rais

  1. jitombashisho

    JamiiForums Tanzania Rais Samia: Mimi ni Mzanzibari

    Rais wa Tanzania Samia Suluhu Hassan mapema leo amesema yeye hapendi Ukanda ila yeye ni "Mzanzibar!" Kiukweli Rais kakosea sana kukemea ukabila huku yeye akitamka bayana ni wa mahali fulani. Samia umekosea sana! ==== Samia Suluhu ninapotoka hatuna makabila. Kwetu kule Zanzibar tunajuana...
  2. Guselya Ngwandu

    JamiiForums Tanzania Mzee Mwinyi afunguka kuhusu Mbio za Mwenge, Rais Samia anaendeleza walichoasisi

    Rais Samia Suluhu Hassan leo ameongoza Watanzania katika kuzima Mwenge wa Uhuru pamoja na maadhimisho ya Kumbukizi ya Miaka 22 ya Kifo cha Mwalimu Julius Nyerere pamoja na Wiki ya Vijana, halfa zilizofanyika kwa pamoja mkoani Geita. Mbio za Mwenge wa Uhuru ni utaratibu ambao umekuwepo nchini...
  3. Mzee Mwanakijiji

    JamiiForums Tanzania Tuache Ufyatu: Nyerere Alikuwa Rais wa Wapi?

    Kumbukizi ya Nyerere inaweza kuadhimishwa popote. Nyerere hakuwa Rais wa Kijiji cha Butiama...Kuna vya kulalamika..hili si mojawapo.
  4. S

    JamiiForums Tanzania Rais Samia serikali yako imwachie Mbowe. Siyo gaidi

    Damu ya Mbowe inakulilia kwasabb wewe ndiye kiongozi mkuu wa chama tawala na serikali. Wafuasi wa Mbowe kucha kutwa wanajenga chuki dhidi yako mpk hapo utakapomwachia kiongozi wao. Familia ya Mbowe inakulilia usiku na mchana, inapoamka, inapokula na inapolala. Mliopo karibu na Samia...
  5. Analogia Malenga

    JamiiForums Tanzania Rais Samia aahidi Chuo Kikubwa cha TEHAMA

    Rais Samia Suluhu Hassan amesema TEHAMA ina nafasi kubwa katika maendeleo na Tanzania haiko nyuma, inajipanga kujenga chuo kikubwa cha TEHAMA Amesema hivi karibuni, Instagram, Facebook na WhatsApp zilipotea kwa saa saba na mmliki akapata hasara ya Tsh. Trilioni 15 ambapo kuna uwezekano wa...
  6. B

    JamiiForums Tanzania Viongozi tunaleta ubaguzi kuonesha fulani ni Rais bora kuliko mwingine, tujirekebishe

    Heshima zinazotolewa kwa viongozi wakuu wa Taifa letu waliotangulia mbele ya haki zinataka kutujengea taswira kwamba flani ni muhimu kuliko flani Jambo ambalo hatukuliona walipokuwa hai. Namna tulivyoziandaa nyumba zao za kudumu Kuna utofauti mkubwa Sana, namna tunavyowazungumzia upo utofauti...
  7. Analogia Malenga

    JamiiForums Tanzania, JamiiForums Uganda Rais Museveni: Sitaongeza mishahara kwa walimu wa masomo ya sanaa

    Rais Yoweri Museveni wa #Uganda ametangaza kuongeza mishahara kwa walimu wa masomo ya sayansi kwa madai kuwa ndio wanaochangia maendeleo ya jamii Hatua hiyo imetajwa kwenda kinyume na Makubaliano ya 2018 ambayo yanataka mishahara kupanda kwa usawa kwa walimu wote Rais Museveni amesema...
  8. J

    JamiiForums Tanzania Jokate: Wilaya ya Temeke yatengewa zaidi ya Tsh bilioni 4 za kutekeleza miradi ya maendeleo

    WILAYA YA TEMEKE YATENGEWA ZAIDI YA TSH BILIONI 4 KUTEKELEZA MIRADI YA MAENDELEO,SHUKRANI KWA RAIS SAMIA - DC TMK MHE.JOKATE MWEGELO Mkuu wa Wilaya ya Temeke Mhe.Jokate Mwegelo kwa niaba ya Uongozi wa Wilaya ya Temeke ametoa shukrani za dhati kwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania...
  9. The Father of All

    JamiiForums Tanzania Ikatokea ukapewa nafasi ya kukutana na rais Samia Suluhu Hassan

    Nawasalimuni wanangu hapa jamvini. Nisiwachoshe. Napenda kuwapa changamoto na chemsha bongo kwa kutumia hypothesis kama namna ya kutoa mawazo yenu kwa rais wenu. Je kama mtanzania, ungejaliwa kupewa nafasi hata nusu saa au dakika kumi hata saa kuongea na rais SSH, ungemwambia nini cha mno au...
  10. M

    JamiiForums Tanzania Cheo cha Makamu wa Rais hakina tija, tukiondoe, tubakishe cha Waziri Mkuu

    Nchi yetu ni nchi masikini, kutokana na hali hiyo ni muhimu kila senti inayopatikana ikatumika vizuri. Leo hii nchi yetu ina viongozi wakubwa wafuatao 1. Rais 2. Makamu wa Rais 3. Waziri Mkuu 4. Rais wa Zanzibar 5. Makamu wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar 6. Makamu wa pili wa Rais wa Zanzibar...
  11. TODAYS

    JamiiForums Tanzania Abdurazak Gurnah Mshindi wa Tuzo ya Nobel afunguka, alipokuwa akiongea na Rais wa Zanzibar Dkt. Hussein

    MAJADILIANO mengi kuhusu tuzo aliyopata Mzanzibari aishie majuu Prof. Abdurazak yamejitokeza kwa wingi kwenye mabalaza ya mitandao ya kijamii ikiwepo la huyo jamaa si mtanzania bali Mzanzibari na watanganyika hawapaswi kumpa pongezi ili hali hizi ni nchi moja. Mapema leo Rais wa Zanzibar na...
  12. Analogia Malenga

    JamiiForums Tanzania, JamiiForums Uganda Wabunge wanyimwa dhamana baada ya tamko la Rais Museveni

    Mawakili wa wabunge wawili wa chama cha upinzani cha NUP nchini Uganda wamesema majaji wanaogoba kusikiliza maombi ya wateja wao kupewa dhamana. Hatua hiyo imekuja baada ya Rais Museveni kutoa tamko la kuondoa dhamana kwa watuhumiwa wa mauji na uhaini. Wabunge hao wawili ambao ni Allan...
  13. beth

    JamiiForums Tanzania Algeria: Mdogo wa Rais Abdelaziz Bouteflika ahukumiwa kifungo cha miaka 2 gerezani

    Said Bouteflika ambaye ni mdogo wa Abdelaziz Bouteflika aliyekuwa Rais wa Taifa hilo kuanzia mwaka 1999 hadi 2019 amehukumiwa kifungo cha miaka miwili gerezani kwa kukwamisha Sheria kuchukua mkondo wake. Amehukumiwa pamoja na Waziri wa zamani wa Sheria, Tayeb Louh na Mfanyabiashara Ali Haddad...
  14. CM 1774858

    JamiiForums Tanzania Rais Samia Suluhu atoa Scan za CT kwenye kila mkoa Bara na Visiwani

    Habari njema ni kwamba mikoa yote Bara na Visiwani kupatiwa mashine moja mpya ya Scan CT || Rais Samia Suluhu Hassan anaongeza mashine mpya 29 toka mashine mbili zilizokuwepo tangu uhuru| === Tangu Tanganyika ipate uhuru na tangu iwe JMT imefanikiwa kupata mashine mbili ( 2 ) tu za Scan za CT...
  15. CM 1774858

    JamiiForums Tanzania Rais Samia avunja rekodi ununuzi wa ambulance na magari ya Chanjo

    Maajabu ya awamu ya sita chini ya Rais Samia Suluhu Tanzania imeagiza Jumla ya ambulance mpya 395 na magari mapya 214 kwa ajili ya chanjo kwa mpigo kitu ambacho hakijawahi kufanyika tangu tuwe huru kama Taifa, === Mtakumbuka awamu ya tano kwa miaka yote mitano tulifanikiwa kununua jumla ya...
  16. benzemah

    JamiiForums Tanzania Serikali: Chaguo la pili na tatu kidato cha kwanza kuwa historia, wanafunzi kuanza masomo kwa pamoja

    Leo Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais TAMISEMI, Ummy Mwalimu ameeleza kuwa Serikali ya awamu ya Sita inayoongozwa na Rais Samia Suluhu inakwenda kuandika historia kwa kufuta suala la wanafunzi wanaoingia kama changuo la pili na la tatu (Second and Third Selection) kutokana na upungufu wa madarasa...
  17. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Je, Rais Samia huyu Waziri wako Mwandamizi aliye nyuma ya hii Timu ya DTB ya Championship hizi Pesa anazoweka huko siyo kwamba huwa anakuibia?

    Mama ni Waziri aliye na tabia ya kupenda Kukurupuka na Kuanzisha au Kuzinunua Timu, anawekeza huko na akishazitumia kwa Maslahi yake huja Kuzitelekeza mbele ya Safari kisha anabakia na Timu yake moja Kubwa ambayo hudiriki hata Kunyofoa Wachezaji wazuri huko na Kuwapeleka bure katika hiyo Klabu...
  18. technically

    JamiiForums Tanzania Rais Samia bado anapotoshwa, hajapata washauri wenye weledi

    Rais bado ananua ndege cash wakati uchumi unapumlia mashine? Rais anakopa kujenga madarasa ambayo hayalipi Kodi Wala kulipia mikopo. Unakopa pesa ili kununua barakoa seriously pesa za kulipa huo mkopo zitatoka wapi? Unatakiwa kukopa kutengeneza project kubwa kama SGR na Bwawa la umeme Rufiji...
  19. CM 1774858

    JamiiForums Tanzania Rais Samia atoa wastani wa madarasa manne na madawati 120 katika kila shule ya Sekondari nchi nzima

    Rais Samia atoa wastani wa madarasa manne na madawati 120 katika kila shule ya Sekondari ya Serikali nchi nzima | Hakika awamu ya Sita Tanzania lazima iwe Tanzania. " Hakuna kama Samaia " Baada ya janga la Covid-19 kuvuruga Uchumi wa dunia na sisi tukiwemo, Shirika la fedha duniani ( IMF)...
  20. F

    JamiiForums Tanzania Katiba Mpya Haimpeleki Rais Ikulu

    Tusiyopenda kuyasikia kwenye Elimu ya Uraia. Kimsingi madai ya Katiba mpya kwa minajili ya kushika nafasi ya urais naamini ni ndoto isiyotimia kwa vizazi vingi vijavyo. Uki-study historia mahala pengi utakubaliana nami kwamba madai ya Katiba mpya siyo kwa ajili ya wanaogombea urais kuingia...
Back
Top Bottom