rais

  1. T

    JamiiForums Tanzania Je, viongozi wa Serikali wanaweza kutumia ukimya wa Rais kupoka raslimali za taifa?

    Kuna uwezekano mkubwa baadhi ya viongozi hasa wakuu mbalimbali wa taasisi, idara na vitengo, nk. wakatumia huu ukimya wa Rais kupora mali kwa kisingizio cha kutumwa na Rais ama wakapora kinyume cha sheria kwa kuwa Rais kakaa kimya. Pia kuna uwezekano baadhi ya viongozi wenye kashfa wakatumia...
  2. JamiiForums Tanzania Mama Samia Suluhu: Rais anawasalimia, anasema tuchape kazi tulete tija kwa Taifa letu

    Leo Mama Samia ameanza ziara mkoani Tanga na akiwa kwenye kiwanda kimojawapo alichozindua kinachoshughulika na matunda wilayani Korogwe, alipata nafasi ya kusalimu wananchi baada ya kuombwa na mkuu wa mkoa wa Tanga ambapo alianza na salam kutoka kwa Rais Magufuli "Kabla ya kuwapongeza...
  3. JamiiForums Tanzania Mke wa Rais wa Syria kufunguliwa mashtaka nchini Uingereza

    Miaka 10 tangu kuanza kwa mapigano nchini Syria, Mke wa dikteta na rais wa Syria, Bashar al-Assad, Asma al-Assad anakabiliwa na mashtaka ya uhalifu dhidi ya binadamu na kushawishi uhalifu dhidi ya wananchi wa Syria, mashtaka yaliyofunguliwa dhidi yake nchini Uingereza. Asma ambaye ana uraia...
  4. J

    JamiiForums Tanzania Mama Samia: Katika wakati muhimu Watanzania kushikamana ni wakati huu, Si wakati wa kusikiliza maneno yanayotoka nje yakatuparaganya vichwa

    Makamu wa Rais mama Samia Suluhu ameanza rasmi ziara ya siku 6 mkoani Tanga akianzia wilaya ya Handeni ambako anapewa taarifa ya ujenzi wa jengo la ofisi za halmashauri za wilaya ya Handeni. Tuko mubashara TBC. Updates: Madhumuni ya ziara yangu ni kuangalia miradi ya maendeleo, miradi yote...
  5. S

    JamiiForums Tanzania Ajira za upendeleo: Rais Magufuli tunakuomba ulitatue na hili

    Hivi siku hizi ajira za walimu ni za upendeleo? Zile ajira 5000 za walimu mheshimiwa Kassim Majaliwa (hata wewe pia) mlisema walimu 5000 tayari wameshasambazwa vituoni lakini hakuna sehemu yoyote majina haya yamewekwa hadharani na hata waziri wa TAMISEMI hajayatangaza. Basi ukipata nafasi...
  6. J

    JamiiForums Tanzania Makamu wa Rais Mama Samia Suluhu kesho kuanza ziara ya siku sita mkoani Tanga

    Makamu wa Rais mama Samia Suluhu kesho ataanza ziara ya siku sita mkoani Tanga Mkuu wa mkoa wa Tanga mh Shigekla amesema akiwa mkoani Tanga mama Samia atazindua miradi mbalimbali na programu za uwekezaji kwa wawekezaji wote. Maendeleo hayana vyama! === Makamu wa Rais, Samia Suluhu Hassan...
  7. T

    JamiiForums Tanzania NCCR-Mageuzi: Wananchi wanataka kujua mahali aliko Rais wao kipenzi

    CHAMA cha upinzani nchini Tanzania – NCCR-Mageuzi – kimekoleza moto katika mjadala unaohusu mahali alipo Rais John Pombe Magufuli. Anaripoti Matrida Peter Dar es Salaam … (endelea). Martha Chiomba, katibu mkuu wa chama hicho, amewaambia waandishi wa habari, leo Jumapili, tarehe 14 Machi 2021...
  8. B

    JamiiForums Tanzania Napingana na wanaosema Afya ya Rais si siri

    Nimpongeze Mhe. Rais kwa kuamua kukaa chini na kufanya kazi za ofisi ikiwemo kuhakikisha mambo nyeti yaliyokuwa yanasimamiwa na Marehemu Balozi Kijazi yanakabidhiwa kiutaratibu kwa mrithi wake. Kuondoka ghafla kwa Mhe Kijazi si Jambo dogo kwenye utawala wa nchi, huyu alikuwa mshauri mkuu wa...
  9. J

    JamiiForums Tanzania RC Chalamila: Waziri Mkuu, Majaliwa kuanza ziara ya siku mbili Mkoani Mbeya, namshukuru Rais Magufuli kwa ujenzi wa Hospitali ya Rungwe

    Mkuu wa mkoa wa Mbeya Albert Chalamila amesema Waziri Mkuu, Majaliwa anaanza ziara ya siku mbili mkoani Mbeya. Akiwa mkoani Mbeya Mhe. Majaliwa atafungua Jengo la Mama na Mtoto jijini Mbeya, atafungua hospitali iliyoahidiwa na Rais Magufuli wakati wa kampeni wilayani Rungwe na atafungua kituo...
  10. JamiiForums Tanzania Vipaumbele vya Serikali ya Rais Magufuli havitoshi kutokomeza matatizo tuliyonayo

    Wana bodi, Nina mshukuru Mwenyezi Mungu kwa kuweza kunipa nafasi ku wasiliana na wote tena siku ya leo. Katika kipindi hiki ni vyema kwa wote kufahamu kwamba Rais Magufuli ku wasiliana na wananchi kupitia vyombo vya habari ni kitu ambacho hakipo ndani ya uwezo wetu. Ratiba ya Rais, kwasababu...
  11. JamiiForums Tanzania Mwl. Nyerere: Unaweza kumtingisha Waziri Mkuu nchi isitikisike lakini huwezi kumtingisha Rais

    Mwl. Nyerere alikuwa na busara sana kulipotokea hamkani ya Malechela kutomshauri vema Rais Mwinyi, Nyerere alionya akasema unaweza kumtingisha Waziri mkuu nchi isitikisike lakini huwezi kumtingisha Rais nchi ikaacha kutikisika. Maana yake ni nini? Mwl. alitambua nguvu ya Rais na mamlaka yake...
  12. JamiiForums Tanzania PICHA: Makamu wa Rais hupokea heshima ya kiitifaki wapi?

    Kupitia picha hizi hapa chini, nimejiuliza mara mbili tatu je, ni wapi makamu wa Rais hupokea heshima ya kiitifaki kama picha zinavyojieleza?
  13. R

    JamiiForums Tanzania TUJIKUMBUSHE: Kifo cha Rais wa Malawi wahaini sita usiku wa manane" The Midnight Six" na Njama za kutaka kumpora Urithi wa Urais Joyce Banda

    Habari za leo ndugu wasomaji wa JamiiForums. Kisa hiki cha Rais wa Malawi Pres Bingu wa Mutharika na Makau wake Joyce Banda chaweza kuwa na funzo namna taasisi za nchini humo zilivyokuwa na maadili kwa maslahi ya wana Malawi. Twende pamoja. Ni usiku wa kuamkia tare 5 aprili 2012, Rais Bingu...
  14. M

    JamiiForums Tanzania Unakumbuka mwaka 1994 Wazanzibar walivyokasirika Rais wa Zanzibar kuondolewa kuwa Makamu wa Rais wa Muungano?

    Kabla ya vyama vingi kuja Rais wa Zanzibar alikuwa moja kwa moja ni makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano. Vilipoanza vyama vingi ilibidi kubadili katiba tume ya Bomani (RIP) ikapendekeza kuwe na makamu wawili na wagombee pamoja uchaguzini na watoke chama kimoja. Mapendekezo yakasema kwamba...
  15. JamiiForums Tanzania Hongera TRA, hongera Rais Magufuli

    Mnyonge mnyongeni lakini haki yake mpeni! Naipongeza mamlaka ya mapato Tanzania(TRA) kwa mabadiliko makubwa mliyofanya kiasi cha kuifanya mamlaka kuwa rafiki badala ya kuwa adui kwa walipa kodi. Binafsi nimeona mabadiliko haya chanya kuanzia January 2021. Wafanyakazi wa Mamlaka hii wamekuwa...
  16. JamiiForums Tanzania Baadhi ya vyombo vya habari vya nchi jirani vinaeneza uongo, vichukuliwe hatua Kali

    Magazeti ya nchi moja jirani yanaandika habari za uongo na kusababisha taharuki, naomba mamlaka zinazohusika zichukue hatua stahiki. Mfano People Daily online hasa la leo. Ni wakati mzuri Sasa Watanzania tushikamane kuitetea nchi yetu.
  17. T

    JamiiForums Tanzania Nashauri awamu ya sita agombee Rais Mstaafu Ndg. Jakaya Kikwete

    Pamoja na mapungufu yake katika awamu ya nne, Rais Kikwete aliweza kujenga mshikamano kwa Watanzania kwa asilimia kubwa jambo ambalo kwa sasa hivi limepungua sana. Uchumi ulizidi kuimarika, deni la taifa lilikuwa chini, miundombinu ilizidi kujengwa, Watumishi wa Umma walipata increment na...
  18. JamiiForums Tanzania Nigeria: Rais atoa ruhusa kwa Wanajeshi kuwapiga risasi Watu wote watakaoonekana na bunduki ya AK-47

    Wanajeshi wa Nigeria wamepata ruhusa ya kuwapiga risasi bila kuhitaji kibali, watu wote watakaoonekana wakiwa na bunduki aina ya AK-47, kufuatia agizo la rais Muhammadu Buhari. Amri hii imetolewa kufuatia kuzorota kwa hali ya usalama, baada ya visa vitatu vya utekaji nyara kati ya Desemba na...
  19. JamiiForums Tanzania Namna Vyombo vya Habari vya Kimataifa vilivyoingia mtegoni kueneza uvumi wa kifo cha Kim Jong Un

    Rais wa Korea Kaskazini alionekana akiwa hai mara baada ya vyombo vya habari vya Kimataifa kama CNN kuripoti kuwa amefariki dunia. Je, ni kitu gani kilipelekea vyombo hivyo vya habari kutoa taarifa kuhusu kifo chake? Mwaka 2020 kulitokea uvumi kuhusu kifo cha Rais wa Korea Kaskazini, Kim...
  20. JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Covid 19: Rais Kenyatta apiga marufuku mikusanyiko ya kisiasa kwa siku 30. Curfew yaongezwa kwa siku 60

    Rais wa Kenya Uhuru Kenyatta ametangaza taratibu mpya za kudhibiti janga la COVID-19 nchini humo ikiwa ni pamoja na: Mikusanyiko ya kisiasa imepigwa marufuku kwa siku 30. Marufuku ya kuwa nje usiku imerefushwa kwa siku 60 zaidi Mabaa na kumbi za burudani kufungwa kuanzia saa tatu usiku. Mazishi...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…