Uhuru nilikuwa namuona Rais mstaarabu kuliko wote East Afrca kumbe ni hovyo mno

Johnny Sack

JF-Expert Member
Jan 21, 2017
8,814
18,808
Siasa za Kenya ni kama unaangalia series ya Game of Thrones in real life, zinasisimua na zipo very unpredictable

Huyu jamaa Uhuru Kenyatta nilikuwa naumuona kama yupo civil, level headed, japo sikutegemea atakuwa perfect, kumbe huyu jamaa nae hana tofauti na wnasiasa wanafiki, madikteta na short sighted wengine tulio nao hapa East Africa na Africa.

Nilianza kumshangaa baada ya kumsikia anataka eti uras wa Kenya utolewe kwa kufanya rotation ya kimakabila..! sasa jamaa hakuona hilo suala yeye alipokuwa akigombea Urais akimpokea kibaki ambapo wametokea kabila moja?

Ameanza kuliona baada ya kuona makumu wake wa Urais kama ana chance kubwa ya kuwa rais baada ya yeye kuondoka
Anyay, sasa uta rotate vip urais kwenye nchi yenye makabila sijui 42? si hiyo rottion itanza kuvurugika kabla hawajfikia hata kabila 6? ingekuwa nchi yenye makabila 2 au 3 pengine ingeingia akilini kidogo, japo uongozi hautakiwi kutolewa kwa kungalia kabila ila merit za mgombea.

Sasa kauli ya uhuru inazidi kugawa watu maana badala ya kujadili sera sasa wataanza kujadili na kupondeana makabila na kuzidisha chuki, cha ajabu Uhuru anajinasibu kuwa yeye na Raila wanajenga umoja wa nchi kupitia BBI huku yeye akitamka maneneo ya kuzidisha chuki za kikabila akiwa nyumbani kwake na kuitisha mikutano ya kikabila na kuhonga madiwani (MCA) mamilioni ya fedha ili wapitishe huo mswada badala ya ushawishi wa sera. Siasa za hovyo sana
 
Hapo kwenye zamu ya urais kulingana na kabila. sasa kama makabila yako 42 na kila kabila miaka 10. Kabila la mwisho kupata urais itakuwa baada ya miaka 400 (42 x 10 - 10 = 420 - 10). :p 🤣 :p
Na mwaka huu kuna dalili zote mbaya za uvunjifu wa amani. maana ruto hawezi kukubali kutumika kama bangusilo. :p🤣
 
juzi katukana Sonko kajibiwa kwa kutajwa dada zake kwenye rushwa ya county ya Nairobi, akamzushia kesi ya ujambazi Sonko. Sonko anasota selo!

Ila wakina Tony254 wako busy kusifia uhuni wa Uhuru!
Ukibugi na kuanza kuleta jeuri lazima kesi zifufuliwe ndio utie adabu, hata kwenu ukibugi mzazi anafuafua yote yale uliyomfanyia
 
juzi katukana Sonko kajibiwa kwa kutajwa dada zake kwenye rushwa ya county ya Nairobi, akamzushia kesi ya ujambazi Sonko. Sonko anasota selo!

Ila wakina Tony254 wako busy kusifia uhuni wa Uhuru!
Sonko naye alikuwa amezidi sana kwenye matusi. Anatukana Uhuru utadhani uhuru ni ndugu yake wa toka nitoke. Halafu baada ya kutukana Uhuru na dada zake bado anasema kwamba walivuta bangi pamoja. Halafu kuharibu zaidi anatukana hata na deep state. Kenya pia kuna deep state ambao ukiwagusa lazima wakuandame. Sonko alisema kuwa Karanja KIbicho ambaye ni PS wa interior kwamba alipanga machafuko wakati wa 2017 elections.. Kwanza ni mjinga anasema kwamba walipanga pamoja. Kibicho anacontrol polisi na DCI sasa ndio maana polisi na DCI wanampumulia Sonko kisogoni. Ana mdomo kubwa sana huyu jamaa. Hakufunzwa adabu na wazazi wake sasa wacha ulimwengu udeal na yeye.
 
Si huwa mnasema mna Katiba mpya inayowapa uhuru wa Kujieleza na kumsema yoyote mpendavyo? What hapenned
 
Sonko naye alikuwa amezidi sana kwenye matusi. Anatukana Uhuru utadhani uhuru ni ndugu yake wa toka nitoke. Halafu baada ya kutukana Uhuru na dada zake bado anasema kwamba walivuta bangi pamoja. Halafu kuharibu zaidi anatukana hata na deep state. Kenya pia kuna deep state ambao ukiwagusa lazima wakuandame. Sonko alisema kuwa Karanja KIbicho ambaye ni PS wa interior kwamba alipanga machafuko wakati wa 2017 elections.. Kwanza ni mjinga anasema kwamba walipanga pamoja. Kibicho anacontrol polisi na DCI sasa ndio maana polisi na DCI wanampumulia Sonko kisogoni. Ana mdomo kubwa sana huyu jamaa. Hakufunzwa adabu na wazazi wake sasa wacha ulimwengu udeal na yeye.

kama nikweli je, walikuwa wakivuta kitu cha Arusha? Kama mimi ni mwanasheria ninaemtetea Sonko naitisha vipimo vya Uhuru kudhibitisha kama anatumia au hatumii sigara kubwa!
 
Sonko naye alikuwa amezidi sana kwenye matusi. Anatukana Uhuru utadhani uhuru ni ndugu yake wa toka nitoke. Halafu baada ya kutukana Uhuru na dada zake bado anasema kwamba walivuta bangi pamoja. Halafu kuharibu zaidi anatukana hata na deep state. Kenya pia kuna deep state ambao ukiwagusa lazima wakuandame. Sonko alisema kuwa Karanja KIbicho ambaye ni PS wa interior kwamba alipanga machafuko wakati wa 2017 elections.. Kwanza ni mjinga anasema kwamba walipanga pamoja. Kibicho anacontrol polisi na DCI sasa ndio maana polisi na DCI wanampumulia Sonko kisogoni. Ana mdomo kubwa sana huyu jamaa. Hakufunzwa adabu na wazazi wake sasa wacha ulimwengu udeal na yeye.

Jamaa(sonko) huwa nalikubali sn huwa linajiamini kinyama ...we ongea uongeavyo ...tukana utukanavyo...piga majungu uwezavyo jamaa huwa halijali

Kuna kipindi lilienda Paris halafu likaacha msala huku nyuma wakiwa na mpango kuling'oa ofisini ndio kwanza likawa linawaambia Mambo vp Nairobi!!!..binadamu unapaswa kuwa na roho ngumu kama ya sonko
 
Hebu tuletee hiyo hotuba ya rais Uhuru akisema kwamba kiti cha urais kiwe kinakaliwa kwa rotation ya makabila nchini Kenya. Maanake taarifa zingine hata sisi wakenya huwa tunazisikia kutoka kwenu nyie wanakwaya wa Lumumba.
MKUU HUJUI KINAHOENDELA NCHINI KWENU?

Umeona sasa ya kwamba umekurupuka
Lugha ni tatizo kubwa sana pia. Huyo presenter wa KTN ametoa maelezo ya kutosha kabla ya hiyo clip ya matamshi ya Raila Amolo Odinga. Ila ni wazi kabisa kwamba mleta mada ametoka kapa.
 
Back
Top Bottom