Rais Putin ndiye Rais wa kwanza tajiri duniani akiwa na Mali ya thamani ya Us dolar bil 200

Freed Freed

JF-Expert Member
Jun 27, 2017
6,224
6,468
Phoenix news wametoa taarifa ya kushangaza kuwa Puttin ni Rais wa kwanza tajiri duniani akiwa na mali zenye thamani za Us dolar bilion 200. Hi ikijumuisha pesa taslim na mali nyinginezo.

Trump ana mali zenye ya Us dolar bilion 3.1. Nimeshangazwa Sana na utajiri wa Putin ambaye biashara zake hazipo wazi kama Trump.
 
Phoenix news wametoa taarifa ya kushangaza kuwa Puttin ni Rais wa kwanza tajiri duniani akiwa na mali zenye thamani za Us dolar bilion 200. Hi ikijumuisha pesa taslim na mali nyinginezo.

Trump ana mali zenye ya Us dolar bilion 3.1. Nimeshangazwa Sana na utajiri wa Puttin ambaye biashara zake hazipo wazi kama Trump.
Duuu ngumu kuamini mkuu us dolla bn200 au Tsh bn200 ?
 
Phoenix news wametoa taarifa ya kushangaza kuwa Puttin ni Rais wa kwanza tajiri duniani akiwa na mali zenye thamani za Us dolar bilion 200. Hi ikijumuisha pesa taslim na mali nyinginezo.

Trump ana mali zenye ya Us dolar bilion 3.1. Nimeshangazwa Sana na utajiri wa Puttin ambaye biashara zake hazipo wazi kama Trump.
Kuna uzi wa Habibu B. Anga unaelezea kuhusu utajiri wa Roman Abramovich - Wikipedia,pia namna mali za umma zilivyokuwa zinauzwa kwa bei chee baada ya kuanguka kwa USSR.

Ukiusoma ule uzi,hautapata wasiwasi wala shaka kwanini Putin anasemwa kuwa raisi tajiri zaidi.
 
Phoenix news wametoa taarifa ya kushangaza kuwa Puttin ni Rais wa kwanza tajiri duniani akiwa na mali zenye thamani za Us dolar bilion 200. Hi ikijumuisha pesa taslim na mali nyinginezo.

Trump ana mali zenye ya Us dolar bilion 3.1. Nimeshangazwa Sana na utajiri wa Puttin ambaye biashara zake hazipo wazi kama Trump.
mbona kwenye Forbes rich list hayumo?
tajiri kubwa Jeff Bezos hata 170B hajafikisha.
au ni taarifa ya vijigazeti labda!
 
Duuu!!!!!! Urusi unaifananisha na shitholes? Bila Shaka haujajitendea haki.
... sorry; when it comes to democracy Chief. Yaani mtu mmoja anaweza kuwaghilibu mamilioni ya wananchi wabadili katiba ili yeye aendelee kutawala! Hivi Urusi yenye karibu 200 million citizens haina mtu mwingine wa kuwaongoza isipokuwa Putin? Huyo Putin ana mkataba na Mungu kwamba ataishi hadi lini? Kama terms zake zimeisha kwanini asiachie wengine? Yeye; yeye; yeye!
 
Inapendeza kuifanya demokrasia kulingana na mazingira ya nchi husika,nchi za ulaya hata hao us demokrasia zao hazifanan na km uliisoma hist ya urus au ussr mambo hayo kawaida sana hakuna jipya hapo.
 
Biashara gani hizo ambazo hazipo wazi ila hao phoenix wamezijua hadi gharama zake? Hizo ni propaganda tu maana ndio hivyo tena Putin kashinda kura ya maoni kuendelea kuongoza taifa kubwa la Russia.
Mpaka mwaka 2036

Huku ikitokea hiyo wanawatuma wapinzani kuja kupiga kelele eti udikteta
 
... sorry; when it comes to democracy Chief. Yaani mtu mmoja anaweza kuwaghilibu mamilioni ya wananchi wabadili katiba ili yeye aendelee kutawala! Hivi Urusi yenye karibu 200 million citizens haina mtu mwingine wa kuwaongoza isipokuwa Putin? Huyo Putin ana mkataba na Mungu kwamba ataishi hadi lini? Kama terms zake zimeisha kwanini asiachie wengine? Yeye; yeye; yeye!
Kwani UK haina mtu mwengine wakua MALKI ?!
 
Propaganda kazini biashara zisizojulikana wao wamezijuaje

PUTIN amawanyima jamaa usingizi
 
Back
Top Bottom