Kwa kauli ya leo ya Mh Rais Magufuli kuna mawimbi yanarindima isikilize kwa makini tone yake!!

KakaKiiza

JF-Expert Member
Feb 16, 2010
11,555
8,552
Mh Rais nimemsikiliza kwa makini aliposema kama kuna wengine wanataka kuomba ruhusa waseme ruhusa iko wazi!

Ukisikiliza kwa makini utaona inamalipizi kwa wale wote aliowateua na wameomba kuachia nafasi zao.

Kama niubunge anaweza akawakata katika kura za awali wajiangalie wanaweza wasipitishwe kwa mantiki wamemfedhehesha aliyewateua kwani aliwaamini wao wamemuangusha!Na kauri ya mh Rais inamawimbi inaonekana kakasirishwa na hilo.

Kifupi hata ningekuwa mimi ningechukia!
 
Mh Rais nimemsikiliza kwa makini aliposema kama kuna wengine wanataka kuomba ruhusa waseme ruhusa iko wazi!...ukisikiliza kwa makini utaona inamalipizi kwa wale wote aliowateua na wameomba kuachia nafasi zao....kama niubunge anaweza akawakata katika kura za awali wajiangalie wanaweza wasipitishwe kwa mantiki wamemfedhehesha aliyewateua kwani aliwaamini wao wamemuangusha!Na kauri ya mh Rais inamawimbi inaonekana kakasirishwa na hilo...kifupi hata ningekuwa mimi ningechukia!
Madikiteita wako hivyo! Huu ni udikiteita uliokomaa!
 
Mh Rais nimemsikiliza kwa makini aliposema kama kuna wengine wanataka kuomba ruhusa waseme ruhusa iko wazi!...ukisikiliza kwa makini utaona inamalipizi kwa wale wote aliowateua na wameomba kuachia nafasi zao....kama niubunge anaweza akawakata katika kura za awali
Tunaposema hakuna chama cha CCM ya wananchama na viongozi wao, mfano mzuri ni huu hapa ulioutoa.

CCM ni mali ya Magufuli, ataamua chochote anachotaka yeye bila ya uongozi wa chama kushirikishwa kikamilifu.

Kwa nini iwe ni yeye kukasirishwa na kutafuta kulipiza kisasi bila kuwahusisha viongozi wenzake katika maamuzi ya kutafuta wagombea ubunge..

Ni tabia ile ile ya mabavu kila mahali! Uongozi wa hovyo sana.
 
chadema ni Mali ya Mbowe kama saccos akiamua lolote kaamua tu
 
Ni nadharia rahisi kuielewa.
Tofauti na awamu zilizopita, kuwa mteule wa Rais kwenye awamu hii ni sawa sawa na kukalia kuti kavu, ni stress na huna uhakika kama utabaki salama, lolote laweza kutokea, mfanya maamuzi ni mtu mmoja, inategemea anavyojisikia, anaweza kuamka ukasikia ametengua nafasi yako, hivyo wateule wanaomalizia kipindi hiki wameshaling'amua hilo na limewatesa sana. Lakini kuwa mbunge ni tofauti, unakuwa umechaguliwa kwa nguvu ya wananchi wengi, maamuzi ya wengi, na si ya mtu mmoja, inakupa uhakika wa kuwa mjengoni kwa miaka mitano na hata mfanya uteuzi akikuona anaweza kukuteua kuwa waziri au nafasi yoyote kubwa, na hata ikitokea ukatumbuliwa nafasi ya uteuzi mf, uwaziri, bado unabaki na ubunge wako kwa miaka mitato, nani anataka stress?
 
Mh Rais nimemsikiliza kwa makini aliposema kama kuna wengine wanataka kuomba ruhusa waseme ruhusa iko wazi!...ukisikiliza kwa makini utaona inamalipizi kwa wale wote aliowateua na wameomba kuachia nafasi zao....kama niubunge anaweza akawakata katika kura za awali wajiangalie wanaweza wasipitishwe kwa mantiki wamemfedhehesha aliyewateua kwani aliwaamini wao wamemuangusha!Na kauri ya mh Rais inamawimbi inaonekana kakasirishwa na hilo...kifupi hata ningekuwa mimi ningechukia!
Wanasahau mfano wa Ludovick Mwananzila. Kuacha nafasi ya kuteuliwa na kwenda kugombea ni kama umeasi tu na kuona aliyekuteua alikosea
 
Ni wazi Aggrey Mwanri ni mmoja wapo alyeomba ruhusa akatumbuliwa JUU kwa JUU na akichukua form ya Ubunge anakatiliwa MBALI.
Huyu mzee aache upumbavu standing orders za utumishi wa umma ziko wazi, mtu anayetaka kuomba nafasi ya kisiasa huwa anapewa ruhusa ya bila malipo mpaka mchakato utakapoisha. Akipewa ridhaa ya kukiwakilisha chama ndiyo utumishi wake unakomea hapo! Aache unyanyasaji huyu
 
Mh Rais nimemsikiliza kwa makini aliposema kama kuna wengine wanataka kuomba ruhusa waseme ruhusa iko wazi!...ukisikiliza kwa makini utaona inamalipizi kwa wale wote aliowateua na wameomba kuachia nafasi zao....kama niubunge anaweza akawakata katika kura za awali wajiangalie wanaweza wasipitishwe kwa mantiki wamemfedhehesha aliyewateua kwani aliwaamini wao wamemuangusha!Na kauri ya mh Rais inamawimbi inaonekana kakasirishwa na hilo...kifupi hata ningekuwa mimi ningechukia!
nchi hii ni kama jela au ipo chini ya mkoloni.

hivi prisoners hawawezi kuji gang up na kumpa nyapara wao kibano cha kufa mtu?
 
Tunaposema hakuna chama cha CCM ya wananchama na viongozi wao, mfano mzuri ni huu hapa ulioutoa.

CCM ni mali ya Magufuli, ataamua chochote anachotaka yeye bila ya uongozi wa chama kushirikishwa kikamilifu.

Kwa nini iwe ni yeye kukasirishwa na kutafuta kulipiza kisasi bila kuwahusisha viongozi wenzake katika maamuzi ya kutafuta wagombea ubunge..

Ni tabia ile ile ya mabavu kila mahali! Uongozi wa hovyo sana.
Tatizo ndo hilo Chama amekabidhiwa Magufuli, Serkali amekabidhiwa Magufuli, Nchi pia amekabidhiwa yeye, na Bunge na hata Mahakamà. Mtu mwenye uwezo wa kuyamudu majukumu yote hayo hajazaliwa toka dunia kuumbwa wala hategemewi. Huyu hata moja tu ya majukumu hayo hana uwezo uwezo wa kuyamudu ndo maana anashindwà kilà anachojaribu kufanya.
 
awamu ya tano ilicho fanikiwa ni kukata na kutumbua na wala sio kukuza uchumi na na maendeleo.

Pia hii ni msg imfikie Lisu kua jina lake litakatwa eitha na tume au msajili wa vyama.
 
Similar Discussions

7 Reactions
Reply
Back
Top Bottom