rais

  1. CM 1774858

    JamiiForums Tanzania Pongezi Rais Samia, Tanzania moja ya nchi Afrika zinazovutia kwa uwekezaji 2020/21

    Wanasalimu kwa Jina la JMT, Siku njema huonekana asubuhi, Hatimaye Rais Samia Suluhu Hasaan ameiingiza nchi yetu kwenye nchi Tano zenye mazingira mazuri ya Uwekezaji barani Africa. Sasa Tanzania tutashuhudia wawekezaji wakimiminika nchini kwetu na kwahakika Vijana wetu watapata ajira na...
  2. F

    JamiiForums Tanzania Mama samia Rais wetu mpendwa jaribu kuangali bei za vitu Arusha

    Kwa sasa anaye jua hizi bei na uhaba wa baadhi ya bidhaa atuambie tunaelekea wapi gesi Arusha ni pasua kichwa mtungi mdogo 25000, cement haipo na ukipata ni 18000, chumvi imepanda, mafuta ya kula lita 5 ni 30k, petrol na dieasel uko hatusemi, nondo nazo zimepanda bati ndio kasheshe kabisa...
  3. Analogia Malenga

    JamiiForums Tanzania Rais Samia: Makala ya Tanzania itaongeza utalii

    Nimeshiriki kuandaa makala ya Tanzania itakayorushwa katika kipindi maarufu Duniani cha Royal Tour. Ni matarajio yangu kuwa makala hii itasaidia kuitangaza vizuri nchi yetu, kuinua utalii, kuvutia wafanyabiashara na wawekezaji na kuondoa upotoshaji wa makusudi kuhusu Tanzania.
  4. Analogia Malenga

    JamiiForums Tanzania Afghanistan: Rais wa zamani Ashraf Ghani aomba msamaha kwa kukimbia nchi

    Rais wa zamani wa Afghanistan Ashraf Ghani ameomba msamaha kwa watu wa Afghanistan baada ya kukimbilia katika nchi za Falme za Kiarabu. "Kuondoka Kabul ulikuwa uamuzi mgumu zaidi maishani mwangu," amesema, akiongeza kuwa anajuta kwamba "hakuweza kumaliza hilo kwa njia tofauti." Bwana Ghani...
  5. C

    JamiiForums Tanzania Kama ilivyokuwa kwa Living With Michael Jackson Royal Tour ya Rais Samia yaweza kuwa na lengo baya kwa Tanzania

    Kwa mliofuatilia uandaaji na hatimaye kuoneshwa kwa makala maarufu ya Living With Michael Jackson mtakubaliana nami namna mwandishi mashuhuri Martin Bashiri alivyomrubuni, Mfalme wa Pop Duniani, Hayati Michael Jackson, kushiriki kwenye uandaaji wa makala kwa kumhakikishia kuwa makala hiyo...
  6. L

    JamiiForums Tanzania Juhudi za Rais Xi kuhusu ushirikiano kwenye mapambano dhidi ya COVID-19 zazaa matunda

    Wiki chache zilizopita zimeshuhudia ongezeko la usambazaji wa chanjo za covid-19, hasa kwa nchi zinazoendelea. Foleni ndefu za watu wanaojipanga kupewa chanjo zinaendelea katika vituo vingi vya afya. Nchi za kipato cha chini, hasa kutoka barani Afrika, kwa miezi kadhaa zimekuwa katika hali ya...
  7. sky soldier

    JamiiForums Tanzania Wimbo wa kumkashifu Rais Biden unavuma mno Marekani

    Wamarekani washamchoka huyu mzee 😂 😂 atafutiwe tu kitanda alale wimbo huu umebanwa sana kutojulikana ila kwa jinsi biden alivyochokwa, video inaenda views milioni licha ya kuimbwa na msanii mchanga Hapa ni baadhi ya wamarekani wakiimba kwa hisia kali
  8. N

    JamiiForums Tanzania Rais hajui kuzungumza na wananchi, ziara za njiani zisitishwe

    Naongea ukweli kutoka moyoni CCM mtanisamehe, Rais wetu hajui kuzungumza na raia barabarani, ni vyema ziara ya njiani zikanseliwe. Rais hatatui changamoto unasimama njiani unaanza kuwaambia kurekodi filamu na tozo hiyo haisadii, wala sisi hatukusimamishi ili utwambie mambo ya filamu, sisi...
  9. Patriot

    JamiiForums Tanzania Rais Samia sasa unaturudisha kwenye tawala za machifu kweli, au ndo njia ya umaarufu wa kisiasa?

    Anachokifanya Rais Samia ni kuharibu amani ya nchi hii. Tumeishi bila ukabila lakini polepole tunarudishwa kwenye mtafaruku bila sababu. Tunalazimisha kutambua machifu bila sababu. Yaani viongozi wa kiukoo, kikabila Watu hawa wanastahili kuachiwa kabisa nje ya mfumo kama ambavyo imekuwa miaka...
  10. JF Member

    JamiiForums Tanzania Rais Samia na Makamu wa Rais Philipo Mpango mtuongoze milele hapa Tanzania

    Rais Wetu Samia Makamu Philipo Mpango mtuongoze Milele hapa Tanzania Hiki ni kibwagizo cha wimbo wa kikundi cha ngoma na uimbaji cha Buyegu , kwenye tamasha la Utamaduni Mwanza. Kimenipa maswali mengi. 1. Kuna ujumbe tunaandaliwa kisaikolojia? 2. Wandaanji wa wimbo hawajui wanacho imba ama...
  11. Suley2019

    JamiiForums Tanzania Magu, Mwanza: Rais Samia ashiriki Tamasha la Utamaduni, Mila na Desturi za Tanzania, atawazwa kuwa Chifu wa Machifu

    Rais Samia Suluhu Hassan leo Septemba 8, 2021 atashiriki Tamasha la Utamaduni, Mila na Desturi za Tanzania lililoandaliwa na Umoja wa Machifu Tanzania (UMT) katika Viwanja vya Redcross - Magu, mkoani Mwanza. UPDATES - Katika Viwanja vya Redcross - Magu tukio linaendelea huku Machifu...
  12. msovero

    JamiiForums Tanzania Ni jambo la kushangaza kwa Mkurugenzi aliyeiba mabati kuendelea kuwa ofisini hadi muda huu

    Mkurugenzi wa halmashauri ya gairo, bw Asajile Mwambambala aliyehusika katika wizi wa mabati zaidi ya 1100 mwaka huu mwezi wa saba alipaswa awe nje ya ofisi hadi muda huu. kwani kwa mujibu wa kanuni za maadili ya utumishi wa umma ni kosa kwa mtumishi yeyote wa serikali kujihusisha na wizi au...
  13. Komeo Lachuma

    JamiiForums Tanzania Rais anatumia kodi zetu vibaya, Royal Tour yake haina faida ni Ufujaji wa pesa za Maskini

    Rais alipaswa afikirie mambo makubwa ya msingi na kuachana na uigizaji anaoufanya kwa kutumia pesa zetu vibaya. Toka ameteuliwa kuwa Rais anazunguka tu. Hatulii kufanya kazi. Nchi hii watu wanaiba ye hana hata habari ana talii tu. Haya mambo ni ufujaji wa pesa za umma. Badala yake ndo...
  14. World Logistics Company

    JamiiForums Tanzania Tusimuachie Rais Samia jukumu la kuinua uchumi wa nchi, tushirikiane..

    Wadau wa Biashara na Uchumi, Nchi yetu inapitia kwenye hatua za makusudi za kuinua uchumi ulioathiriwa vibaya na corona. Tunatoa wito kwa kila mdau wa sekta yoyote, asimuachie jukumu hili kiongozi wa nchi pekee. Sisi tumeamua kuangalia upande wa sekta yetu ya usafirishaji. Tumeona namna...
  15. Red Giant

    JamiiForums Tanzania Cheo kimoja kati ya Waziri Mkuu au Makamu wa Rais kifutwe

    Habari wandugu. Ukifuatilia nchi nyingi utaona kuwa zina mmoja, Waziri Mkuu au Makamu wa Rais na si wote. Na nchi nyingi zenye mawaziri wakuu ni zile za kifalme, wakati Jamhuri nyingi zina Makamu wa Rais. Na zingine zikiongozwa na waziri mkuu pekee, Rais akiwa ni ceremonial tu. Na hata...
  16. P

    JamiiForums Tanzania Mimi naona Rais Samia anadanganywa kuhusu takwimu za waliochanjwa!

    Kupitia ziara aliyoifanya Mh Raisi ya kutembelea mkoa wa Pwani hususani (W) ya Bagamoyo Baada ya kupewa nafasi ya kusalimia wananchi na kusema mahitaji ya Wana Bagamoyo, Mh Mbunge wa Jimbo hilo la Bagamoyo, Takwimu alizotoa Mh mbunge wa Bagamoyo bwana Mkenge ni za kupikwa, kwamba, (W) ya...
  17. F

    JamiiForums Tanzania Yuko wapi Makamu wa Rais Dkt. Philip Isdor Mpango?

    Ni muda kidogo huyu Makamu wetu wa Rais Dr. Philip Isdor Mpango hajasikika! Huyu ni Mchumi japo mimi binafsi sina imani na aina ya uchumi anaosimamia ( uchumi wa kijamaa). Inavyoonekana huyu Makamu wetu wa Rais Dr.Mpango ana mchango mkubwa sana katika kupatikana kwa mchumi mwingine katika...
  18. Lord Denning

    JamiiForums Tanzania Rais Samia, The Royal Tour isiache maeneo haya...

    Amani iwe nawe Mama yangu! Kwanza napenda kukupongeza kwa hii creativity kubwa uliyokuja nayo ya kushiriki na kuiweka Tanzania kwenye ramani ya dunia kupitia program maarufu ya “The Royal Tour” Program hii kwa ufahamu wangu imezinyanyua nchi nyingi sana katika sekta ya Utalii na Uwekezaji Mf...
  19. My Son drink water

    JamiiForums Tanzania Rais huwa hatangazi Utalii

    Kwa mara ya kwanza Dunia inaenda kushuhudia mkuu wa nchi, Rais akitangaza utalii. Rais anapoamua kutangaza utalii maana yake ni kwamba hilo Taifa analoongoza ni Taifa mfu, ni Taifa lililokufa, ni taifa jipya kabisa chini ya jua na halina raslimali zozote na wala kitu chochote, sasa inabidi atoke...
  20. Stephano Mgendanyi

    JamiiForums Tanzania Rais Samia atoa mabilioni ya fedha sekta ya anga, elimu, mradi wa SGR na bwawa la kufua umeme la mwalimu Nyerere

    RAIS SAMIA ATOA MABILIONI YA FEDHA SEKTA YA ANGA, ELIMU, MRADI WA SGR NA BWAWA LA KUFUA UMEME LA MWALIMU NYERERE. Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe Samia Suluhu Hassan aendelea na utekelezaji wa ufunguaji na ukuzaji wa uchumi wa Tanzania kwa kutekekeleza miradi ya kimkakati kwa kasi...
Back
Top Bottom