Serikali ya Tanzania imepata msaada wa Euro Milioni 425 (Tsh. Trilioni 1.15) kutoka Kamishineni ya Umoja wa Ulaya (EC) kwa ajili ya kugharamia miradi mbalimbali ya maendeleo, Rais wa Kamisheni hiyo ametangaza kiasi hicho cha msaada baada ya kukutana na Rais Samia ambaye yuko ziarani nchini...
Kwa Hali ya ushahidi ulivyotolewa na Jamhuri watu wafuatao wataitwa na upande wa utetezi kwenda kutoa ushahidi. Lengo la kuwaita watu hao nikutaka kuionyesha Dunia uhusika wao au mtizamo wa juu ya kile kinachoendelea mahakamani. Mashahidi hao ni Hawa wafuatao
1. Mhe. Rais wa JMT, huyu upo...
HABARI MPYA: Kamanda wa Polisi Dodoma amesema yeyote mwenye taarifa kuhusu wahusika waliompiga risasi Tundu Lissu waiwasilishe polisi.
Kwa sasa wamepata taarifa kuwa gari iliyoonekana ni gari nyeupe aina ya Nissan.
Naye mkuu wa mkoa wa Dodoma amesema polisi wameshaanza kufanya upelelezi kuhusu...
Tundu Lissu kwenye maria space ameulizwa anaamini Mhe. Rais atafanyia Kazi Yale waliyojadiliana? Kwa majibu yake ni kwamba, kipimo kinaanza na kesi ya Mbowe. Asipomtoa tarehe 18/02/2022 ni shauri yake. Picha amepata ila furaha iliyotokana na hiyo picha itaondoka Kwa zaidi ya 50%.
Wakimnyima...
Hivi kiongozi mmoja wa ACT Wazalendo anapotoka dharani na kusema kuwa kitendo alichokifanya Lissu cha kukutana na Rais Samia rti wao ndio walishauri hivyo, hivi huyu mtu anaelewa nini kama siyo ushamba na kujikweza?
Hawa watu hawaelewi kuwa CHADEMA wameanza kusaka suluhu ya maridhiano toka JPM...
Balozi wa Marekani Nchini Tanzania, Donald J. Wright amepongeza kitendo cha Makamu Mwenyekiti wa Chama Cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Tundu Antiphas Lissu kukutana na Rais Samia Hassan Suluhu, jana tarehe Februari 16, 2022 katika Jiji la Brussels nchini Ubelgiji.
Balozi amepost picha ya...
Hapo vip!!
Nijambo la kushangaza na kuchekesha leo Tundu Lissu kumuomba Rais Samia atumie mamlaka yake kuondoa kesi inayaomkabili mbowe mahakamani.
Ni wazi Lisu amesikika akisema hii kesi ni ya kutengenezwa na hamna kesi hapo,hivyo alisikika akimuonya Zitto kabwe kutomuombea msamaha mbowe kwa...
Tanzania tupate wapi tena Mtu kama huyu ambae Mungu yuko ndani yake?
1. Rais anayeweza kutunga sheria itakayowafanya Watanzania hasa wanyonge wasilundikwe magerezani kwa kusubiri Upelelezi wa kesi zao Ukamilike,Sasa itakuwa ni marufuku kupeleka mtuhumiwa magereza kama Upepelezi wa kesi yake...
Askofu Dkt. Bagonza ameeleza haya baada ya Rais Samia kukutana Tundu Lissu, naa baadaye Lissu kuongelea kile alichozungumza na Rais.
Lissu anaweza kuwa amekosea kwenda in detail ya mazungumzo na Rais, na wasaidizi wa rais wanaweza kuwa wamekosea kurusha picha za Lissu kukaguliwa, kusisitiza...
Wanajamvi,
Waswahili walisema chelewa ufike. Na pia Bora nusu shari kuliko shari kamili.
Naomba nitoe pongezi zangu za dhati kwa Mheshimiwa Tundu Antipas Lissu kwa hatimae kumuelewa Mheshimiwa Rais wa Jamhuri ya muungano wa Tanzania na Amir jeshi mkuu wa Majeshi ya ulinzi na usalama...
Hamna lisilozungumzika, miaka ya leo uongozi hautaki ubabe, chuki, majungu na upigaji kifua ngumi na mikwara.... mama Samia anaendelea kuweka sawa mambo mengi sana. Leo Kenya na Tanzania biashara baina yetu inapaa kweli kweli, ujinga na utoto wa kuchomeana vifaranga umesahaulika...
Hapa Kenya...
1.Mhe Rais naomba kuchukua Nafasi hii binafsi kukushukuru Kwa maamuzi makubwa uliyofanya Kwa maslahi mapana ya Taifa. Mimi ni mwana Chadema na siku zote msimamo wangu utabaki kuungana na wanaotenda haki na wanaostawisha Taifa na Dunia.
2. Mhe. Rais nina watoto na wajukuu, naamini wewe pia una...
Nimefurahishwa na taarifa rasmi iliyotolewa na serikali kupitia Afisa habari wa kurugenzi ya mawasiliano Ikulu Bi. Zuhura Yunus, kwamba Mh. Rais wa JMT, Bi. Samia Suluhu Hassan akiwa ktk ziara ya kiserikali nchini Ubelgiji amekutana na Mwanasheria, mwanaharakati, mwanasiasa machachari na makamu...
Wanaukumbi.
Tundu Lissu, ameomba kukutana na Raia Samia moja ya ombi ilikuwa ni suala la Freeman Mbowe, alimalise Mbowe atoke jela, ombi hilo ndiyo aliomba Zitto Kabwe, kwa Rais Samia lakini alishambuliwa na wafuasi wa Chadema utadhani kafanya kosa la jinai.
Tundu Lissu, huyu huyu aliyesema...
Katika jiji la Dodoma (makao makuu ya chama na serikali) mifuko ya plastic imerejea kwa kasi kwelikweli, ukienda sokoni, ukanunua matunda unawekewa kwenye mfuko wa plastic kama ile mifuko ya zamani, tofauti ni kwamba mifuko hii inaonesha haitengenezwi hapa ila wana i import... Ndiyo kusema kuwa...
Waziri Mkuu mh Majaliwa amemuagiza IGP Sirro kuwasimamisha kazi RPC na RCO wa Mtwara na OCD na OCID wa Kilindi Tanga ili kupisha uchunguzi wa Tume aliyoiunda.
Pia, Waziri Mkuu Mkuu Kassim Majaliwa ameunda timu maalum ya watu 9 yenye watu kutoka ofisi mbalimbali za serikali ambayo imepewa...
Ndugu wanajamvi, msaada tafadhari anayefahamu anuani au barua pepe ya ofisi ya TISS,
Nimepewa task ya kiofisi nitume barua ya kwenda ofisi TISS makao makuu
Au ni njia gani nyingine naweza kuitumia kutuma barua au kuweza kufika ofisini kwao?
Naombeni msaada tafadhali.
Rais Samia amesema Tanzania ina mpango wa kuanzisha kiwanda cha kutengeneza chanjo za UVIKO-19 ikiwa ni juhudi za kupambana na janga hilo pamoja na magonjwa mengine.
Rais Samia amesema hayo wakati akifanya mazungumzo na Rais wa Baraza la Ulaya, Bw. Charles Michel, jijini Brussels nchini...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.