Ukweli na uwazi wa serikali ya Rais Samia umeleta utulivu na Amani, Kuaminika na Kuungwa Mkono na watanzania

Lucas Mwashambwa

JF-Expert Member
Jul 28, 2022
15,231
9,668
Ndugu zangu utulivu,amani na mshikamano uliopo hapa nchini ni kutokana na serikali ya Rais Samia kuaminika na watanzania,kuungwa mkono na kupewa ushirikiano wa kutosha kunakotokana na kuendeshwa kwa uwazi na ukweli kwa serikali inayoongozwa na Rais wetu Mama Samia.

Watanzania wanafahamishwa na kuelezwa kila kitu kinachokuwa kinaendelea na mikakati au hatua zinazokuwa zinachukuliwa kwa kila kero au tatizo au changamoto inayokuwa imejitokeza mbele yetu Kama Taifa. Rais wetu hataki kuwadanganya watanzania kwa lolote Bali huwaambia ukweli hata Kama Ni mchungu wananchi wake,hii ndio sababu ya kukubalika Kwake na kuungwa mkono na watanzania.

Kila Senti inayopatikana iwe Ni kwa njia ya msaada,mkopo wa riba nafuu au mchango wa wahisani au wadau wa maendeleo Rais Samia amekuwa akiwaeleza watanzania ukweli,anafanya hivyo kwa kuwa anatambua kuwa wenye nchi Ni wananchi na kazi zote afanyazo ni kwa ajili ya watanzania wanaopaswa kufahamu Nini Serikali yao inafanya.

Rais Samia haendeshi serikali gizani Wala kufanyia mambo gizani au kusainia mikataba gizani,popote anakokwenda inje ya nchi na anachokifanya na kukubaliana anatueleza watanzania makubaliano yote yanayokuwaa yamefikiwa na vipi Taifa letu litanufaika.Hii ndio sababu ya kuona watanzania wakiwa na Imani na Rais na kuwa bega kwa bega na Rais wetu na kuwa na Subira pale panapokuwa na changamoto fulani.Hakika hii Ni serikali ya watanzania iliyochaguliwa na watanzania, inayowatumikia watanzania na kwa manufaa ya watanzania.Tuendelee kuiunga mkono na kuipa ushirikiano wakutosha.

Kazi iendeleee, Mama Ametufikia na kuwafikia watanzania kwa utumishi wake uliotukuka wa kugusa maisha ya watanzania wanyonge wasio na sauti.

Lucas Hebel Mwashambwa, kijana mzalendo na mpenda nchi yangu: 0742-676627
 
Hivi wewe ni mzima kweli kichwani! Hata kama ni chawa huwezi kuwa hivi! Huu uongozi wa kindezi uliofeli ndio kila leo unautungia thread!? Stupid!
 
Nakushauri andika vizuri zaidi Sasa hivi machawa ni wengi na wamekuzidi Sana. Jitahidi kuweka na picha na email yako. Bila hivyo hutapata chochote.
 
Ndugu zangu utulivu,amani na mshikamano uliopo hapa nchini ni kutokana na serikali ya Rais Samia kuaminika na watanzania,kuungwa mkono na kupewa ushirikiano wa kutosha kunakotokana na kuendeshwa kwa uwazi na ukweli kwa serikali inayoongozwa na Rais wetu Mama Samia.

Watanzania wanafahamishwa na kuelezwa kila kitu kinachokuwa kinaendelea na mikakati au hatua zinazokuwa zinachukuliwa kwa kila kero au tatizo au changamoto inayokuwa imejitokeza mbele yetu Kama Taifa. Rais wetu hataki kuwadanganya watanzania kwa lolote Bali huwaambia ukweli hata Kama Ni mchungu wananchi wake,hii ndio sababu ya kukubalika Kwake na kuungwa mkono na watanzania.

Kila Senti inayopatikana iwe Ni kwa njia ya msaada,mkopo wa riba nafuu au mchango wa wahisani au wadau wa maendeleo Rais Samia amekuwa akiwaeleza watanzania ukweli,anafanya hivyo kwa kuwa anatambua kuwa wenye nchi Ni wananchi na kazi zote afanyazo ni kwa ajili ya watanzania wanaopaswa kufahamu Nini Serikali yao inafanya.

Rais Samia haendeshi serikali gizani Wala kufanyia mambo gizani au kusainia mikataba gizani,popote anakokwenda inje ya nchi na anachokifanya na kukubaliana anatueleza watanzania makubaliano yote yanayokuwaa yamefikiwa na vipi Taifa letu litanufaika.Hii ndio sababu ya kuona watanzania wakiwa na Imani na Rais na kuwa bega kwa bega na Rais wetu na kuwa na Subira pale panapokuwa na changamoto fulani.Hakika hii Ni serikali ya watanzania iliyochaguliwa na watanzania, inayowatumikia watanzania na kwa manufaa ya watanzania.Tuendelee kuiunga mkono na kuipa ushirikiano wakutosha.

Kazi iendeleee, Mama Ametufikia na kuwafikia watanzania kwa utumishi wake uliotukuka wa kugusa maisha ya watanzania wanyonge wasio na sauti.

Lucas Hebel Mwashambwa, kijana mzalendo na mpenda nchi yangu: 0742-676627
Hivi ww hua ni mzima kweli kweli?
 
watanzania wa lumumba ndo wanamuamin mamayenu mwambien aje huku kanda ya ziwa kama atapata mtu wa kumsikiliza tofauti na mazwazwa wenzenu.
 
Cha kufurahisha Mama mwenyewe unayempigia debe anasema na kukiri ya kwamba nchi imerudi nyuma kutoka uchumi wa kati-chini kurudi kuwa wa chini-juu. Tena akasema tupambane sana ili tuurudishe alipoukuta. Sasa wewe sijui unasifia nini!
 
Back
Top Bottom