rais

  1. S

    JamiiForums Tanzania Rais wa Zanzibar anaongea na watumishi na wadau wa kada ya Afya , JPM ongea na sekta ya elimu nchini.

    Ukiangalia TV mathalan chanel Ten Rais Hussein Mwinyi yupo Live akipokea changamoto mbalimbali kutoka kwa wafanyakazi wa sekta ya afya Zanzibar ,ushauri wangu kwa Rais Magufuli ni kwamba tukianza mwaka mpya wa 2021 na kwa vile shule kuanzia ngazi ya chekechea mpaka high lever zitakuwa...
  2. U

    JamiiForums Tanzania Makamo wa Rais Mteule wa Marekani Kamala Harris apewa chanjo dhidi Coronavirus

    Vice President-elect Kamala Harris and her husband, Doug Emhoff, received their first doses of Moderna's coronavirus vaccine on Tuesday, with the incoming vice president getting her shot on camera as part of efforts to build public trust in the inoculations. Harris and Emhoff were administered...
  3. Ngamanya Kitangalala

    JamiiForums Tanzania Mwaka 1985, Tanzania ndio ilikuwa nchi ya kwanza barani Afrika kuweka term limit kwa Rais

    Mwaka 1985 kwenye marekebisho ya katiba yetu ya jamhuri wa muungano wa Tanzania ya mwaka 1977, Tanzania ndio ilikuwa nchi ya kwanza barani Afrika kuweka term limit ya vipindi viwili vya miaka mitano kwa Rais wa jamhuri ya muungano wa Tanzania, baadaye ilifuatiwa na nchi ya Senegal kufanya...
  4. Deogratias Mutungi

    JamiiForums Tanzania Barua" fupi" kwa Rais Wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Magufuli

    Salaam Wana JF, Naanza andiko hili fupi kwa kumshukru Mungu kwa wema wake wote kuendelea kutupenda sisi Watanzania na kutujalia kheri za kila namna katika shughuli zetu za kila siku. Baada ya Salaam hizo niangazie kusudi la barua hii fupi, Andiko hili kimaudhui ni kutambua Mchango wa kipekee...
  5. Miss Zomboko

    JamiiForums Tanzania Rais wa Zanzibar kuwasimamisha kazi watakaotuhumiwa kwa rushwa ili kupisha uchunguzi

    Rais wa Zanzibar amesema Kuanzia sasa kiongozi atakayetuhumiwa kwa rushwa, atamsimamisha kazi kupisha uchunguzi na uchunguzi ukikamilika na kukutwa hana hatia, atarejeshwa kazini bila kupoteza stahiki zake "Suala la maadili na usimamiaji wa haki za binadamu limepewa kipaumbele na serikali...
  6. Miss Zomboko

    JamiiForums Tanzania Rais Magufuli awataka TRA kuwashughulikia wafanyabiashara wanaohujumu uchumi kwa kutoa risiti za uongo

    Rais Dk. John Magufuli, amekemea suala la wananchi kununua bidhaa bila kupewa risiti huku pia akiiagiza Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) kuwashughulikia wafanyabiashara wanaohujumu uchumi kwa kutoa risiti za uongo. 'Wananchi hakikisha unachukua risiti kwa kila bidhaa unayonunua na muuza duka...
  7. Miss Zomboko

    JamiiForums Tanzania Rais Magufuli aagiza daraja la Busisi limalizike kwa miaka 3 na sio 4. Awataka Wananchi kuongeza kulima

    RAIS wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. John Magufuli amewataka Watanzania kuzitumia mvua zinazoendelea kunyesha kwa kulima mazao ya biashara ili kuweza kuziuzia nchi zinazokabiliwa na janga la Corona, huku akimtaka mkandarasi wa daraja la Kigongo Busisi kuimaliza kazi hiyo ndani ya miaka...
  8. beth

    JamiiForums Tanzania Rais Trump atia saini muswada wa misaada ya COVID-19

    Rais wa Marekani Donald Trump ameusaini muswada wa sheria wa dola bilioni 900, unaokusudia kutoa misaada kwa watu walioathiriwa na janga la virusi vya corona. Kwa siku kadhaa rais Trump alikataa kutia saini muswada huo tangu ulipopitishwa wiki iliyopita na bunge akiutaja kuwa fedheha. Kulikuwa...
  9. pingli-nywee

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania State of the highest office; The Office of The President

    In my opinion, must be a true reflection of the state of the nation and in extension its policies and aspirations. Unlike staged colourful speeches, chest-beating declarations and rehearsed public appearances. Just the raw image of a leader(or any man/woman), at his element, in his official...
  10. J

    JamiiForums Tanzania Ukitaka kujua ubaya wa mfumo wa chama kimoja, angalia Rais wa Zanzibar Dkt. Hussein Mwinyi anavyoibua ufisadi kila kona

    Mfumo wa chama kimoja unaendekeza tabia ya kuoneana aibu na huruma. Yanayoendelea pale Unguja utadhani awamu iliyopita iliongozwa na upinzani kumbe walikuwepo CCM peke yao barazani na Serikalini. Nyie vijana wadogo akina Tindo, Mrangi na wadogo zenu kajifunzeni Zanzibar. Maendeleo hayana vyama!
  11. U

    JamiiForums Tanzania Show ya Diamond Platnumz yajaza watu 100,000 Sudan

    Hakika huyu kiumbe kashindikana. Hii ni zaidi ya ile ya kigoma
  12. Chagu wa Malunde

    JamiiForums Tanzania Tafakuri: Japokuwa Wapinzani mnamchukia Mkuu wa Kaya, lakini Watanzania wanamshukuru Mungu kuwa na Rais kama huyu

    Wanabodi kabla sijajikita kwenye mada husika naomba niwaweke sawa kuwa upinzani hapa Bongoland umekufa sababu ya CCM kujirekeibisha na kufanya yale watanzania walikuwa wanayatarajia kwa muda mrefu hasa vita dhidi ya ufisadi na ubadhirifu. Kila Mtanzania anafahamu jinsi ugonjwa wa Covid 19...
  13. GUSSIE

    JamiiForums Tanzania Rais Magufuli amtuma RC wa Mbeya kusitisha uvunjaji wa Hotel Desderia inayomilikiwa na Joseph Mbilinyi (Sugu) kwa kisingizio cha mazingira

    Rais Mzalendo na anayejali wawekezaji leo kupitia Mkuu wa Mkoa wa Mbeya Albert Chalamila ametoa tamko au salamu kuwa SUGU au Mbunge mstaafu wa Mbeya Joseph Mbilinyi ni muwekezaji hivyo atalindwa na hotel yake haitabomolewa na mtu yeyote. Kulikuwa na uzushi mitandaoni kuwa hotel imejengwa kwenye...
  14. T

    JamiiForums Tanzania Waziri Mpango mshauri Rais mpunguze idadi ya miradi, pia kuzuia miradi hali sio nzuri

    Mh Mpango mimi naombi moja ni bora ukubali jiuzulu au uendelee kusimamia kile mnakiamini kwamba pesa ipo na watu wameficha hivyo mnapambana kuzipata hizo pesa kwa ku impose new tax return na kufuwatilia madeni ya zamani nakuapia kuna madeni hayalipiki. Mkuu bora lawama kuliko fedhea. Yani huku...
  15. K

    JamiiForums Tanzania Rais Magufuli ataweza kurejesha Azimio la Arusha? Tujadili

    Ukijaribu kuona aina ya uongozi wa Rais Magufuli na hata anavyojinasibu kupitia kwa wapambe wake ni kwamba anaenenda kama Rais wa kwanza Baba wa Taifa Mwl Julius Nyerere. Miongoni mwa Mambo aliyoanzisha Nyerere ni pamoja na Azimio la Arusha lililotaka watumishi wa umma kutenganisha utumishi wao...
  16. D

    JamiiForums Tanzania Hongera Rais Magufuli, umeona mbali kwa kuanzisha Wizara ya Teknolojia ya Habari na Mawasiliano

    Katika zawadi nzuri aliyotupatia Rais na Serikali ya muhula huu wa awamu ya Tano ni kuanzisha wizara inayosimamia TEHAMA. Uchumi wa dunia na wa nchi yetu unabebwa na TEHAMA kutokana na sababu zifuatazo: 1. Mawasiliano ya kibiashara, kimalipo, ukusanyaji mapato, maduhuli,matangazo ya kibiashara...
  17. Analogia Malenga

    JamiiForums Tanzania Burundi: Waandishi habari 4 waachiliwa huru na Rais Ndayishimiye

    Rais wa Burundi Evariste Ndayishimiye Alhamisi aliwasahemehe wanahabari wanne wa jarida la mtandaoni Iwacu, ambao walikua wanazuiliwa jela tangu Oktoba mwaka wa 2019. Wanahabari hao Agnes Ndirubusa , Christine Kamikazi, Egide Harerimana na Terence Mpozenzi walihukumiwa na mahakama ya mwanzo na...
  18. Stroke

    JamiiForums Tanzania Ipo haja ya Hotuba ya Rais kabla ya kufunga mwaka 2020

    Heri ya Sikukuu ya Krismasi ndugu zangu? Naona ipo haja ya kuwa na hotuba ya Rais kwa Taifa kabla ya kufunga mwaka 2020. Hata akitoa Salamu za Mwaka Mpya nayo sio mbaya. Hii itamuwezesha kufanya mambo makubwa mawili; 1. Kuwashukuru wananchi kwa kumchagua kwa awamu ya pili ( najua ameshafanya...
  19. J

    JamiiForums Tanzania Rais Magufuli leo anamuapisha Kamishna wa Maadili Jaji Mwangesi

    Hafla hiyo itafanyika Ikulu , Chamwino jijini Dodoma saa 4 kamili asubuhi. Tukio litarushwa mubashara TBC, Channel ten na ITV. Updates; ====== Rais Magufuli ameingia ukumbini na zoezi la kiapo limeanza. Kiapo kimekamilipa na sasa Naibu waziri wa Utumishi mh Ndejembi anatoa salamu za wizara...
  20. Analogia Malenga

    JamiiForums Tanzania Rais Magufuli amteua Jaji Sivangilwa Mwangesi kuwa Kamshina wa Maadili

    Sivangilwa Sikalalilwa Mwangesi ambaye ni Jaji wa Mahakama ya Rufani ameteuliwa na Rais Magufuli kuwa Kamishna wa Maadili. Mwangesi anakuwa kamishna baada ya aliyekuwa Kamishna wa Maadili, Harold Nsekela kufariki dunia. Uteuzi huu unaanza leo, Desemba 23 na Rais atamuapisha kesho Desemba 24...
Back
Top Bottom