Rais wa Ukraine, Volodymyr ZelenskyImage amewahamasisha wananchi wake kuwa tayari kupigana kwa taifa lao na kuwa atampatia silaha mtu yeyote anayetaka kushiriki katika vita dhidi ya Urusi.
Picha kadhaa zilionekana hivi karibuni mitandaoni zikionesha raia wa Ukraine wakipewa mafunzo ya msingi ya...
Na Bwanku M Bwanku.
Jana Jumatano Februari 23, 2022 kwenye Gazeti la TANZANIA LEO Ukurasa wa 6 nimechambua hatua ya Jarida kubwa la Marekani la Inside the Nation kumtaja Rais Samia kama Rais aliyefanikiwa kuifungua nchi zaidi Kidiplomasia na Kiuchumi na kufanikiwa kuokoa fedha nyingi sana...
Habar zenu,
Kwa kweli maisha yamepanda sana. Wahusika Serikalini tafadhalini sana fatilieni hili jambo.Yaani kila kitu unachogusa bei juu mpaka inatisha.
Cha ajabu nishati kama petroli imeshuka bei lakini bei ya bidhaa nyingine ambazo zilipanda kutokana na ughali wa mafuta zenyewe hazishuki...
Chuo cha uongozi cha Mwalimu Nyerere kilichopo Kibaha mkoani Pwani kilianzishwa kuhudumu kwenye nchi za kusini mwa Afrika na kupewa jina la Mwalimu Nyerere kama heshima ya kuongoza mapambano ya kutafuta uhuru kusini mwa Afrika.
Chuo cha Mwalimu Nyerere ni juhudi ya pamoja kwa vyama sita vya...
HOTUBA MBELE YA MGENI MAALUM RAIS SAMIA SULUHU HASSAN KWENYE SHEREHE YA JUBILEI YA MIAKA 25 YA UASKOFU, TAREHE 22 FEBRUARI 2022, NGARA
Mheshimiwa Samia Suluhu Hassan, Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania
Mwadhama Kardinali Anthony Kambanda, Askofu Mkuu wa Kigali
Mhashamu Askofu Flavian...
Amani iwe nanyi wadau,
Hali ya bara ya Ulaya na Asia sio nzuri kwa sasa, Urusi anaonesha ubabe wa waziwazi kwa kuanza kurudisha maeneo ya uliokuwa Umoja wa nchi za kisovieti.
Wiki hii imeanza kwa moto baada ya Rais Putin kutangaza kuyatambua maeneo ya Donesk na Luhansk kuwa nchi huru ikiwa ni...
Hii ndege ya rais iliyonunuliwa kwa bei ya $40,000,000 kwa nini haikutumika kumpeleka rais Belgium/France na nchi nyingine za magharibi na badala yake inazurura tu mikoani pasipo kuwa na ratiba maalamu.
Sisi walipa kodi tuna haki ya kujua ndege iliyonunuliwa kwa hela zetu kwa nini inazurura...
Bunge la Urusi limempa Rais wa n hi hiyo nguvu ya kupeleka majeshi yake mahala popote Duniani pale itakapo hitajika.
Bunge hilo limefikia uamuazi wake Leo 22.02.22 siku moja mara baada ya Urusi kuyatambua majimbo yaliyokua yanapigania kujitenga na Ukraine.
Kwa mtazamo wangu hii nayo ni moja ya...
Askofu wa Jimbo Katoliki la Rulenge-Ngara, Mhashamu Severine Niwemugizi amemshauri Rais Samia Suluhu Hassan kutojitukuza na badala yake kutoa nafasi ya kusikiliza maoni ya watu wengine hata kama hayafurahishi masikioni.
Ushauri huo wa Askofu Niwemugizi ni sehemu ya hotuba yake katika...
Rais Samia wakati akirejea toka France na Belgium wakati akitoa salamu zake na asante kwa mapokezi pale uwanja wa Mwalimu Nyerere alisema kwamba wakati wa awamu ya tano mahusiano yetu na nchi za Ulaya yalilega sana ila kwa sasa amejitahidi kuyarejesha.
Observation yangu ndogo ya matendo...
Kuna ile sheria ya kikokoto kipya kilichoibua vurugu mpaka bosi wa nssf alitenguliwa madaraka
kwa sasa NSSF wamejiamulia wenyewe kutumia hiyo sheria pasipo kauli ya Rais je huu siyo ubabe
Watu wa sekta binafsi wanaumizwa na kikokotoo hicho au mnataka watu waingie barabarani na mapanga
Tumieni...
Kauli inayoonyesha kuwa rais wa JMT hana makuu na hawezi kuwa kiongozi wa kupenda makuu na kujiinua kama Mungu.
Rais Samia akataa tabia ya kutukuzwa.
===
Picha: Rais Samia Hassan Suluhu
Rais Samia Suluhu Hassan amesema hana tabia ya kutukuzwa wala kulinganishwa na Mungu na kwamba atajitahidi...
“Mhe. Rais Samia Suluhu Hassan hakukodi ndege ya Emirates wakati wa safari yake ya kwenda na kurudi Ufaransa na Ubelgiji.
Mhe. Rais alisafiri kwa kutumia ndege hizo kama abiria.
Ameokoa fedha nyingi ikilinganishwa na kama angetumia ndege binafsi ama angechukua ndege ya ATCL ama angekodi.
Pia...
Huyu afande, Kanali Mashauri ambaye ni mpambe wa Rais Samia, ukiacha mavazi ya kijeshi yuko vizuri pia katika mavazi ya kiraia.
Juzi niliona wakishuka pale Airport akiwa amevaa kiraia, amevaa suti yake imemkaa vyema sana hakika anaendana sana na Rais Samia.
Kongole kwake Afande, unaitendea...
Mheshimiwa Rais Samia Suluhu Hassan atakuwa Mgeni rasmi kwenye Maadhimisho ya Jubilee ya miaka 25 ya Mhashamu Askofu Severine Niwemugizi yatakayofanyika kwenye Viwanja vya Posta- Ngara Mjini Mkoani Kagera kuanzia Saa 4 asubuhi hii.
Utafuatilia matangazo haya ya moja kwa moja kupitia...
Kama alivyokuwa Mobutu Seseko na Rais wengine wa Afrika, Wazungu ukiwapa access na resource zako, ukifanya vyote wanavyotaka kamwe hawatakutoa madarakani, hii ndiyo Afrika ilivyo.
Sie tunajua Magufuli alivyopambana na Mabeberu na kuwapiga pliers kwenye interest zao, hivyo hawakutaka Magu...
Mlikua mumetumbukizwa pabaya...kisa uongozi uliojaa maamuzi ya kijuha na chuki.
=======
Samia is a master political player
Tanzanian Opposition deputy leader Tundu Lissu and President Samia Suluhu in Belgium on February 16, 2022. PHOTO | COURTESY
Tanzania’s President Samia Suluhu is...
Ningekuwa Mimi ndio Bashungwa, ningepiga kambi Mkoa wa Mara na kuusafisha, nikiwa na kikosi kazi maalum.
Rais hajaridhishwa na yote yanayotokea Mkoa wa Mara, na hatusikii Waziri akitema cheche, amebaki Ally Happy tu alifanya ziara, na kwenye ziara bado anasema ataandika barua sijui TAMISEMI...
Nchini Zambia madaktari wasio na ajira wameandamana kuelekea Ikulu ya Nchi hiyo ili kufikisha malalamiko yao kwa Rais Hichilema kwa lengo la kujua hatima yao .
Cha kushangaza ni hatua ya Polisi wa nchi hiyo kujitokeza na kuwasindikiza waandamanaji hao kuelekea Ikulu , katika nchi ambayo ni...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.