Habari,
Kwangu mwalimu Nyerere namlaumu na nitaendelea kumlaumu kabisa yeye ndio chanzo cha haya yote yanayotea hapa Tanzania.
Ilikuwaje kama yeye Rais baada ya uhuru asingeibadilisha katiba? Na bado akaendelea kutumia katiba ile ile? Hapa nahisi huyu Rais ni wa mchongo kwa maana aliwekwa na...
Ndugu zangu utulivu,amani na mshikamano uliopo hapa nchini ni kutokana na serikali ya Rais Samia kuaminika na watanzania,kuungwa mkono na kupewa ushirikiano wa kutosha kunakotokana na kuendeshwa kwa uwazi na ukweli kwa serikali inayoongozwa na Rais wetu Mama Samia.
Watanzania wanafahamishwa na...
1. Ruhusu mikutano ya Siasa iendelee maana iko Kikatiba na kisheria.
2. Heshimu Haki za binadamu ambazo zimeainishwa kwenye Katiba. Kuna uvunjifu wa haki za binadamu mdogo mdogo
3. Waondoe akina Halima na wenzake bungeni. hawana uhalali wa Kikatiba na Kisheria kuwa pale na wewe unajua fika...
Rais na mwanaye kama makamu waendelea kuongoza Equatorial Guinea, Rais huyo mwenye umri wa miaka 80 ndiye anaongoza duniani kwa kushikilia madaraka kwa muda mrefu kwenye hiyo nchi yenye umaskini uliokubuhu licha ya uwepo wa mafuta mengi.
Afrika yetu patamu, Wazungu na mabeberu watuache na...
Rais Samia ana bidii kubwa katika kufanya kazi lakini siyo kwa sababu zilezile za Magufuli. Wanafanya kazi ambayo kimsingi ni ni ile ile lakini kwa sababu tofauti
Nimeona sometimes watu wanampinga Rais Samia nimejiuliza hawa watu wanatania au vipi? Lakini naona tofauti katika utendaji kazi wa...
Taasisi ya Kupambana na Rushwa (ACB) imesema Saulos Klaus Chilima alipokea Tsh. Milioni 651.5 ili kutoa kandarasi za Serikali kwa mfanyabiashara Zuneth Sattar.
Makamu wa Rais anakabiliwa na mashtaka 6 yanayohusiana na Rushwa, huku mfanyabiashara Sattar aliyekamatwa nchini Uingereza Oktoba 2021...
Kwa kweli utetezi mwingine hata hauna maana...eti kama makamu wa Rais hakuwa na chochote cha kufanya zaidi ya kuwa mtiifu kwa Magufuli!
Wapo wanaoenda mbali na kudai eti yako mengi hakuyaunga mkono ila ilibidi akae kimya ili yasimkute yaliyowakuta waliojaribu kumkosoa Magufuli!
Hata hivyo kuna...
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Samia Suluhu Hassan akiwatunuku Kamisheni Maafisa Wanafunzi Kundi la 03/19 - Shahada ya Sayansi ya Kijeshi na Kundi la 69/21 Refu Pamoja na Mahafali ya tatu ya Shahada ya Sayansi ya Kijeshi Kundi la 03/19 katika Chuo cha Mafunzo ya Kijeshi (TMA) - Monduli...
Rais wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan amesema wakati hajaingia madarakani biashara kati ya Tanzania na Kenya ilikuwa ngumu sana huku akikumbusha vifaranga vilivyochomwa moto mpakani akisema haikuwa sawa kuchoma vifaranga kutoka Kenya.
Chanzo: mwananchi_official
Sasa kama kumbe unamchukia na...
Habari ndugu zanguni.
Kutokana na hali ngumu ya kimaisha ambayo Watanzania wanapitia kwa sasa( ofcourse tulitabiri hili) ni muda sasa vijana wa kitanzania wakawa Absorbed kwenye ajira za viwanda.
Ni viwanda vile tulivyoimbiwa nyimbo na mapambio na wanaccm kwamba vinajenga na kila siku vilikuwa...
Ndugu zangu Ni viongozi wachache Sana wenye moyo Kama alionao Rais mama Samia, Wenye uwezo wa kuvumilia kukosolewa na kila mtu na yeyote, mwenye uwezo wa kumsikiliza kila mtu bila kujari itikadi za kisiasa,mwenye uwezo wa kukaa mezani na yeyote kujadili masuala ya kitaifa,mwenye uwezo wa kusoma...
Rais Samia Suluhu Hassan ameeleza chanzo na jinsi ya kukabiliana na mgao wa maji jijini Dar es Salaam.
Rais anaeleza chanzo cha upungufu wa maji Dar ni kupungua kwa kina cha maji katika Mto Ruvu kilichosababishwa na athari za tabia nchi.
Mheshimiwa Rais pia ameeleza hatua zilizochukuliwa na...
Rais Samia amesema amri ya kuchoma vifaranga 6400 vilivyoingizwa kutoka Kenya miaka mitano iliyopita ilikuwa sio sawa.
Rais Samia kasema hawakushulikia vizuri uingizaji ule wa vifaranga maana pia vifaranga vinavyo haki ya kuishi.
Rais Samia alizungumza haya wakati akiongea na mawakili wa...
Rais Samia Suluhu Hassan amesema “Tulikuwa tunaangalia magereza yetu tukabaini waliofungwa na walio mahabusu idadi yao ni kama ilikuwa sawa, wengi wao ni kesi za kubambikwa ndio maana unakuta mtu yupo ndani miaka mitatu, haendi mahakamani, haulizwi na hakuna kesi ya maana.
“Tulichofanya ni...
Ndugu Zangu Hivyo Ndivyo unavyoweza kusema kuwa Rais Mama Samia Ni Dereva Mahiri na shupavu Sana katika kuliendesha gari hili la Safari ya maendeleo ya Tanzania, Ni dereva Ambaye ameonyesha umaridadi na uzoefu wa kuendesha gari,ameonyesha umakini mkubwa katika safari,ameonyesha kuwajari abiria...
Alichokijenga Dk Bashiru sasa kinambomoa
Alhamisi, Novemba 24, 2022
Wana JF nimepakua hii habari ili kwa wale wasioingia kwenye magazeti muisome
By Luqman Maloto
Novemba 22, 1963 Rais wa 35 wa Marekani, John Kennedy “JFK”, alipigwa risasi na kuuawa. Mshituko ulikuwa mkubwa kuanzia eneo la...
"Sisi hapa Tanzania tumeamua kuizingatia misingi hiyo (haki) na nataka niwahakikishie kwamba tutajitahidi kuijenga Tanzania yenye Haki, Demokrasia , Usawa na Mafanikio. Na ndio maana katika kipindi hiki tumekuja na idea ya zile 4R's". - Rais Samia Suluhu
Rais Samia ameyasema hayo katika mkutano...
Rais Samia Suluhu Hassan akihutubia katika mkutano wa 47 wa wanasheria Afrika Mashariki uliofanyika mkoani Arusha, amesema haya kuhusu kushirikisha watu/taasisi ambazo ziko dhidi yake
Kwa mfano Tanzania, miaka minne mitano iliyopita tulikuwa na Tanganyika Law Society ambayo frankly speaking...
JE RAIS AU MFALME KUNA WATU ANAOWAOGOPA?
Anaandika, Robert Heriel
Jemadari
Huenda nawe ni miongoni unaofikiri kuwa Rais au Mfalme ni mtu asiyemuogopa yeyote, lakini sivyo. Rais au Mfalme ni Binadamu Kama binadamu wengine. Cheo chake kisikuzuzue ukadhani kuwa hakuna anayemuogopa. Hata ukisikia...
Rais Samia Suluhu Hassan, ametoa maagizo tisa katika ziara yake mkoani Manyara ikiwemo kusisitiza kwamba
1. Serikali itaendelea kukopa kwa lengo la kuchochea maendeleo ya haraka. na alisema kuwa maendeleo ni gharama na kuyafikia kunahitaji njia mbili ambazo ni kodi na mikopo hivyo alitutaka...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.