rais

  1. JamiiForums Tanzania Ushujaa na ubora wa Rais Magufuli utang'ara zaidi baada ya kung'atuka madarakani 2025

    Salaam Wana JF Nianze andiko hili fupi la uchambuzi kwa kutoa hongera na shukrani kwa Rais Dkt. Pombe Magufuli kuendelea kuonyesha misimamo chanya dhidi ya maslahi ya Watanzania katika mambo ya kisiasa, kiuchumi, kijamii na kifya licha ya uwepo wa mashambulizi makali kutoka miongoni mwa...
  2. JamiiForums Tanzania Taifa linalojali misingi ya demokrasia lazima litengeneze mazingira kuhakikisha Rais anashinda uchaguzi kihalali

    Lazima mfumo wa uchaguzi wa Rais kizamani ambao hauendani na misingi ya kidemokrasia usiwepo tena hapa Tanzania. Kama kuna mgombea Urais ambaye hajaridhika na matokeo basi kuwepo na utaratibu wa kupinga hayo matokeo mahakamani. Ili kuhoji uhalali wa aliyeshinda. Kuishi na taifa amabalo baada...
  3. B

    JamiiForums Tanzania Mwenyekiti atishia kwenda kwa Rais mbele ya Waziri Lukuvi

    3 Mar 2021 Mtoto wa Muasisi wa TANU uso kwa uso na Mh. Lukuvi, matatizo ya ardhi jijini Mwanza Leo March 03, Waziri wa Ardhi Nyumba na Maendeleo Makazi William Lukuvi amekutana na Watumishi wa Jiji la Mwanza idara ya ardhi na wengine, Waziri Lukuvi akiendelea na kikao nje kukawa na Wananchi...
  4. 5

    JamiiForums Tanzania Mtandao wa 'Sema na Rais' kule Zanzibar mbona kuna jambo halikuingizwa?

    Habari za wakati huu watu wa jamvi hili. Mimi ni miongoni mwa waliofurahishwa sana na juhudi za Dr. Mwinyi kule zanzibar kwa kuweza vyema kuwaunganisha wazanzibari kwa kuunda umoja wa Kitaifa chini ya Almarhum Maalim Seif Sharif Hamad (Allah Amrehemu). Jambo jengine zuri zaidi Dr. Mwinyi...
  5. F

    JamiiForums Tanzania Kuibuka kwa wananchi wakiwa na Mabango ya kero mbele ya Rais Magufuli. Je, ni Kushindwa kwa viongozi wa kisiasa na watendaji mbalimbali?

    Kumekuwa na tabia iliyozoeleka Sasa ya wanainchi wakiwa na Mabango ya kero mbalimbali mbele ya Rais Magufuli. Hii ni Ktk ziara zake mbalimbali za kuwatumikia wanainchi. Je, hali hii inamaanisha ni Kushindwa kwa viongozi wa kisiasa/ wawakilishi na watendaji/ watumishi wa umma katika kazi zao?
  6. JamiiForums Tanzania Je, kutokuwepo kwa rabsha za tumbuatumbua ndio ishara kuwa Rais Magufuli amemaliza kero zote za wananchi? Mbona kama mambo ndivyo sivyo?

    Ndugu wana JF humu ndio mahala pa kuhoji kila jambo linalotuhusu. Je, serikali awamu ya tano imekamilisha kutatua kero zetu? Alipoingia madarakani rais Magufuli alianza kwa kasi ya kutumbua wote ambao walionekana ni wabadhirifu, wasiowaadirifu ambao walionekana kuwaletea kero wananchi kisha...
  7. JamiiForums Tanzania Hoteli ya nyota Tatu inajengwa Chato, Wana-CCM mnafurahishwa na kitendo cha kupeleka kila mradi wa ujenzi Chato?

    Maelezo ya Picha: Naibu Waziri wa Maliasili na Utalii, Mary Masanja(Kulia) akikagua hoteli ya nyota tatu inayojengwa na Hifadhi za Taifa Tanzania inayojengwa Wilayani Chato mkoani Geita. Mwalimu Nyerere akijua kabisa kuwa kuku wa taifa lazima aliwe na wote, aliamua almasi inayochimbwa...
  8. JamiiForums Tanzania Mfahamu mrithi wa Marehemu Maalim Seif, Mh. Othuman Masoud Othuman

    Anaitwa Othuman Masoud Othuman Sharif Mzanzibari na mtu mashuhuri katika masuala ya sheria. Mh.Othumani alizaliwa kijiji cha Pandani huko Wilayani Wete, Mkoa wa Kaskazini Pemba, tar 7 Februari 1963.Alizaliwa mwaka ambao Zanzibar ilikuwa chini ya utawala wa kisultan mwaka 1963 ,utawala ushirika...
  9. J

    JamiiForums Tanzania Zitto: Msaidizi wa Maalim Seif alinipigia simu mara 4 kutaka kunijulisha msiba sikupokea ndipo akanipigia Rais Mwinyi nikapokea kwa mujibu wa sheria

    Akizungumza katika kipindi cha Clouds 360 KC wa ACT wazalendo Zitto Kabwe amesema siku maalim Seif alipofariki yeye alikwenda hospitali asubuhi na kuelezwa maendeleo ya mgonjwa. Anasema ilipofika saa 5 na ushee akiwa katika shughuli za chama alipigiwa simu na msaidizi wa maalim Seif aliyekuwa...
  10. V

    JamiiForums Tanzania Kanisa la Baptist IFB: Heko Rais John Magufuli kwa msimamo wako juu ya corona na chanjo zake

    TAMKO LA KANISA KUUNGA MKONO MSIMAMO WA RAIS JOHN POMBE MAGUFULI KATIKA SUALA LA UGONJWA WA COVID-19 NA CHANJO ZAKE 1. UTANGULIZI: Tamko hii halina malengo ya kisiasa kwa maana sio jukumu la kanisa kuhubiri siasa (1 Kor. 5:12; 2 Tim. 4:2). Hii ni taarifa fupi ambayo haitaweza kugusia kwa...
  11. JamiiForums Tanzania Othman Masoud Othman Sharif ateuliwa kuwa Makamu wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar

    Rais Hussein Mwinyi wa Zanzibar leo amemteua Othman Masoud Othman Sharif kuwa Makamu wa Kwanza wa Rais kufuatia kifo cha Maalim Seif Sharif Hamad. Uteuzi huo umefanywa na Rais kwa kuzingatia matakwa ya Kifungu cha 9(3) cha Katiba ya Zanzibar ya Mwaka 1984, na vilevile baada ya kushauriana na...
  12. J

    JamiiForums Tanzania Zitto Kabwe: Jina la Makamu wa Kwanza wa Rais Zanzibar tulilompelekea Rais Mwinyi limetokana na wosia wa Maalim Seif

    Kiongozi mkuu wa ACT Wazalendo, Zitto Kabwe amesema jina walilompelekea Rais Hussein Mwinyi kwa ajili ya uteuzi wa makamu wa kwanza wa Rais wa Zanzibar limetokana na wosia aliouacha Maalim Seif mwenyewe. Zitto Kabwe amesema mtu huyo anaenda kumsaidia sana Rais Mwinyi na pia atawaunganisha wana...
  13. K

    JamiiForums Tanzania Rais Magufuli, Dkt. Antony Diallo alikuongopea kuhusu Bollen Ngetti, anatia huruma

    Wanabodi nawasalimu. Kama wewe ni mfuatiliaji wa siasa za Tanzania hasa miaka 10 iliyopita huwezi kusahau jina la kijana Bollen Ngetti aliyekuwa Mhariri wa gazeti la Sauti Huru. Kati ya Mwaka 2013-2015 kijana huyu alikuwa mwiba kwa Chadema na viongozi wao. Ni huyu kijana aliyeibua utapeli wa...
  14. JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Rais Uhuru aukwaa uenyekiti wa Kamati ya Usalama Afrika, hii ni mara tu baada ya kuchukua usukani EAC

    Ikumbukwe pia Kenya imepata uanachama kwenye kamati ya usalama ya Umoja wa Mataifa, ndio maana imebidi kupigiwa simu na rais wa Marekani bwana Biden ili wajadili udhabiti wa Afrika. President Uhuru Kenyatta signs the Finance Bill 2018 at State House, Nairobi. PSCU President Uhuru Kenyatta has...
  15. T

    JamiiForums Tanzania Washauri wa Rais msisahahu ipo misingi iliojengwa na wazee wetu, kamwe msipotezee

    Nakaa nakutafakari sana kule tumetoka na kule tunaenda kama taifa. Nina amini kabisa kama Taifa mtakubaliana nami kazi kubwa sana imefanyika mpaka leo hii yapata miaka zaid ya hamsini ya uhuru wetu kama Taifa. Taifa hili limejegwa kwa jasho na dam za watu wengi na kwa bahati mbaya wengi...
  16. J

    JamiiForums Tanzania Mchungaji Mastai: Kuchukua tahadhari dhidi ya Corona hakuhitaji kusubiri tamko la Rais

    Mchungaji Matsai wa Kanisa la KKKT kimara amewataka waumini wake kuchukua tahadhari dhidi ya Corona kwa sababu siyo kila jambo ni lazima Rais atoe kauli. Mchungaji amesema kama unaona kuna tatizo mbele ni lazima uchukue tahadhari kwa sababu akili unazo. Nawatakia Kwaresma yenye baraka...
  17. JamiiForums Tanzania Modus operandi ya Rais Magufuli ni ya ajabu!

    Utendaji kazi wa Rais Magufuli ni wa ajabu kweli. Au naweza kusema ni ambao haufuati desturi ama kawaida ya utendaji wa mambo. Ni unorthodox, kwa kimombo 😜. Hivyo ndivyo ninavyoweza kuuelezea kwa kifupi. Fuatana nami nikuelezee kwa nini nasema hivyo; Nimeangalia video fupi ya hotuba...
  18. JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mkenya ateuliwa kuwa Katibu Mkuu EAC, huku naye Rais Uhuru akichukua uenyekiti

    Binafsi huwa sina imani kwenye huu usanii wa hiki kitu tunaita EAC, lakini wacha tuone mwisho wake.... pia naona sarafu ya pamoja ipo kwenye hatua za mwsho kutekelezeka The chairman of the EAC Heads of State, Rwandan President Paul Kagame has announced Dr Peter Mathuki from Kenya as the new...
  19. JamiiForums Tanzania Ibara 36 ya katiba ya Tanzania imempa Rais mamlaka ya kuteua na kutengua anavyotaka. Msimpangie kwa matakwa yenu ya kisiasa

    Inatia aibu kuona viongozi wa chama kikubwa kama Chadema na wafuasi wao wanataka kuingilia mamlaka ya uteuzi aliyonayo rais wa JMT. Ina maana hamna muda wa kupitia na kuperuzi katiba ya JMT? Kwa namna hii mnafaa kuongoza nchi kama hata vifungu vya katiba ya JMT hamuwezi kuvipitia na kuvielewa...
  20. JamiiForums Tanzania Ukimya wa Rais mstaafu Ali Hassan Mwinyi

    Kiongozi wetu mstaafu Ally H Mwinyi amekuwa haonekani katika hadhara. Na hii sio kawaida yake. Kama kiongozi mstaafu wa taifa tunapaswa kupewa taarifa zake. Maana tumezoea kwenye matukio mengi kuona Marais Wastaafu wakiwa pamoja. Safari anaonekana mara kwa mara Jakaya Kikwete. Je, kuna lolote...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…