rais

  1. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Rais Samia asingewakumbatia Mchwa wa Ufisadi angeweza kuwa Mama wa Taifa ajaye

    Hayati Baba wa Taifa Mwalimu Nyerere alizungukwa na Watu very Intelligent na Patriotic Kweli kwa Tanzania ila Rais Samia kwa sasa amezungukwa na Mafisadi, Mafia, Wapumbavu ( Mapopoma ) na Wanafiki watupu wakiongozwa na Mswahili Mmoja nimemsahau Jina. Pumzika kwa Amani Babu yangu Hayati Baba wa...
  2. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Askofu Kilaini: Nyerere alikuwa Mtu Mwema. Mwana wa Kanisa, Baba wa Taifa na mwanadamu mwenye harufu ya Utakatifu

    Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Samia Suluhu Hassan akishiriki Misa Takatifu ya kumuombea Hayati Mwalimu Julius Kambarage Nyerere inayofanyika Kwenye Kanisa Kuu Katoliki Jimbo la Bukoba Mjini Mkoani Kagera leo tarehe 14 Oktoba, 2022 Misa hii inayoongozwa na Mhashamu Askofu Methodius...
  3. Pfizer

    JamiiForums Tanzania Shaka amemtia shime Rais Samia Suluhu Hassan azidi kukanyaga na kupiga hatua za maendeleo

    SHAKA:RAIS SAMIA KANYAGA TWENDE,CHAMA KINARIDHISHWA, WANANCHI WANAKUELEWA KATIBU wa Halmashauri Kuu ya Taifa (NEC) ya CCM, Itikadi na Uenezi, Shaka Hamdu Shaka, amemtia shime Rais Samia Suluhu Hassan azidi kukanyaga na kupiga hatua za maendeleo kwa kuwa Chama na wananchi wanaona na kuridhishwa...
  4. S

    JamiiForums Tanzania Erick Kabendera: Mwendazake aliendesha genge la wahuni na alikusudia kumkamata Rais Mstaafu Kikwete

    Legacy inazidi kuzamishwa chini zaidi. Mwendazake alikuwa wa hovyo sana ==== Aliyoandika Kabendera Wale mliouza mali zenu kupata pesa za kuhonga kusaidia plea bargain zenu zikubaliwe mjitokeze kutoa ushahidi. Wafanyabiashara mliopelekwa ofisi maarufu ya serikali, mkatishwa kwa mitutu ya...
  5. Mganguzi

    JamiiForums Tanzania Mikutano ya kisiasa iruhusiwe ukimya uliopo ni mbaya sana

    Labda ni mawazo yangu kulingana na mambo ya hapa na pale yanayotokea kwenye nchi yetu. Wakati sijaanza kukusimulia ndoto yangu. Nikuchekeshe kidogo, utajisikiaje kama utapewa adhabu ya kuto kuongea Kwa angalau siku 7? Ni bora unyimwe chakula au unyimwe zawadi yoyote. Bila shaka kuongea ndio...
  6. N

    JamiiForums Tanzania Rais Samia kusomesha vijana 20 wasiojiweza

    Rais Samia Suluhu katika ufunguzi wa chuo cha ufundi mkoani Kagera leo ameongelea mambo mengi sana lakini lililonikosha ni hili la kusomesha vijana wanaotoka katika familia duni hii inaonyesha kua Rais Samia Suluhu anampango wa kuwainua vijana na kuondokana na Tatizo la ajira Tanzania kupitia...
  7. Jidu La Mabambasi

    JamiiForums Tanzania Ziara ya Rais Ruto: Yule Mkalimani achukuliwe hatua za kinidhamu!

    Mkalimani anatakiwa kuongea verbatim, neno kwa neno kile anachoongea yule anayemsikiliza. Na huo ndio ukalimani proffessional! Mkalimani HATAKIWI kuongeza au punguza maneno ya mtoa hotuba. Tulichoshuhudia mkalimani kuongea vitu ambavyo ni mawazo yake, kunaiweka nchi katika matatizo si ya...
  8. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Rais Samia akishiriki Makabidhiano na Uzinduzi wa Chuo cha Ufundi Stadi na Huduma Kagera, leo Oktoba 13,2022

    Rais Samia akishiriki Makabidhiano na uzunduzi wa Chuo cha Ufundi Stadi na Huduma Kagera, leo Oktoba 13,2022 Muonekano wa Majengo ya Chuo cha Ufundi Stadi na Huduma (VETA) kilichopo, Burugo Kata ya Nyakato Bukoba ambacho kimezinduliwa na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu...
  9. Black Butterfly

    JamiiForums Tanzania Rais Samia kuongoza mjadala wa kitaifa wa Nishati Safi ya Kupikia Nov 1-2, 2022

    Wizara ya Nishati imetangaza kuandaa kongamano la nishati safi ya kupikia yaani ‘Clean Cooking Conference’ ili kuchunguza vikwazo vinavyodumaza matumizi ya nishati za kisasa za kupikia. Kongamano hilo linalenga kupendekeza mikakati ya kufanikisha upatikanaji wa nishati safi, za bei nafuu na...
  10. L

    JamiiForums Tanzania Kasi ya Rais Samia yawapoteza CHADEMA katika ramani ya siasa, hakina tena ushawishi kwa Watanzania

    Ndugu zangu Hivyo Ndivyo Hali Ilivyo kwa Sasa, Kasi ya Rais Samia kuwatumikia watanzania wa makundi yote,vyama vyote, Rika zote, jinsia zote, Kanda zote, Dini zote,makabila yote,maeneo yote na watu wa Hali zote bila ubaguzi wa aina yoyote kumeipoteza Chadema Katika Ramani ya siasa hapa nchini na...
  11. AKILI TATU

    JamiiForums Tanzania Ditopile awaasa juwakita kumuombea Rais Ramia

    MBUNGE wa Viti Maalum Wanawake Mkoa wa Dodoma, Mariam Ditopile amewataka Wanawake nchini kuwa mstari wa mbele katika kuhakikisha kuwa watoto wa kike wanapata elimu iliyo bora ili waweze kushindana kwenye soko la ajira sambamba na kushika uongozi kwenye nafasi mbalimbali. Ditopile ametoa kauli...
  12. Mganguzi

    JamiiForums Tanzania Namwombea msamaha Paul Makonda, ni damu changa iliyozikwa mapema

    Mimi Makonda ni mdogo wangu kiumri na hata kiutumishi. Nilikuwepo wakati akihudumu kama mkuu wa mkoa wa Dar. Ni kijana shupavu asiyeyumba katika jambo analoliamini. Makonda alisaidia sana Jiji la Dar kuwa salama alikimbizana Sana na wauza madawa pamoja na waliotelekeza watoto. Alilimudu Jiji...
  13. wanzagitalewa

    JamiiForums Tanzania Rais Samia anaifanya elimu kuwa bora na nafuu

    Lengo namba nne la Malengo ya Maendeleo Endelevu ya mwaka 2030 ni kuhakikisha watu wote wanapata elimu bora, yenye usawa na kutoa fursa kwa wote kujiendeleza na kufikia vipawa vyao kikamilifu. Ili kufikia lengo hilo, mamlaka zinatakiwa kutoa fursa sana kwa wavulana na wasichana, kuongeza idadi...
  14. EINSTEIN112

    JamiiForums Tanzania Dmitry Medvedev: Mashambulizi ndio kwanza yanaanza

    Kufuatia mashambulio makubwa ya anga kote Ukraine leo, Rais wa zamani wa Urusi Dmitry Medvedev alionya "kutakuwa na mengine". Akiandika kwenye mitandao ya kijamii, mshirika wa karibu wa Rais wa Urusi Vladimir Putin aliashiria kwamba kuongezeka kwa mashambulizi kunaweza kuwa mwanzo wa kuongezeka...
  15. R

    JamiiForums Tanzania Waziri wa Elimu Profesa Mkenda, tunaomba uimulike NACTEVET

    Hawa ni kama hawapo duniani. Bado siku 6 kufungua vyuo, hawajatoa matokeo ya mitihani ya vijana. Ni uzembe mkubwa, wanawaweka watoto katika wakati mgumu na wazazi kujiandaa na malipo yajayo maana huwezi kufanya lolote kabla ya matokeo. Tumelalamika wameziba masikio kwa dharau!
  16. Unavoidable Servant

    JamiiForums Tanzania Rais wa Al Hilal apingwa vikali baada ya kutangaza ofa kwa mashabiki wa Simba kusafirishwa kwenda Sudan

    Rais wa Al Hilal amechafua hali ya hewa, hivi ndivyo unavyoweza kusema baada ya leo kutangaza ofa ya kuwagharamia mashabiki wa Simba walioishangili timu yao Jumamosi kwa Mkapa kuwalipia nauli na makazi bure ili waende kuishangilia tena Al Hilal. Na haya ndiyo majibu ya mashabiki wengi wa Al...
  17. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Rais Samia afanya uteuzi mpya wa Wakili Mkuu wa Serikali na Naibu wake, leo Oktoba 10, 2022

    Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Samia Suluhu Hassan amefanya uteuzi wa Wakili Mkuu wa Serikali na Naibu Wakili Mkuu wa Serikali kama ifuatavyo: Amemteua Dkt. Boniphace Christopher Luhende kuwa Wakili Mkuu wa Serikali. Kabla ya uteuzi huu Dkt. Luhende alikuwa Naibu Wakili Mkuu wa...
  18. World light

    JamiiForums Tanzania Shaka: Falsafa ya Uchumi kuongoza Uchumi yathibitishwa TANZANIA ndani ya siku 558 za Rais Samia

    SIKU 558 ZA SAMIA MADARAKANI MISINGI YA FALSAFA ZA UCHUMI KUONGOZA UCHUMI ZAFANIKIWA- MWENEZI SHAKA KATIBU wa Halmashauri Kuu ya Taifa (NEC) ya CCM Itikadi na Uenezi, Shaka Hamdu Shaka amesema ndani ya siku 558 tangu Rais Samia Suluhu Hassan aapishwe kuwa Rais wa Tanzania, amefanikiwa...
  19. Tindikali

    JamiiForums Tanzania Rais wa miaka 10 wa watu milioni 60, siku yake kubwa kuliko zote maishani ilikuwa kukutana na Michael Jackson na Rihanna!

    Mzee, hujatutendea haki, hujarudisha heshima tuliyokupa. The biggest day of your life haiwezi kuwa siku uliyokutana na Rihanna na Michael Jackson... Jamani! Kwa miaka kumi ukiingia bafuni Mikocheni sisi tunaanza kusimamishwa Kiwalani kujiandaa kukupisha unaenda Airport, ukija msibani na...
  20. BARD AI

    JamiiForums Tanzania Gambia: Rais asema kila aliyehusika na dawa zilizoua watoto 66 atashughulikiwa ipasavyo

    Kwa mujibu wa Ofisi ya Rais, tayari Polisi wameanza kuwahoji maafisa wa Idara ya Udhibiti wa Dawa (MCA) na waagizaji Dawa zinazotajwa kusababisha vifo hivyo. Kwenye taarifa ya Ikulu, Rais Adama Barrow amesema tayari wamefuta leseni za waagizaji wa dawa waliotuhumiwa kwenye sakata hilo na...
Back
Top Bottom