Tafadhali AAR msichukue Maamuzi haya kwani Tanzania ya sasa tuna Rais mzuri Mama Samia Suluhu Hassan ( Mrejesha Tabasamu ) kwa Wananchi

Mightier

JF-Expert Member
Apr 2, 2015
5,755
2,000
Nami Generalist nawaombeni AAR badilisheni upesi haya Maamuzi yenu kwani Tanzania ya sasa inaongozwa na Rais mzuri, mwelewa, mkarimu na makini Mheshimiwa Mama Samia Suluhu Hassan.

-------
AAR Healthcare Ltd is set to exit Tanzania on reduced visitor numbers to its eight clinics and financial troubles worsened by the Covid-19 pandemic.

The healthcare provider announced in a memo to staff, it has started the winding-up process since it can no longer meet its obligations to employees and creditors in a timely manner.

“The company’s parent AAR Healthcare Holdings is no longer willing to support the financial requirements of the company (AAR Healthcare Tanzania Limited) and it is on this basis that the Board of Directors have resolved to initiate a creditors’ voluntary winding up process,” said AAR Healthcare Limited acting chief executive Andrew Rowell.

The winding up process involves converging a meeting of the company’s creditors to formally agree on appointing liquidators.
The creditors meeting is set to take place on April 22.

Mr Rowell assured staff their employment contracts remain intact and business operations would continue uninterrupted pending the creditors meeting.

AAR started operations in Kenya in 1984 offering medical evacuation services by road and air. The company expanded to Tanzania in 2007 after being granted an insurance licence, setting its sights on an ambitious expansion programme.

In 2011, the AAR Group’s shareholders resolved to separate the business into two distinct units, AAR Healthcare and AAR Insurance.
The insurance wing exited Tanzania in 2019.

AAR Healthcare also has operations in Uganda where it launched in 1994 and Kigali where it unveiled in 2005 bringing to four the countries the healthcare provider operates.

AAR Healthcare (K) Limited is the largest provider of out-patient healthcare services in the East Africa region running a network of 18 medical centres in Kenya.

Source: AAR to shut Tanzania clinics on rising financial woes
 
FRESHMAN

JF-Expert Member
Sep 29, 2011
5,215
2,000
Mama samia arudishe mashirika ya uma kutumia insurance za private kama AAR, asiipendelee NHIF kwenye tenda za taasisi za uma.. maana NHIF kapora wateja wote wa AAR

Haya ndiyo matakwa ya Lissu na chadema yake
 
nguvu

JF-Expert Member
Jun 13, 2013
12,153
2,000
So far provider mwingine labda Strategies, maana jubilee walishajifia, mashirika makubwa yote yalikua yanatumia AAR na taasisi za maana, binafsi naona ni pigo kubwa maana hakuna provider ambae amejitosheleza mpaka vijijini kama aar
NHIF vipi bado hana msuli kwa bongo? Mkuu kilichotokea hadi AAR na wengine kusuffer ni kitendo cha mashirika ya umma kuhamia NHIF, BOT NSSF, TANESCO n.k,
 
mulumbu

Member
Jan 25, 2015
24
45
Nami Generalist nawaombeni AAR badilisheni upesi haya Maamuzi yenu kwani Tanzania ya sasa inaongozwa na Rais mzuri, mwelewa, mkarimu na makini Mheshimiwa Mama Samia Suluhu Hassan.

-------
AAR Healthcare Ltd is set to exit Tanzania on reduced visitor numbers to its eight clinics and financial troubles worsened by the Covid-19 pandemic.

The healthcare provider announced in a memo to staff, it has started the winding-up process since it can no longer meet its obligations to employees and creditors in a timely manner.

“The company’s parent AAR Healthcare Holdings is no longer willing to support the financial requirements of the company (AAR Healthcare Tanzania Limited) and it is on this basis that the Board of Directors have resolved to initiate a creditors’ voluntary winding up process,” said AAR Healthcare Limited acting chief executive Andrew Rowell.

The winding up process involves converging a meeting of the company’s creditors to formally agree on appointing liquidators.
The creditors meeting is set to take place on April 22.

Mr Rowell assured staff their employment contracts remain intact and business operations would continue uninterrupted pending the creditors meeting.

AAR started operations in Kenya in 1984 offering medical evacuation services by road and air. The company expanded to Tanzania in 2007 after being granted an insurance licence, setting its sights on an ambitious expansion programme.

In 2011, the AAR Group’s shareholders resolved to separate the business into two distinct units, AAR Healthcare and AAR Insurance.
The insurance wing exited Tanzania in 2019.

AAR Healthcare also has operations in Uganda where it launched in 1994 and Kigali where it unveiled in 2005 bringing to four the countries the healthcare provider operates.

AAR Healthcare (K) Limited is the largest provider of out-patient healthcare services in the East Africa region running a network of 18 medical centres in Kenya.

Source: AAR to shut Tanzania clinics on rising financial woes
Bima ya afya kwa wote ni muhimu sana, hio ndio tunatakiwa kuifanyia maarifa iwezekane
 
Dr. Wansegamila

JF-Expert Member
Feb 3, 2012
2,604
2,000
So far provider mwingine labda Strategies, maana jubilee walishajifia, mashirika makubwa yote yalikua yanatumia AAR na taasisi za maana, binafsi naona ni pigo kubwa maana hakuna provider ambae amejitosheleza mpaka vijijini kama aar
Tofautisha AAR Insurance ltd, na AAR Healthcare.
Hapo wanaoondoka ni AAR Healthcare, ambao ndo wanamiliki health centers za AAR, so hizo ndo zitaathirika, ila AAR insurance ambayo yenyewe ni kampuni ya Medical insurance itaendelea na operations zake kama kawaida, kwa sababu hizo ni kampuni mbili tofauti kabisa! Hata kwenye hayo maelezo hapo wameandika. AAR Insurance wako vizuri bado kwenye soko la bima, hata mimi siku hizi nawatumia hao hawana matatizo compared na Jubilee kwa mfano. Na wataendelea kuwepo hata baada ya AAR Healthcare ku-exit Tanzania, hizi ni kampuni tofauti kabisa, with different leadership and operations, tusichanganye hapo.
Abrianna
 
ammoshi

JF-Expert Member
Jun 14, 2013
562
500
Kwa vyovyote vile NHIF Na hospitali washirika bado wana Huduma mbovu kuweza kuhudumia wagonjwa hapa nchini. Tatizo la kwanza kama ilivyo kwenye mifuko ya hifadhi ya jamii serikali huitumia kama chanzo cha mapato yake. Ikishachukua hela huwa Mara nyingi hairudishi. Pia inaweza kukata hela kwenye mishahara ya watumishi Na isiiwakilishe. Mashirika hujiendesha kwa taabu mno. Inatakiwa tuwe tunatolewa audited financial statement ya NHIF Na notes ambatanishi ili tuone he wote michango inawasilishwa? Na je hakuna hela zimebebwa Na serikali?
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom