rais

  1. L

    JamiiForums Tanzania Maneno ya Dkt. Bashiru ni shambulizi kwa Rais Samia na yenye ajenda ya siri. Aitwe haraka na kuhojiwa na chama

    Ndugu zangu pamoja na kusikitishwa Na maneno ya mh Dr Bashiru nilishindwa kuandika mawazo yangu mapema kutokana na kusumbuliwa na kioo Cha simu ambacho kinaweka ukungu na hivyo kuwa ngumu kuandika. Na nitakapokuwa nimekosea masuala ya herufi nisamehewe Ndugu zangu maneno ya Dr Bashiru katibu...
  2. ESCORT 1

    JamiiForums Tanzania Walinzi wa Rais Samia wanajisahau, uko wapi usalama wa Rais hapo?

    Picha inajieleza, makosa ni mengi sana. Walinzi wa Rais Samia ni kama wamejisahau. Hii picha inaonesha ni jinsi gani Rais alikuwa hatarini.
  3. S

    JamiiForums Tanzania Dodoma: T- Shirt za CCM zimeandikwa, "Samia Rais, Mavunde Mbunge "

    Nimeona mwana-CCM mmoja amevaa t-shirt yenye maneno hayo muda si mteu hapa Dodoma mjini. Swali ni je, tuko kwenye kampeni? Pili, kwasababu uchaguzi uliopita Samia hakugombea uraisi, bali alikuwa mgombea mwenza, Sasa najiuliza, hizi t-shift zimetengenezwa lini na kwa lengo gani? Wapinzani...
  4. Lusungo

    JamiiForums Tanzania Rais Samia tufufulie mjadala wa EPA

    Kwako mheshimiwa sana Rais Samia Suluhu Hassan tunakuomba sasa ufufue ule mjadala wa nchi kujiunga kwa mkataba wa EPA. Binafsi naona hakukua na mjadala mpana na wenye tija juu ya nchi kuridhia au kutoridhia zaidi sana naona tuliongozwa na ushabiki kuliko facts. Ni vizuri sasa tufanye review ya...
  5. N

    JamiiForums Tanzania Rais kukukumbusha maono yangu ya kulifanyia kazi eneo la Jangwani. Vizazi vitakuingiza katika kundi la mashujaa moja kwa moja

    Hili ono haliishi kunijia, nami, kwa upendo mkuu, nakufikishia Rais wangu mpendwa. Tafadhali fanya kitu pale jangwani; ondoa mateso ya mafuriko kila mwaka tangu tupate uhuru na badala yake ligeuze liwe eneo la kufurahi na kiuchumi, yaani 'kijiutalii' fulani hivi. Mama uwezo (fedha au mbinu za...
  6. chiembe

    JamiiForums Tanzania Bashiru avuliwe ubunge, apewe ukatibu tawala wa wilaya. Ni wakati sasa watu wajue hii ni Awamu ya Sita

    Ni wazi kwamba watu wenye uroho wa madaraja, wanayataka hata kama eakimeaga damu, ambao walikuwa hawamtaki SSH, na Wana kundi lao dogo sana linaloongozwa na NDULI Bashiru (chasaka wa kisiasa, alikuwa CUF, mpaka leo ana kadi huko)na Mpina. Linazama majini kujificha pumzi ikikata linaibuka juu...
  7. Zanzibar-ASP

    JamiiForums Tanzania Makosa makubwa matano ya mwanzo ya kisiasa ya Rais Samia ambayo yanamgharimu sasa

    Kwenye siasa kila maamuzi yanazaa matokeo na matokeo yanaweza kuwa chanya au hasi. Hapa chini nitaweka baadhi ya matukio ya kimaamuzi yaliyofanyika kimakosa na Rais Samia mwanzoni mwa utawala wake na yanamgharimu vibaya kwa sasa. 1. Kurithi baraza la mawaziri la Magufuli. Mbali na kuwa lilikuwa...
  8. Zanzibar-ASP

    JamiiForums Tanzania Fahamu makosa makubwa matano ya mwanzo ya kisiasa ya Rais Samia ambayo yanamgharimu sasa

    Kwenye siasa kila maamuzi yanazaa matokeo na matokeo yanaweza kuwa chanya au hasi. Hapa chini nitaweka baadhi ya matukio ya kimaamuzi yaliyofanyika kimakosa na Rais Samia mwanzoni mwa utawala wake na yanamgharimu vibaya kwa sasa. 1. Kurithi baraza la mawaziri la Magufuli. Mbali na kuwa lilikuwa...
  9. Abu Ubaidah Commando

    JamiiForums Tanzania Rais wa FIFA atoa tamko kuhusu Qatar

  10. Chikenpox

    JamiiForums Tanzania Huyu ndio Rais wa wanyonge sasa siyo yule anajisifu tu wakati wanyonge wanakufa njaa au kutekwa

    Ukiangalia tangu Samia aingie madarakani ajira zimefunguka kila pahala. Sector binafsi imekuwa more strong kiasi Cha kua absorb unemployed youths in street. JPM alirundika graduates miaka mitano hamna ajira serikalini Wala sector binafsi tukawa tunasisitizwa tujiajiri kupitia umachinga so PhD...
  11. CM 1774858

    JamiiForums Tanzania Shaka: Mafuriko na Utitiri huu wa watu kwenye Chaguzi ndani ya CCM ni ishara ya Ushindi wa Tsunami 2024|25 na kukubalika zaidi kwa Rais Samia Suluhu

    UMATI UCHAGUZI WA CCM NI SALAMU ZA TSUNAMI 2024-2025. Shaka asema idadi hiyo kubwa inatokana na uongozi bora wa Rais Samia, Asisitiza uchaguzi wa mwaka huu umevunja rekodi kwa kuwa haijawahi kutokea ==== Chama Cha Mapinduzi (CCM) kimesema mwitikio mkubwa wa wanachama kujitokeza katika...
  12. T

    JamiiForums Tanzania Tunaomba Rais ufanye uteuzi kwa nafasi zilizo wazi muda mrefu

    Habarini, Ninaomba yeyote aliye karibu na Mhe. Rais amfikishie ombi langu mbele yake nalo ni kufanya uteuzi wa nafasi zilizo wazi kwa muda mrefu hususani za utendaji kama wakurugenzi Uteuzi wa nafasi hizo utasaidia utendaji mzuri na kuacha kufanya kazi kwa kujionyesha. Kukaa muda mrefu bila...
  13. Chizi Maarifa

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Rais Ruto: Polisi inapaswa kuwalinda watu wote bila kujali vyama vyao

    Huyu atakuwa amelewa. Hajui madaraka yakoje na tayari anaanza kuwa na akili za Kibeberu. Anaongea maneno gani haya? Utamaduni huu wa kuiga kwa mabeberu. Ni utamaduni wa hovyo. Anataka alete machafuko Kenya na East Africa? Nadhani ameshachoka kuwa Rais. Au ameshiba wenzake wenye uzoefu na Urais...
  14. BARD AI

    JamiiForums Tanzania Rais aliyetawala muda mrefu zaidi duniani anapigiwa kura tena leo

    Anaitwa Teodoro Obiang Nguema Mbasogo, Afisa Mstaafu wa Jeshi anayehudumu kama Rais wa 2 wa Equatorial Guinea tangu Agosti 1979 baada ya kumpindua na kumhukumu kifo Mjomba wake Macías Nguema. Raia 425,000 wanapiga Kura katika Taifa hilo lenye watu 1,512,450. Obiang anachuana na Buenaventura...
  15. Meneja Wa Makampuni

    JamiiForums Tanzania Sidhani kama Kuna Mtanzania aliezidiwa na Maisha Rais wetu anafanya kazi nzuri

    Humlipii mtoto ada, kuanzia darasa la kwanza hadi kidato Cha sita hizo hela ulizotakiwa kulipa ada unazifanyia nini? Rais amedhibiti kwa kiasi kikubwa Mfumuko wa bei za bidhaa, tunaona kushuka Kwa bei za Mafuta, pembejeo za kilimo n.k. Hizo hela zinazobaki baada ya punguzo mnazifanyia nini...
  16. B

    JamiiForums Tanzania Rais wa FIFA awapa makavu wazungu dhidi ya Afrika

    RAIS WA FIFA GIAN INFANTINO. Rais wa FIFA Gian Infantino ameibuka leo na kutoa kauli yenye utata ikiwa imebaki siku moja kuelekea ufunguzi wa mashindano ya Fainali za Kombe la Dunia yanayotarajiwa kufanyika nchini Qatar. Infantino ambaye ni raia wa Switzerland mwenye asili ya Italia amesema...
  17. Kamotee

    JamiiForums Tanzania Mitandao ya simu ipige faida ya internet kwa mara ya mwisho. Elon Musk kuleta internet ya Starlink Tanzania

    Mwakani Elon Musk atazindua huduma ya internet kupitia kampuni yake ya Starlink. Elon Musk alisema kwenye tweet yake kuwa mwakani atazindua huduma ya internet ambayo itakuwa inapatikana dunia nzima bila kujali eneo gani upo. Ikumbukwe kuwa internet ya Elon Musk itakuwa inarushwa na satellite...
  18. J

    JamiiForums Tanzania Dr. Bashiru Ally, wakulima wamemuelewa Rais Samia acha wamsifie anaupiga mwingi, chuki ya nini?

    DR. BASHIRU ALLY WAKULIMA WAMEMUELEWA RAIS SAMIA SULUHU HASSAN ACHA WAMSIFIE ANAUPIGA MWINGI CHUKI YA NINI? DR. BASHIRU ALLY Acha serikali ya awamu ya 6 chini ya Rais SAMIA SULUHU HASSAN ifanyekazi yake ya kuboresha Mazingira ya Kilimo nchini. Chuki, kinyongo na Uchochezi hauna nafasi acha...
  19. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Rais Samia: Zipo Siasa za kuvutana baina ya Mafahari wa dunia na kutaka kuziburuza nchi za Afrika katika Migogoro yenye maslahi yao

    Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Samia Suluhu Hassan akishiriki kikao kazi cha Mabalozi na Menejimenti ya Wizara ya Mambo ya Nje leo tarehe 19 Novemba, 2022 katika Ukumbi wa Golden Tulip Zanzibar SEHEMU YA MAZUNGUNZO YA RAIS SAMIA SULUHU HASSAN KWA MABALOZI WANAOWAKILISHA TANZANIA NJE...
  20. N

    JamiiForums Tanzania Rais Samia Suluhu anasimamia haki za wananchi

    Maneno ya Rais Samia Suluhu ili kuhakikisha haki inatendeka “Naomba mkae na wadau wengine mwangalie uwezekano wa kurekebisha sheria za kuweka mtu mahabusu. Kwenye nchi nyingine, mtu hakamatwi mpaka upelelezi umetimia".
Back
Top Bottom