Ifikapo mwaka 2030 Shida ya maji safi na salama Tanzania huenda ikasalia kuwa historia tu
| Bajeti mpya ya maji ya Rais Samia ni karibu mara tatu zaidi ya ile ya FY2020|21.
Rais Samia Suluhu Hassan kwenye bajeti yake ya maji ya kwanza tu alitenga jumla ya TZS 589.4BL
Fedha hii ni kwaajili ya...
Nakusalimu kwa Jina la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. Kazi iendelee. Mhe. Rais uongozi wako umeturidhisha sisi Wananchi japo ni kwa muda mfupi. Mhe. Rais historia ya shamba hili ni ndefu lakini kwa kifupi naomba nitoe historia yake.
Mhe Rais katika miaka ya 1970 Serikali kwa nia nzuri...
Rais wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan ameelekeza tozo zinazotozwa na Taasisi mbalimbali kwenye bidhaa za mafuta kupunguzwa ili kuwapa unafuu wananchi
Baadhi ya Taasisi zinazoguswa na maelekezo hayo ni Mamlaka ya Udhibiti wa Huduma za Nishati na Maji (Tozo ya udhibiti), Mamlaka ya Bandari (Tozo...
Siwezi kuamini na nitakataa mpaka Pumzi yangu ya mwisho huyu Kiongozi Mr. Smile Mswahili Pwani BBC na PANDORA PAPER yenu hamjamkuta kuwa amejilimbikizia sana Mali na Kuinyonya mno Tanzania.
Kwa nimjuavyo Mr. Smile Mswahili Pwani na alivyokuwa Mjanja Mjanja huku akiwa Kazungukwa na Wapigaji...
Habari wadau!
Kuna malalamiko yameibuka siku za karibuni kwamba serikali inawabania wahitimu wa vyuo wanagawa ajira kwa form 4 na Diploma watu wenye digrii wanatoswa, sababu kibao zimeelezwa moja wapo ni kuogopa gharama za kulipa mishahara ya wenye digrii.
Naomba rais wa JMT swala ili...
Kati ya viongozi wa Uingereza waliowahi kunikatisha tamaa ni Tony Blair. Huyu alikuwa Waziri Mkuu wa Uingereza kati ya mwaka 1997 mpaka 2007.
Wakati akipata Uwaziri Mkuu, ndiye alikuwa kiongozi kijana kuliko wote kwa miaka 185 ya historia ya Uingereza, na alikuwa na miaka 44 tu.
Na alikuwa...
Kipimo cha uwezo wa sehemu ya kazi hupimwa kwa kitu kinachoitwa Perfomance appraisal. Tangu ashike madaraka Rais wa Tanzania wa awamu ya sita ni wazi amescore credit zote 100.
Mosi kuweza kumaintain uendelezwaji wa miradi mikubwa ya kimkakati kama vile SGR na Bwawa la Nyerere huku makusanyo ya...
Jana Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) ilitangaza kuwa katika robo ya kwanza ya mwaka wa fedha 2021/22, serikali imefanikiwa kukusanya kiasi cha shilingi trilioni 5.151, ikiwa ni asilimia 94 ya lengo la kukusanya shilingi trilioni 5.462.
Kiwango hicho cha makusanyo ni ukuaji wa asilimia 17.4...
Siku zote nimekuwa nikisema.... UBAYA HAUNA KWAO. msije mkadhani Rais kwa kuwa ana Jina zuri la Kikristo au Kiislamu basi atakuwa mwema. Sababu linatoka kwenye Biblia au Quran.
Msije mkaangalia Rangi ya Rais mkamchagua kutokana na rangi yake mkiamini atakuwa mtu mwema sababu ni mweupe au ni...
03 September 2021
Makamu wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar Mh. Othman Masoud, ofisi ya DPP lazima iwe inachunguzwa kama wenzetu huko Uingereza Ofisi ya Crown Prosecution yaani DPP huchunguzwa inavyofanya kazi
Umuhimu wa katiba Mpya upo. Kasoro za kikatiba zipo katika nyaraka za kikatiba...
Makamu wa Rais wa Marekani Kamala Harris hajawahi kushobokea masafari ya nje akiwa raia, mbunge, na makamu wa Rais.
Hajawahi kufika Ulaya.
Hakawahi kufika bara la Australia
Hajawahi kufika Africa
Amefika South America kwa mara ya kwanza mwezi wa 6 mwaka huu
Viongozi wa Tanzania tunaomba...
Ustadh Mganga ambaye ni bingwa wa utabiri hapa Afrika Mashariki ametabiri kuwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe Samia Suluhu Hassan hivi karibuni ataanza kupokea tuzo za kimataifa kutokana na kazi kubwa ambayo amekuwa akifanya hasa katika nyanja za amani,demokrasia na utawala...
"Kuanzia sasa wale Wote ambao watakutwa na Makosa ya Kuua Wenzao hakuna Kufungwa Kifungo cha Maisha Jela bali na Wao wanatakiwa Kuuliwa kwa Kunyongwa ili wasiendelee Kututia Hasara kwa Upumbavu wao na kuwazidishia tu Majonzi wale Ndugu wa Marehemu wakijua bado wanaendelea Kupumua hii Hewa ambayo...
Rais Samia bila dhuluma wala kukimbiza wafanyabiashara ameweka rekodi mpya ya ukusanyaji mapato | TRA yakusanya kodi ya TZS 2T mwezi Sept 2021,kazi iendelee||
"Hakuna kama Samia "
Wakati Hayati Rais Mkapa anaondoka madarakani Serikali yake ya awamu ya tatu ilikusanya wastani wa Tshs 322BL kwa...
Mkosoaji wa utawala wa Rais Paul Kagame aliyejizolea umaarufu mkubwa kutokana na video zake kupitia mtandao wa Youtube amehukumiwa miaka 15 jela mjini Kigali.
Yvonne Idamange mwenye umri wa miaka 42 na mama wa watoto 4, hakuwepo katika korti hiyo mjini Kigali wakati hukumu hiyo ikitolewa...
Mkuu wa Wilaya ya Musoma amemuweka ndani Polisi Afisa Elimu wa Wilaya ya Musoma Mwl Kalugendo kwa uonevu ati kwa sababu Afisa Elimu huyo alichelewa kuhudhuria Kikao chake cha Chama kilichopangwa kupokea taarifa ya Maendeleo ya Wilaya ya Musoma.
Mkuu huyu wa Wilaya anaenda kinyume na Maelekezo...
Rais Samia Suluhu Hassan hatimaye amkumbuka Ridhiwani Kikwete, hii ikiwa ni baada ya kusahaulika kwa kipindi kirefu | Viva Tanzania Viva
" Hakuna kama Samia "
Hatimaye Rais Samia Suluhu Hassan ametimiza ahadi yake kwa kupeleka Vifaa tiba Hospitali ya Wilaya ya Chalinze vyenye thamani ya...
Watanzania hakuna utawala unaoweza kuinuka kwenye taifa kwa bahati mbaya. Mungu ana uwezo wa kuruhusu au kuzuia jambo lolote kwa sifa na utukufu wa jina lake.
Kuna watu walilalamika tangu kwa Nyerere hadi sasa wanalalamika kwamba Rais hafai. Walilalamika na kushukururu kuondoka kwa Hayati...
Je! Ninyota! Nibahati au Niwakati tu wa Rais Samia Suluhu kuwa juu umefika? || Nineema iliyoje Ukraine firm kununua ndizi zote za Tanzania zinazohitaji pesa,
"Hakuna kama Samia"
Bara la Africa linauza nje ndizi zinazofikia thamani ya zaidi ya $4.3bl karibu Tshs 10trilioni,Wakati 50% ya ndizi...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.