamiiForums Tanzania Hata mimi 'ningemshangaa' Mwenyekiti na Rais wangu ninayemuheshimu kama angefanya upuuzi huu

    KUHUSU KUNG’ATUKA KWA JPM “ Iweje Rais Magufuli aende kinyume na wosia wa Baba wa Taifa na warithi wake. Hili la kuongeza muda, Rais Magufuli hawezi kukubali na hata CCM haiwezi kukubali…Rais Magufuli hata akishinda kwa 100%, baada ya muda wa muhula wa pili kuisha, hata ongeza hata siku moja. ”...
  5. JamiiForums Tanzania Je, Rais Magufuli alipopiga simu kwenye Tamasha la Kwaya la Kumshukuru Mungu alikuwa yupo wapi pale?

    Habari wapendwa? Natumaini Wazima wa Afya. Twende kwenye hoja yetu, ni hivi: Jumapili kulikuwa na Tamasha la kwaya mbalimbali Lengo ni Kumshukuru MUNGU, Sasa kwenye mida kama ya Usiku hivi Kulikuwa na kama Tv ikamuonesha Rais John Pombe Magufuli akiwasalimia waliohudhuria. Ila Nyuma ya...
  6. JamiiForums Tanzania Nani alikudanganya kuwa CCM na Polisi Tanzania hawana Vinasaba vya Undugu, Mshikamano na Ushirikiano?

    ULINZI WAIMARISHWA DODOMA: Dodoma: 07 Julai, 2020 Wakati vikao vya uamuzi vya Chama Cha Mapinduzi vikitarajiwa kufanyika Jijini Dodoma, ukiwemo Mkutano Mkuu wa Taifa wa Chama hicho, Jeshi la Polisi limesema limeimarisha zaidi hali ya ulinzi na usalama. Mkutano mkuu utafanyika Jumamosi na...
  7. J

    JamiiForums Tanzania DC Jerry Muro: Watendaji wa vijiji wanamsubiri DC atoke ofisini akachome bangi wakati Rais Magufuli sisi alishatukataza

    Mkuu wa wilaya ya Arumeru mh Jerry Muro amesema watendaji wa vijiji wamekuwa na tabia ya kuwataka wakuu wa wilaya watoke ofisini kwenda kuchoma moto mashamba ya bangi ilhali wao madc walishakatazwa na Rais Magufuli. Muro amesema hayo wakati wa mkutano kati ya mkuu wa mkoa wa Arusha na viongozi...
  8. JamiiForums Tanzania Rais wa Brazil, Jair Bolsonaro atangaza kupata Corona

    Kupitia chaneli ya Taifa, Rais Jair Bolsonaro (65) ametangaza kupata maambukizi ya #CoronaVirus baada ya kufanyiwa vipimo kwa mara ya nne siku ya Jumatatu kufuatia kuonesha dalili za ugonjwa huo Bolsonaro amekuwa mara kwa mara akipuuza ugonjwa huo huku akiuita ni mafua madogo ya kawaida na...
  9. JamiiForums Tanzania Inashangaza: Watu wanamuomba ruhusa Rais Magufuli, badala ya kupewa wanatumbuliwa

    Nimejiuliza, Rais wetu mpendwa alipokuwa Mwalimu pale Sengerema Secondary School, alipoomba Ruhusa ya kwenda kugombea Ubunge kule Biharamulo. Je, aliachishwa kazi? Watu wanaomba ruhusa ili wakajaribu bahati zao, badala ya kupewa ruhusa wanatumbuliwa. Hii mnaionaje raia? Binafsi naona sio sawa...
  10. R

    JamiiForums Tanzania Upinzani acheni agenda ya Urais: Jitahidini kupata viti vingi vya wabunge. Wingi wa wabunge bungeni, wewe ni "RAIS", maamuzi ya ndiooooooooo yatakoma

    Upinzani, Urais muachieni Magufuli, nguvu zote zipeleke kupata wabunge wengi bungeni, mtakuwa na maamuzi mazito ya nchi hii. Kimfumo nyinyi mtakuwa "Rais" maana hakuna maamuzi unconstitutional atayafanya ambayo yatapita! Hakuna sheria mbovu zitapita etc. Demokrasia ya kweli itatamalaki maana...
  11. JamiiForums Tanzania Kwa kauli ya leo ya Mh Rais Magufuli kuna mawimbi yanarindima isikilize kwa makini tone yake!!

    Mh Rais nimemsikiliza kwa makini aliposema kama kuna wengine wanataka kuomba ruhusa waseme ruhusa iko wazi! Ukisikiliza kwa makini utaona inamalipizi kwa wale wote aliowateua na wameomba kuachia nafasi zao. Kama niubunge anaweza akawakata katika kura za awali wajiangalie wanaweza wasipitishwe...
  12. JamiiForums Tanzania Pongezi Rais Magufuli kuboresha Utumishi wa Umma, Watia nia kuachia ofisi: Mawaziri Igeni

    Wasalamu wana Jukwaa! Nianze kwanza kwa kumshukuru Mwenyezi Mungu kwa Rehma zake na kutuvusha katika janga zito. Sasa nijielekeze moja kwa moja kwenye hoja yangu. Hoja inahusu Moyo wa dhati wa Mh. Rais kuboresha Utumishi wa Umma kwa kuhimiza kutokuwa na TAMAA YA VYEO KWA WATUMISHI WA UMMA...
  13. JamiiForums Tanzania Tuamke tuamke jamani ndugu zanguni kumpongeza Rais mchapa kazi

    Vijana tuamke katika kuona Mambo aliyoyafanya Rais wetu Mpendwa MAGUFULI. Kila janga lililotokea Kipindi cha huyu Rais Magufuli halikudumu alipambana kuliondoa mapema sana. Kuna waliokuwa wanahujumu juhudi za Rais lakini walikuwa wanagonga mwamba kwa kufanya mambo kijinga. Walihujumu Sukari...
  14. B

    JamiiForums Tanzania Hotuba ya Karne 21 iliyotolewa na Rais wa Malawi Dr. Lazarus Chakwera

    Kwa walioskiza hotuba yake Leo, ni ukweli kwamba ni itaingia katika Historia kama hotuba ya kipekee katika karne ya 21. Mambo aliyotaja, kama Magufuli angemsikiliza angejiuma kidole lakini pia angejifunza mengi. The new President of Malawi, Lazarus Chakwera, has told the BBC that his win in...
  15. JamiiForums Tanzania Malawi: Kiapo cha Rais kuhudhuriwa na watu 100 kutokana na Corona kuongezeka kwa kasi

    Rais Mteule wa Malawi, Lazarus Chakwera angeweza kuahirisha sherehe za kuapishwa kutokana na kuongezeka kwa maambukizi ya COVID-19 Awali Rais Chakwera alipanga kuapa katika uwanja wa mpira uliopo Lilongwe ambao ungehudhuriwa na watu 40,000 Badala yake ataapa katika Ofisi za Jeshi na sherehe...
  16. J

    JamiiForums Tanzania Natamani Dr. Mpango atuambie taifa limeokoa kiasi gani kwa Rais Magufuli na mawaziri kutosafiri nje ya bara la Afrika

    Unaweza ukadhani ni jambo dogo lakini kiukweli fedha nyingi ya kigeni imeokolewa kutokana na Rais Magufuli na Mawaziri wake kutosafiri nje ya Afrika ndani ya miaka mitano. Tunakumbuka huko nyuma namna viongozi wetu walivyokuwa wakipishana angani kwenda Ulaya na America. Tunakumbuka mikutano ya...
  17. JamiiForums Tanzania Bangi Meru yawaponza OCD, OCCID, DSO. Rais Magufuli awaondoa | Amthibitisha James Kaji kuwa Kamishna Jenerali wa Mamlaka ya Kudhibiti Dawa za Kulevya

    Rais Magufuli wakati wa hafla ya kuwaapisha viongozi wateule amewaagiza wakuu wa vyombo vya usalama nchini kuwaondoa Mkuu wa Polisi wilaya ya Meru na Mkuu wa Usalama wa Wilaya Meru kuondolewa maeneo yao ya kazi kutokana na kukithiri kwa zao la bangi bila kuchukuliwa hatua madhubuti. Rais...
  18. JamiiForums Tanzania Kama akishinda tena, Rais Magufuli atategemea wateule wake 10 kuunda Baraza la Mawaziri la kueleweka

    CCM imeishiwa katika kupika viongozi wajao ndani ya UVCCM. Kwa watia-nia wanaoendelea kujitokeza majimboni kila uchao, ni wazi kama ngazi kuwa CCM inakuwa na wagombea 'bomu' uchaguzini. Kwakuwa ushindi umeshapangwa na kupangika, Bunge lijalo litakuwa dhaifu lakini nadhifu kama mkufu. Litakuwa...
  19. J

    JamiiForums Tanzania Rais Magufuli awaapisha viongozi mbalimbali wa Mikoa na Wilaya aliowateua hivi karibuni

    Rais Magufuli leo anawaapisha wakuu wa mikoa ya Tabora na Kigoma, Ikulu jijini Dodoma. Kadhalika Wakuu wa Wilaya na Wakurugenzi wa Halmashauri watakula viapo vya maadili. Tukio hilo litarushwa mubashara na TBC na Channel ten Up dates; === Leo Julai 6, 2020, Rais MagufuliJP anatarajia...
  20. J

    JamiiForums Tanzania Rais Magufuli katika tamasha la Muziki wa Shukrani Kawe jijini Dsm

    Rais Magufuli leo akiwa na Biblia amehubiri katika tamasha la muziki wa Injili linalofanyika Kawe jijini Dsm. Rais Magufuli ameongea kwa njia ya mtandao na amesema watanzania tuna kila sababu ya kumshukuru Mungu kwa kutuepusha na Corona na kadhalika kuliingiza taifa letu katika uchumi wa kati...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…