Rais na Waziri anayehusika fuatilieni gharama za maisha kupanda

Kilamunu

Member
Aug 25, 2021
76
195
Habar zenu,

Kwa kweli maisha yamepanda sana. Wahusika Serikalini tafadhalini sana fatilieni hili jambo.Yaani kila kitu unachogusa bei juu mpaka inatisha.

Cha ajabu nishati kama petroli imeshuka bei lakini bei ya bidhaa nyingine ambazo zilipanda kutokana na ughali wa mafuta zenyewe hazishuki bei mpaka sasa.

Rais na Waziri wake anayehusika na hili jambo please fuatilieni vitu vinavopaswa kushuka kutokana na kushuka kwa bei ya petroli basi vishuke ili maisha yawe nafuu.

Ukikaa tu wafanyibiashara hawawezi kushusha bei. Jamani huku mtaani kwaweli si mchezo.

Hili enzi za Magufuli alijitahidi na Mawaziri wake kulifuatilia lakini kwa sasa naona kama siyo hivyo.
 
Mzilankende Wakati Wake Mwijage Alikuwa Apiga Corner Nyingi Mafuta Ya Kula Na Sukari Zinapanda Bei Zinauzwa Kama Magendo
Mwijage Anapiga Sounds Vinginguti, Jet Kwa Muzrah

Jiwe Akamfyatua Mwijage Mchana Mweupe
 
Back
Top Bottom