Nina madogo watano, wote wana degree na nimewasomesha mwenyewe. Wote wapo mtaani hawana ajira.
Huyu mmoja ana degree ya ualim, kaamua kulima bustani.. Je hii ndo ajira ulioitengeneza?
Mwingine degree ya HR kabahatika kaolewa ,je hiyo ndo ajira mnazo zungumzia?
Huyu mwingine bachelor of...