Algeria: Mdogo wa Rais Abdelaziz Bouteflika ahukumiwa kifungo cha miaka 2 gerezani

beth

JF-Expert Member
Aug 19, 2012
3,877
6,326
Said Bouteflika ambaye ni mdogo wa Abdelaziz Bouteflika aliyekuwa Rais wa Taifa hilo kuanzia mwaka 1999 hadi 2019 amehukumiwa kifungo cha miaka miwili gerezani kwa kukwamisha Sheria kuchukua mkondo wake.

Amehukumiwa pamoja na Waziri wa zamani wa Sheria, Tayeb Louh na Mfanyabiashara Ali Haddad. Watatu hao walikamatwa baada ya Rais Bouteflika ambaye alifariki dunia Septemba 2021 kulazimika kuachia madaraka.

======

The influential younger brother of the late Algerian president, Abdelaziz Bouteflika, has been sent to prison for two years for obstructing the course of justice.

Said Bouteflika was sentenced alongside the former justice minister, Tayeb Louh, and a businessman, Ali Haddad.

Mr Louh will serve six years while Mr Haddad will be in jail for two years.

All three were detained after President Bouteflika was forced from office in 2019.

The former president died last month, eight years after suffering a debilitating stroke.

Source: BBC
 
Back
Top Bottom