Hilo limetokea wakati Rais Samia Hassan akizungumza na Wananchi wa Runzewe, leo Oktoba 16, 2022
Katibu wa Itikadi na Uenezi wa CCM, Shaka Hamdu Shaka aliwasisitiza Wananchi kuzaa zaidi kwa kuwa madarasa na vituo vya afya vinajengwa na wawekezaji wanaongezeka Nchini
Rais Samia akajibu “Hilo...
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Samia Suluhu Hassan akizungumza na wananchi wa Runzewe mkoa wa Geita, leo tarehe 16 Oktoba, 2022
Kwanza nawashukuru, nimeingia Geita jana asubuhi sana, tumefungua hospitali ya kanda pale chato, lakini tukafungua kiwanda cha kuchenjua dhahabu itakayouzwa...
Zikiwa zimebakia siku chache kabla ya kuanza kwa mkutano mkuu wa Chama cha Kikomnisti cha China (CPC) maonyesho mbalimbali yameandaliwa jiji Beijing ambayo kwa sehemu kubwa yanaonyesha mafanikio ya utawala wa chama hicho ndani ya muongo mmoja uliopita.
Maonyesho hayo yenye kauli mbiu isemayo...
RAIS SAMIA NI PUMZI MPYA YA MAENDELEO
Shaka asema Kasi yake katika kutekeleza miradi ya maendeleo inatoa matumaini makubwa
Amesisitiza kazi nzuri inayofanywa na serikali ya awamu ya sita huku akionya vitendo vya rushwa
Katibu wa Halmashauri Kuu ya Taifa (NEC) ya CCM Itikadi na Uenezi, Shaka...
Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ndugu Samia Suluhu Hassan leo Jumamosi tarehe 15 Oktoba, 2022 amekutana na kuzungumza na wajumbe wa kamati ya siasa Mkoa wa Geita.
#CCMImara
#KaziIendelee
Vipi huko kanda ya ziwa hasa Chato, mkoani Geita ni eneo hatari sana? Inakuaje walinzi wa Rais Samia kusimama juu ya gari? Ndiyo wanawaogopa Sukuma Gang?
Na kuna mgomo wa chini kwa chini juu ya kuchelewesha mishahara ya wachezaji wazawa ila wa kigeni wote mnawatimizia kwa wakati.
Nibishieni hili ili nije na siri nyingine.
Na Jumakilumbi,
15.10.2022
Kile kilichotokea siku ya tarehe 14/10/2022, huko Kagera siku kumbukizi ya miaka 23 tangu alipotutoka Mzee wetu na Mkombozi wetu Mwalimu Julius Kambarage Nyerere kimezua mjadala mzito kwa waumini wa dini ya kikristo na wakosoaji wa serikali na Rais Samia, hapa...
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan akimsalimia Bibi Suzana Magufuli (Mama Mzazi) wa Rais wa Awamu ya Tano Hayati Dkt. John Pombe Magufuli nyumbani kwake Chato Mkoani Geita tarehe 15 Oktoba, 2022.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan akiomba dua...
Hapo juu ni Jengo la kisasa la Makumbusho ya Hayati Magufuli likiwa katika hatua za mwisho kwa kukamilishwa kwake.
Mapema leo, Rais Samia ametembelea na kukagua ujenzi wa Makumbusho lile/hayo ili kujionea mwenyewe hatua zilizofikiwa.
Kwa hilo la kumuenzi Hayati Magufuli kwa kumjengea...
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Samia Suluhu Hassan azungumza na wananchi Kilangalala Mkoani Geita leo tarehe 15 Oktoba, 2022 ambapo pia alitembelea mradi wa ujenzi wa Hospitali ya Rufaa ya Chato na kuzindua Kituo cha Kupoozea Umeme na Kiwanda cha Kusafisha Dhahabu mkoani humo.
=====...
Rais wa Uganda Yoweri Museveni siku ya Jumatano aliamuru waganga wa kienyeji kuacha kuwatibu wagonjwa katika jitihada za kukomesha kuenea kwa ugonjwa wa Ebola, ambao tayari umegharimu maisha ya watu 19 nchini humo.
Katika hotuba yake kwa taifa, kiongozi huyo mkongwe pia aliagiza maafisa wa...
Amin Mohamed Ibrahim ameteuliwa kuwa Mkurugenzi wa Idara ya Upelelezi wa Jinai (DCI) na Rais William Ruto.
Mohamed, bosi wa Kitengo cha Masuala ya Ndani ya Polisi, ana uzoefu wa zaidi ya miaka 30 katika uchunguzi wa makosa ya jinai na aliibuka kinara bora zaidi katika mahojiano ili kuteuliwa...
Ndugu zangu Kuna watu wanaleta ujuaji Sana hapa nchini, Kuna watu wanafikiri kila kitu ni siasa, Kuna watu wanafikiri kila kitu ni sawa na wanavyowaza, kuna watu wanamchukulia Rais Kama raia wa kawaida, kuna watu kwa upeo wao mdogo wanamlinganisha Rais na sisi, Kuna watu wanazani uzito wa Rais...
Uteuzi huo unajumuisha watu 10 ambao watakuwa wakifanya kazi kwa karibu na Mkuu huyo wa Nchi.
Baadhi ya majina mashuhuri kwenye orodha hiyo ni pamoja na aliyekuwa mwanahabari wa Citizen TV Hussein Mohamed ambaye ameteuliwa kuwa Msemaji wa Ikulu na mwanauchumi David Ndii ambaye ameteuliwa kuwa...
Rais Samia amekemea tabia ya viongozi kuwa kimya juu ya ubadhirifu na ubovu wa miradi isiyoendana na thamani ya fedha iliyoko katika maeneo yao na kusubiri mbio za mwenge zije kubaini kasoro za miradi.
Amewataka watendaji kushughulika ipasavyo na kutosubiri mbio za mwenge kujua shida za miradi...
Hayati Baba wa Taifa Mwalimu Nyerere alizungukwa na Watu very Intelligent na Patriotic Kweli kwa Tanzania ila Rais Samia kwa sasa amezungukwa na Mafisadi, Mafia, Wapumbavu ( Mapopoma ) na Wanafiki watupu wakiongozwa na Mswahili Mmoja nimemsahau Jina.
Pumzika kwa Amani Babu yangu Hayati Baba wa...
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Samia Suluhu Hassan akishiriki Misa Takatifu ya kumuombea Hayati Mwalimu Julius Kambarage Nyerere inayofanyika Kwenye Kanisa Kuu Katoliki Jimbo la Bukoba Mjini Mkoani Kagera leo tarehe 14 Oktoba, 2022
Misa hii inayoongozwa na Mhashamu Askofu Methodius...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.