rais

  1. Superbug

    JamiiForums Tanzania Rais Samia ni muungwana lakini je atashinda mitego ya wizi wa kura?

    Swali langu ni dogo sana na halihitaji maelezo marefu mama samia ameonyesha uungwana na uvumilivu kwenye mambo mengi mfano kwa Tundulisu na kufungulia magazeti lakini je atashinda kizingiti cha chama chake na dola kutoiba kura kwenye uchaguzi?
  2. B

    JamiiForums Tanzania Tujadili uhusiano Kati ya t-shirt mpya kuvaliwa juu ya shati chafu na misaada kutumika kupamabana na umasikini tunapoangazia mapokezi ya Mhe. Rais

    Nampongeza Mhe. Rais kutamka adharani Kwamba amekwenda ulaya kurejesha mahusiano yaliyoaharibika Kati ya Tanzania na Nchi za Ulaya. Amewaonyesha kamati ya kusifu na kupongeza Kwamba walilitendea vyema tumbo wakaacha Nchi ikiwa na matobo. Pili nimpongeze Kwa juhudi anazofanya, natambua amekuta...
  3. Kipenzi Changu

    JamiiForums Tanzania Try Again: Nitaongea na Rais tumnase Adebayor

    "Huyu ni mchezaji mzuri sana, niliongea na Rais wa USGN 🇳🇪 akaniambia yupo hapa kwa Mkopo akitokea Denmark 🇩🇰, huyu si mchezaji wa kurudi Denmark anatakiwa kucheza Simba Sc, nitaongea na Rais tuvunje benki" Salim Abdallah (Try Again) Adebayor mwenyewe akihojiwa na Patrick Nyembela amesema yupo...
  4. Nyani Ngabu

    JamiiForums Tanzania Ulinzi wa Rais: Ndani ya nchi vs Nje ya nchi

    Hangaya leo karudi toka huko Ulaya alikokuwa. ‘Wenyewe’ wamefurahi sana. Wanadai anaupiga mwingi. Sasa hebu tuliangalie tena suala la ulinzi wake, kwa kiasi na kiwango ambacho tunaweza kukijadili kutokana na kile tunachokiona. Akiwa huko nje ya nchi, ulinzi wake huwa ni wa kawaida sana. Hawa...
  5. T

    JamiiForums Tanzania Karibu nyumbani Rais Samia, siku 10 nje ya nchi zimelijaza Taifa mapene ya maendeleo

    Karibu nyumbani Mhe. Rais Samia Suluhu Hassan. Siku 10 ulizofanya ziara Ufaransa na Ubelgiji, tayali tumepata Fedha nyingi sana kwenda kuongeza nguvu kwenye sekta mbalimbali za maendeleo kama reli na usafiri wa mwendokasi, kilimo, Uchumi wa Buluu, masuala ya Bahari na maendeleo endelevu. Tayali...
  6. T

    JamiiForums Tanzania Rais Samia anajua vyema kuicheza Diplomasia ya Uchumi na kuziingia Siasa za Kimataifa

    Rais Samia Suluhu Hassan anajua sana kuzicheza Siasa za Kimataifa na kuiendea Diplomasia ya Uchumi na ndio maana kwa muda mfupi wa Urais wake ameweza kuzishawishi Jumuiya nyingi za Kimataifa na Mataifa mbalimbali kuiamini Tanzania na kuleta Uwekezaji na mitaji mikubwa kwenye Nchi yetu. Tanzania...
  7. B

    JamiiForums Tanzania Makamu wa kwanza wa Rais Zanzibar: Mrithi wa Maalimu Seif Zanzibar na mwanachama mtarajiwa wa CHADEMA

    Alifukuzwa nafasi ya Mwanasheria Mkuu wa Zanzibar akiwa Bunge la Katiba Mjini Dodoma kutokana msimamo wake juu ya aina ya Katiba mpya itakayofaa Wazanzibar. Alilazimishwa kusema asiyoyaamini akaapa Kwa Mwenyenzi atotenda kinyume na Imani yake akasaliti wito aliopewa na Mwenyenzi MUNGU katika...
  8. mwengeso

    JamiiForums Tanzania Madaraka ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania

    Mjadala ulioshika kasi nchini ni madai ya Katiba mpya, hasa kutoka vyama vya upinzani. Naweka bandiko hili baada ya kusoma michango wa ASKOFU wa Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania (KKKT), Dayosisi ya Karagwe mkoani Kagera, Dk. Benson Bagonza. Nanukuu baadhi ya michango yake: Hoja ya...
  9. sky soldier

    JamiiForums Tanzania Misaada inayotolewa na Ulaya inapaswa kugawanywa 'pasu kwa pasu' baina ya nchi mbili zilizo katika Muungano

    Serikali ya Tanzania imepata msaada wa Euro Milioni 425 (Tsh. Trilioni 1.15) kutoka Kamishineni ya Umoja wa Ulaya (EC) kwa ajili ya kugharamia miradi mbalimbali ya maendeleo, Rais wa Kamisheni hiyo ametangaza kiasi hicho cha msaada baada ya kukutana na Rais Samia ambaye yuko ziarani nchini...
  10. B

    JamiiForums Tanzania Rais Samia, Rais wa Zanzibar, IGP na Mzee Boazi watakubali kufika mahakamani kutoa ushahidi au Jaji atakataa wasiletwe Mahakamani?

    Kwa Hali ya ushahidi ulivyotolewa na Jamhuri watu wafuatao wataitwa na upande wa utetezi kwenda kutoa ushahidi. Lengo la kuwaita watu hao nikutaka kuionyesha Dunia uhusika wao au mtizamo wa juu ya kile kinachoendelea mahakamani. Mashahidi hao ni Hawa wafuatao 1. Mhe. Rais wa JMT, huyu upo...
  11. Vugu-Vugu

    JamiiForums Tanzania Rais Samia apata msaada wa fedha jumla ya shilingi trilioni 1.15 toka EU

  12. chakii

    JamiiForums Tanzania Polisi Dodoma: Mwenye taarifa kuhusu waliompiga Lissu risasi apeleke polisi

    HABARI MPYA: Kamanda wa Polisi Dodoma amesema yeyote mwenye taarifa kuhusu wahusika waliompiga risasi Tundu Lissu waiwasilishe polisi. Kwa sasa wamepata taarifa kuwa gari iliyoonekana ni gari nyeupe aina ya Nissan. Naye mkuu wa mkoa wa Dodoma amesema polisi wameshaanza kufanya upelelezi kuhusu...
  13. B

    JamiiForums Tanzania Tundu Lissu: Rais Samia aamue kubaki na picha au kubakiza furaha Kwa Wananchi

    Tundu Lissu kwenye maria space ameulizwa anaamini Mhe. Rais atafanyia Kazi Yale waliyojadiliana? Kwa majibu yake ni kwamba, kipimo kinaanza na kesi ya Mbowe. Asipomtoa tarehe 18/02/2022 ni shauri yake. Picha amepata ila furaha iliyotokana na hiyo picha itaondoka Kwa zaidi ya 50%. Wakimnyima...
  14. Fundi Madirisha

    JamiiForums Tanzania Huu niseme sijui ni Ushamba wa baadhi ya wanaccm na ACT kuhusu Lissu kukutana na Rais?

    Hivi kiongozi mmoja wa ACT Wazalendo anapotoka dharani na kusema kuwa kitendo alichokifanya Lissu cha kukutana na Rais Samia rti wao ndio walishauri hivyo, hivi huyu mtu anaelewa nini kama siyo ushamba na kujikweza? Hawa watu hawaelewi kuwa CHADEMA wameanza kusaka suluhu ya maridhiano toka JPM...
  15. John Haramba

    JamiiForums Tanzania Balozi wa Marekani Tanzania, Donald J. Wright apongeza Rais Samia, Lissu kukutana uso kwa uso

    Balozi wa Marekani Nchini Tanzania, Donald J. Wright amepongeza kitendo cha Makamu Mwenyekiti wa Chama Cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Tundu Antiphas Lissu kukutana na Rais Samia Hassan Suluhu, jana tarehe Februari 16, 2022 katika Jiji la Brussels nchini Ubelgiji. Balozi amepost picha ya...
  16. Tajiri Tanzanite

    JamiiForums Tanzania Lissu amejiridhisha Mwenyekiti wake hachomoki, ndio maana kaamua kumuombea msamaha kwa Rais Samia

    Hapo vip!! Nijambo la kushangaza na kuchekesha leo Tundu Lissu kumuomba Rais Samia atumie mamlaka yake kuondoa kesi inayaomkabili mbowe mahakamani. Ni wazi Lisu amesikika akisema hii kesi ni ya kutengenezwa na hamna kesi hapo,hivyo alisikika akimuonya Zitto kabwe kutomuombea msamaha mbowe kwa...
  17. M

    JamiiForums Tanzania Tupate wapi tena Rais kama huyu?

    Tanzania tupate wapi tena Mtu kama huyu ambae Mungu yuko ndani yake? 1. Rais anayeweza kutunga sheria itakayowafanya Watanzania hasa wanyonge wasilundikwe magerezani kwa kusubiri Upelelezi wa kesi zao Ukamilike,Sasa itakuwa ni marufuku kupeleka mtuhumiwa magereza kama Upepelezi wa kesi yake...
  18. happyxxx

    JamiiForums Tanzania Askofu Bagonza: Lissu amekosea kueleza in details alichoongea na Rais, akiendeshwa na mashabiki

    Askofu Dkt. Bagonza ameeleza haya baada ya Rais Samia kukutana Tundu Lissu, naa baadaye Lissu kuongelea kile alichozungumza na Rais. Lissu anaweza kuwa amekosea kwenda in detail ya mazungumzo na Rais, na wasaidizi wa rais wanaweza kuwa wamekosea kurusha picha za Lissu kukaguliwa, kusisitiza...
  19. Relief Mirzska

    JamiiForums Tanzania Hongera Tundu Lissu kwa kumuelewa Rais Samia Suluhu, japokuwa it had to be the hard way

    Wanajamvi, Waswahili walisema chelewa ufike. Na pia Bora nusu shari kuliko shari kamili. Naomba nitoe pongezi zangu za dhati kwa Mheshimiwa Tundu Antipas Lissu kwa hatimae kumuelewa Mheshimiwa Rais wa Jamhuri ya muungano wa Tanzania na Amir jeshi mkuu wa Majeshi ya ulinzi na usalama...
  20. MK254

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Rais Samia na Lissu, mwanzo mzuri kwa Watanzania, ndicho tulichokifanya hapa Kenya

    Hamna lisilozungumzika, miaka ya leo uongozi hautaki ubabe, chuki, majungu na upigaji kifua ngumi na mikwara.... mama Samia anaendelea kuweka sawa mambo mengi sana. Leo Kenya na Tanzania biashara baina yetu inapaa kweli kweli, ujinga na utoto wa kuchomeana vifaranga umesahaulika... Hapa Kenya...
Back
Top Bottom