rais

  1. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Hii tabia ya kila mara Rais akitoka Safari anapokelewa na Umati wa Watu na Viongozi ni takwa la Kikatiba?

    Kwa mnaoijua vyema Katiba ya nchi naombeni mnionyeshe Kipengele kisemacho Rais akitoka Safari tu basi akitua Dar es Salaam ni lazima apokelewe na Umati mkubwa wa Watu wakiongozwa na Viongozi Waandamizi. Na wale mnaoijua vyema Katiba ya Tanzania niwekeeni Kipengele kuwa Rais akiwa anarejea...
  2. Kasomi

    JamiiForums Tanzania Mfahamu Volodymyr Zelensky, Rais wa Ukraine

    Volodymyr Oleksandrovych Zelensky (alizaliwa 25 Januari 1978) ni mwanasiasa, mwandishi wa filamu, mwigizaji wa filamu, mchekeshaji na rais wa sasa (wa 6) wa Ukraine toka 20 Mei 2019. Kabla ya kujihusisha na siasa, alipata shahada ya sheria na baadaye akaanzisha kampuni ya filamu, katuni na...
  3. Kasomi

    JamiiForums Tanzania Mfahamu Vladimir Putin; Rais wa Russia (Urusi)

    Vladimir Vladimirovich Putin (kwa Kirusi Владимир Владимирович Путин; amezaliwa 7 Oktoba 1952) ni mwanasiasa nchini Urusi. Mara tatu alichaguliwa kuwa Rais wa Shirikisho la Urusi, mara ya mwisho tarehe 7 Mei 2012; awamu za kwanza zilikuwa kutoka 2000 hadi 2008. Kuanzia Agosti 1999 hadi Mei 2000...
  4. Greatest Of All Time

    JamiiForums Tanzania Serikali kufanya maadhimisho ya mwaka mmoja wa Rais Samia madarakani

    Taarifa iliyotolewa na Msemaji Mkuu wa Serikali, ndugu Gerson Msigwa inasema kuwa serikali kuadhimisha mwaka mmoja wa serikali ya Rais Samia Suluhu Hassan toka alivyoingia madarakani 19/03/2021 kufuatia kifo cha Rais John Magufuli. Katika maadhimisho hayo kutakuwa na shughuli mbalimbali...
  5. Suley2019

    JamiiForums Tanzania Watalii wapatao 1000 kutoka Ukraine wadaiwa kukwama Zanzibar

    Serikali ya Zanzibar imesema inashirikiana kwa karibu na ubalozi wa Ukraine uliopo nchini Kenya kuangalia ni namna gani itawasafirisha watalii wa Ukraine wapatao elfu moja ambao hivi sasa wamekwama kisiwani humo baada ya kuzuka kwa vita kati ya Urusi na Ukraine. Leila Mohammed Musa, ambaye ni...
  6. Idugunde

    JamiiForums Tanzania Rais Samia arejea Tanzania akitokea Umoja wa Falme za Kiarabu kikazi

    Mhe. Rais Samia Suluhu Hassan akisalimiana na Makamu wa Rais Mhe. Dkt. Philip Mpango mara baada ya kuwasili katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere Jijini Dar es Salaam akitokea Umoja wa Falme za Kiarabu UAE leo tarehe 28 Februari, 2022.
  7. John Haramba

    JamiiForums Tanzania Zanzibar kushusha mabasi ya umeme, gesi, Rais Mwinyi atoa tamko

    “Serikali tunataka kubadilisha taratibu za usafiri ndani ya Mji wa Unguja, tunataka kuleta mabasi ya kisasa yanayotumia gesi au umeme ili kupunguza kuchafua hewa. “Tunataka kuendelea ili tusiwe tunapakiwa kama mizigo, duniani kote mambo yamebadilika hasa katika miji mikubwa, wanaleta mabasi ya...
  8. S

    JamiiForums Tanzania Prof. Jonathan: Rais wa Ukraine katenda makosa ya jinai dhidi ya binadamu

    Profesa Jonathan Moyo wa Zimbabwe kamlaumu rais wa Ukraine, Comedian Zelensky, kufanya makosa ya jinai dhidi ya binadamu kwa kuwaingiza raia kupambana na russia, super power, na kuwatumia raia hao kama ngao vitani. Profesa Jonathan anasema nchi ya Ukraine ilijificha kwenye kivuli cha 'raia...
  9. kidadari

    JamiiForums Tanzania Rais Putin aamuru kikosi maalum cha Nyuklia kuwa katika tahadhari maalum "kiwango cha juu cha tahadhari"

    Rais wa Urusi Vladimir Putin ameamuru jeshi la Urusi kuweka vikosi vyake vya nyuklia katika "tahadhari maalum" - kiwango cha juu cha tahadhari kwa Vikosi vya Kimkakati vya Kombora vya Urusi. Akizungumza na maafisa wakuu wa kijeshi, akiwemo Waziri wa Ulinzi Sergei Shoigu, alisema mataifa ya...
  10. Lord Denning

    JamiiForums Tanzania Dubai: Rais Samia ashuhudia utiaji saini wa Mikataba ya Uwekezaji ya thamani ya Trilioni 17

    Jamani amkeni amkeni Huko Dubai mambo ni moto balaa! Leo hii Rais wa JMT Mhe Samia Suluhu Hassan ameshuhudia utiaji saini wa mikataba zaidi ya 30 ya uwekezaji Tanzania yenye thamani ya fedha za Tanzania zaidi ya Trilioni 17 na itakayotoa ajira kwa Watanzania za moja kwa moja zaidi ya laki 2...
  11. sky soldier

    JamiiForums Tanzania PICHA: Putin aliishi Tanzania 1973 hadi 1977 akiwa kama mkufunzi kwa wapigania uhuru

    Pana swala gumu kidogo, Picha ilikuwa ya 1973 lakini google wameandika Putin alimaliza chuo 1975, huenda ni maisha ya kijasusi labda chuoni ilikuwa ni zuga tu huku anaendelea na majukumu mengine. Anyway, nanyi mnaweza kutoa maoni yenu.
  12. Komeo Lachuma

    JamiiForums Tanzania Natafuta Audio Clip ya zaidi ya Dk 5 ambayo Rais Samia anazungumza Kiingereza

    Nitafurahi sana nikipata audio Clip ambayo itazidi dk 5 Rais wetu Mpendwa akichana mistari kwa kiingereza katika mahojiano au maelezo flani sehemu yoyote. Iwe imenyooka haijaungwa ungwa. Nitafurahi sana. Tuachane na haya madai ya watu kuwa yeye huwa mara nyingi anasoma tu. Tunataka kuwaonesha...
  13. figganigga

    JamiiForums Tanzania Watanzania Tunashukuru Mungu kwa kutupa Rais Samia, yule Baba angetutoa roho

    Salaam Wakuu, Pamoja na mapungufu ya mambo ya vyama vya Siasa na Malalamiko ya Demokrasia, safari hii nafuu kuliko wakati ulopita. Rais Samia anaiongoza Tanzania. Na hatoki kwani bado anautamani Urais na ziara za hapa na pale. Watu wanaojipanga kumtoa kwenye kiti chake kwa karatasi...
  14. Influenza

    JamiiForums Tanzania Dubai: Rais Samia akutana na Mtawala wa Dubai

    Rais Samia Suluhu Hassan amekutana na kuzungumza na Makamu wa Rais ambaye ni Waziri Mkuu wa Nchi za Falme za Kiarabu na Mtawala wa Dubai, Sheikh Mohammed bin Rashid Al Maktoum Amekutana naye baada ya kuhutubia katika Maonesho ya Dubai Expo 2020 katika Mji wa Dubai leo Februari 26, 2022
  15. Kamanda Asiyechoka

    JamiiForums Tanzania Je, huyu Rais wetu wa sasa ni Vasco Da Gama mwingine? Ziara za nje zimekuwa nyingi sana kama enzi za Awamu ya Nne

    Awamu ya nne tulishudia Jakaya Kikwete akifanya ziara za nje huku akisahau kabisa masuala ya ndani ya nchi yake mpaka akapachikwa jina Vasco Da Gama. Awamu hii nayo naona ni mwendo uleule. Juzi alikuwa Ulaya. Leo yupo Uarabuni. Hii ishu ya Uarabuni asingeweza kuwakilishwa hata na balozi!
  16. Analogia Malenga

    JamiiForums Tanzania Rais wa Ukraine avaa gwanda na kuingia uwanja wa vita

    Rais wa #Ukraine, Volodymyr Zelensky amevaa Gwanda za Jeshi na kuingia "Uwanja wa Vita" kutetea nchi yake Majeshi ya #Urusi yameripotiwa kuzidi kuingia katika Mji Mkuu wa Ukraine, Kyiv. Awali, kulikuwa na tetesi kuwa Rais huyo amekimbia nchi, ambapo alijitokeza na kuomba Wananchi wapuuzie...
  17. John Haramba

    JamiiForums Tanzania Marekani: Rais Biden amteua Jaji mwanamke mweusi katika Mahakama ya Juu

    Rais wa Marekani, Joe Biden mnamo amemteua Jaji wa Shirikisho Ketanji Brown Jackson kuwa Jaji katika Mahakama Mkuu ya Marekani ambapo atakuwa mwanamke wa kwanza mweusi kujiunga katika mahakama hiyo. Iwapo ataidhinishwa na Bunge la Seneti, mwanasheria huyu mahiri mwenye umri wa miaka 51 atakuwa...
  18. S

    JamiiForums Tanzania Sikio la kufa: Rais wa Ukraine, Zelensky, akataa ofa ya Marekani ya kumtorosha Kyiv asikamatwe na Putin

    Marekani imepiga hesabu zake imeona kuwa Putin atamdaka Rais wa Ukraine ndani ya siku chache mno. Kufuatia hivyo, imeona bora imchukue kibaraka wake huyo (rais wa Ukraine) kwa kumtorosha toka Ukraine ili kumuepushia kifo. Rais wa Ukraine bwana Zelensky amekataa ofa ya Marekani ya kutaka...
  19. S

    JamiiForums Tanzania Rais wa Ukraine awaambia NATO: 'Hii yaweza kuwa mara yenu ya mwisho kuniona nikiwa hai!'

    Rais wa Ukraine Zelensky amewaonya marais na viongozi wa Ulaya katika video call (conference call) kuwa huwenda wasimuone hai tena milele kufuatia jeshi la Urusi linavyozidi kujikusanya na ktk viunga vya mji mkuu wa Ukraine, Kyiv, alimo rais huyo. Ambapo yeye ni taget namba 1. Ktk conference...
  20. B

    JamiiForums Tanzania Uchambuzi: Huruma ya rais Samia imeondoa mateso ya watoto shuleni siku hizi

    UCHAMBUZI- HURUMA YA RAIS SAMIA, ILIVYOONDOA MATESO YA WATOTO SHULE SHIKIZI. Na Bwanku M Bwanku. Leo Ijumaa Februari 25, 2022 kwenye Gazeti la TANZANIA LEO Ukurasa wa 6 nimechambua uamuzi wa Serikali ya Rais Samia kutoa Bilioni 60 kujenga madarasa 3,000 kwenye Vituo Shikizi 970 na kuwaondolea...
Back
Top Bottom