rais

  1. JamiiForums Tanzania Kuna watu wanabeza Rais kusikiliza maneno ya mitandaoni, kwani watu wa mitandaoni sio Watanzania au hawapaswi kusikilizwa?

    Kuna watu wana hoja mfu sana. Wanabeza Rais kusikiliza maneno ya mtandaoni. Kwani watu walioko mitandaoni sio watanzania au hawapaswi kusikilizwa? Watu wa mitandaoni ndio hawa hawa watu wa mitaani. Au wanadhani watu wa mitandaoni wanatoka sayari nyigine? Mitandao ni platform sahihi kabisa ya...
  2. U

    JamiiForums Tanzania Makamu wa Rais azuru Kaburi la Magufuli akiwa njiani kuelekea Kibondo

    Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt Philip Mpango ametembeleaa kaburi la aliyekuwa Rais wa Tanzania Hayati Dkt John Magufuli. Dkt Mpango alizuru kaburi hilo akiwa njiani kuelekea Wilayani Kibondo Mkoani Kigoma ili kufunga kampeni za Uchaguzi za CCM jimboni Muhambwe...
  3. M

    JamiiForums Tanzania TAMISEMI njooni muondoe wezi Tanga Jiji na Mkinga

    Ninawasalimu wanajukwaa wa JF Wakati Mh.Rais akitembea na kauli mbiu ya kazi iendelee,wapo manaibu makatibu wawili wa Tume ya Utumishi wa Walimu(TSC) wa wilaya za Tanga Jiji na Mkinga Halmashauri kauli yao itakua wizi unaendelea. Wanafanya wizi wa dhahiri,unyanyasaji,uonevu na ukandamizaji wa...
  4. JamiiForums Tanzania Bandari zetu nazo ziwe chini ya Ofisi ya Rais kwa Usalama wa Taifa

    Naona sasa ni muda muafaka bandari zetu zikawa 'monitored directly' kutoka ikulu na special branch of IT graduate and highly motivated TISS operatives. ... hii itasaidia kupunguza safari za kushtukiza ambazo, naanza kuona, hazileti tija yeyote katika kudhibiti upigaji na kuongeza ufanisi! Picha...
  5. M

    JamiiForums Tanzania Kongole nyingi Kwako Rais Samia kwa Kutujua haraka Watanzania na Kucheza vyema na Akili zetu za Kimihemko na Matukio

    Baada ya kugundua umetukwaza kwa DPP Biswalo Mganga na Kelele kuwa nyingi Mitandaoni hatimaye leo umefanya U - Turn ya maana kwa Kutufurahisha kwa Kumtumbua DC Ole Sabaya. Na kwa jinsi Watanzania tulivyo Watu wa Bendera fuata upepo na Watu tunaoishi kwa Matukio na Mihemko tayari la Biswalo...
  6. M

    JamiiForums Tanzania Kanisa la Askofu Charles Gadi, lamuandikia Rais Samia ujumbe mzito

    GOOD NEWS FOR ALL MINISTRY BISHOP DR. CHARLES GADI PRESS RELEASE (May 12, 2021) Ndugu Waandishi, salamu – naomba nichukue nafasi hii kuwashukuru kwa kuja kunisikiliza, na pia niwapongeze kwa jitihada zenu za kuelimisha jamii na taifa kwa ujumla ikiwa ni pamoja na kutuhabarisha matukio mbali...
  7. B

    JamiiForums Tanzania, JamiiForums Uganda Tujadili Hotuba ya Mh. Rais Yoweri K. Museveni

    12 May 2021 Kampala, Uganda Ceremonies for the 6th swearing-in of President Yoweri Museveni started early in Kololo, Kampala on Wednesday 12, May 2021 President Museveni’s full speech on his inauguration for the sixth term in office Your Excellencies, The people of Uganda and myself, welcome...
  8. B

    JamiiForums Tanzania Wakili Peter Madeleka umekuwa lini msafi hadi umfundishe Rais kazi?

    Naandika hapa nikiwa na maumivu binafsi juu ya clip ya wakili Peter Madeleka. Sipingani na hoja alizotoa kwa sababu nyingi zina mashiko na mjadala aliouibua unatija kwa haki jinai Tanzania. Kilichonisukuma kuandika ni baada yakumsikiliza akitamka haki kwenye vyombo vya habari akijitapa kwamba...
  9. JamiiForums Tanzania, JamiiForums Uganda Rais Museveni aapishwa kuongoza Uganda kwa miaka mitano

    Rais Yoweri Museveni ameapishwa kwa mara ya sita mfululizo kuliongoza taifa hilo hadi mwaka 2026 katika sherehe zilizofanyika Uwanja wa Kololo nchini humo. Museveni amekuwa kiongozi wa nchi hiyo tangu mwaka 1986. Sherehe za uapisho zimehudhuriiwa na viongozi takriban 11 wa mataifa mbalimbali...
  10. JamiiForums Tanzania Rais Samia aambiwe ukweli, vinginevyo Taifa litaangamia

    Eneo la kwanza ni kuheshimu katiba na sheria, hili ni eneo ambalo kama nchi tunataka kudumisha upendo na amani ni la kuzingatia kwa nguvu zote. Samia ameapa kulinda katiba asipofanya hivyo ni uhaini na lazima atakuja kuchukuliwa hatua bila kujali kinga za Urais. Mila na utamaduni wa Taifa lo...
  11. JamiiForums Tanzania TEUZI: Rais Samia Suluhu ateua Majaji wa Mahakama ya Rufani, Majaji wa Mahakama Kuu. DPP Mganga ateuliwa kuwa Jaji

    Rais Samia amefanya teuzi za Majaji wa Mahakama wa Rufani, Mahakama Kuu na Kumwongezea muda Jaji Mahakama ya Rufani.
  12. J

    JamiiForums Tanzania Ikulu, Dar: Rais Samia afanya mazungumzo na Waziri wa Mambo ya Nje wa Uingereza anayeshughulikia Afrika

    Rais Samia leo amekuwa na mazungumzo na Waziri wa mambo ya nje wa Uingereza anayeshughulikia maswala ya Afrika. Mazungumzo hayo yalijikita katika kuimarisha mahusiano ya kidiplomasia na kiuchumi.
  13. JamiiForums Tanzania Rais Samia naomba umfariji Tundu Lissu

    Rais wetu mama, Tanzania ni ya watanzania wote, na kila RAIA ni muhimu sana kwa nchi yake. Watanzania hawana kwao kwingine ila Tanzania. Kilichompata Tundu Lissu ni vigumu kuamini kwamba yuko hai hadi Leo. Tundu Lisu amepata maumivu makubwa sana ya kimwili, kisaikolojia, kijamii na kiuchumi...
  14. JamiiForums Tanzania Sakata la Makamu wa Rais Riadha Tanzania John Bayo kuhusu Vyeti, BMT wakosa majibu

    Olympic Games ni mchezo unaotazamwa na kufuatiliwa na watu wengi zaidi duniani (zaidi ya bilioni 4), wenye mamlaka na madaraka ya kimichezo wanapokataa kutoa majibu marahisi wasitegemee medali za Tokyo Olympics. Huu ni mwaka muhimu wa Olimpiki, BMT na Wizara ya Michezo wanapaswa kutatua kero...
  15. M

    JamiiForums Tanzania Serikali kuahirisha Mechi ya Simba na Yanga ili kuwalazimisha wananchi wafuatilie tukio la Uzinduzi wa Kitabu cha Mzee Mwinyi ni kitendo cha aibu

    Unajua kuna wakati unaweza ukajiuliza hivi tuna viongozi wa serikali wa namna gani. Inafahamika wazi kuwa ratiba ya Ligi inapangwa muda mrefu na bila shaka kwa kuzingatia matukio mbalimbali makubwa ya Kitaifa na kwa kanuni za Ligi Sasa inashangaza Leo, mchezo ukiwa umebakisha masaa mawili tu...
  16. JamiiForums Tanzania Rais wa Sudan Kusini atangaza bunge jipya

    Rais wa Sudan Kusini Salva Kiir amefungua njia kwa wabunge wapya na kuunda bunge lililovunjwa siku ya Jumamosi. Majina ya wabunge walioteuliwa yalitangazwa kwenye chombo cha habari cha taifa hilo, Shirika la Utangazaji la Sudani Kusini, Jumatatu usiku. Bunge la sasa linahusisha wabunge kutoka...
  17. J

    JamiiForums Tanzania IKULU, Dar: Rais Samia Suluhu apokea hati za Mabalozi

    Rais Samia ànapokea hati za utambulisho wa mabalozi wateule wa nchi mbalimbali. Kazi Iendelee!
  18. JamiiForums Tanzania Sudan Kusini: Rais Salva Kiir avunja Bunge

    Rais wa Sudan Kusini, Salva Kiir amelivunja bunge katika hatua iliyosubiriwa kwa muda mrefu, akipanga kuwateua wabunge wapya kutoka pande mbili zilizokuwa na mzozo nchini humo. Msemaji wa Kiir amewaeleza waandishi wa habari siku ya Jumapili kuwa bunge jipya litaunda muda si mrefu, ikiwa ni...
  19. JamiiForums Tanzania Ni vyema Katiba Mpya ikaelekeza kuwa Rais anapofariki akiwa madarakani Bunge livunjwe na tuingie kwenye uchaguzi huku nchi ikiwa chini ya Jeshi

    Kipengele cha katiba kinachosema Rais akifariki madarakani basi makamu wake ataapishwa kuwa Rais tunaomba kibadilishwe.. Rais akifariki uchaguzi ufanywe upya Gesi kwenda Kenya mbona Kama umepigwa. JPM angepewa hilo jengo ungesikia " nimerigawa kwa wananchi ritatumika kama hospital ya waja...
  20. JamiiForums Tanzania Utawala wa Rais Samia umetia aibu kubwa sana,usipewe msamaha

    KITENDO cha kuahirishwa kwa pambano la Simba na Yanga lililokuwa lichezwe jana kwenye Uwanja wa Benjamin Mkapa, kumewafanya wadau wa soka kucharuka na kudai ni aibu kubwa kwa soka la Tanzania, kwa mechi kuahirishwa kienyeji kwa sababu za kisiasa, huku wengine wakisema kuna kitu nyuma ya...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…