Abdurazak Gurnah Mshindi wa Tuzo ya Nobel afunguka, alipokuwa akiongea na Rais wa Zanzibar Dkt. Hussein

TODAYS

JF-Expert Member
Apr 30, 2014
8,917
2,000
MAJADILIANO mengi kuhusu tuzo aliyopata Mzanzibari aishie majuu Prof. Abdurazak yamejitokeza kwa wingi kwenye mabalaza ya mitandao ya kijamii ikiwepo la huyo jamaa si mtanzania bali Mzanzibari na watanganyika hawapaswi kumpa pongezi ili hali hizi ni nchi moja.

Mapema leo Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi alizungumza kwa njia ya mtandao na mshindi wa tuzo ya Nobel ya Fasihi mtanzania mwenye asili ya Zanzibar Prof. Abdurazak Salum Gurnah.

Akizungumza akiwa Ofisini kwake Ikulu mjini Zanzibar na Rais Hussein amempongeza kwa ushindi wa Tuzo hiyo na kusema ni ushindi huo unaipa nchi sifa Tanzania.


_DSC8711.JPG
 

nguvu

JF-Expert Member
Jun 13, 2013
12,557
2,000
Hapo ndio ofisini kwa mzee baba? Ofisini kwa mwendazake kulikuwa na rundo la mafaili
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom