Sitasahau siku ambayo nimekutana na Rais Putin ikulu ya Kremlin

Chawa wa lumumbashi

JF-Expert Member
Nov 19, 2022
793
1,749
Nikiwa lecturer bora au kwa namna nyingine nikiwa mmoja wa wafanyakazi bora wa nchi ya nchi ya Russia hatimaye wiki iliopita nimeweza kutimiza ndoto yangu ya kukutana na Rais wa Urusi bwana Vladimir Putin na kuweza kushikana nae mkono ama hakika hayo kwangu ni mafanikio na hata kama nikifa leo basi sio case as long as nimefanikiwa kutimiza ndoto yangu"jokes"

Nilianza kuitwa kwa jina langu la bwana Ngengemkeni Kwilasa basi bwana kelele pale Kremlin zilipigwa balaa na wala sikujui sababu ipi zile kelele kwanini zilipigwa ila nikahisi kwasababu mimi ni shemeji yao au kwanini bwana JamiiForums mimi nimeoa mzungu wa huku Russia na nimeoa kwasababu wakati niko chuo kikuu nilikuwa na akili balaa na pia nimesoma na mtoto wa Putin huku Russia na nilipewa mke kutokana na GPA zangu mpaka wa Russia wakati mke Dr. Marian Zincheko mzaliwa wa Petersburg Russia

Basi bwana,nikaitwa mbele ya Rais puttin nikavalishwa Nishai na kupewa kiasi cha dola 150000 kwa mafanikio yangu ya ku produce one of the best student katika chuo cha kursk university katika somo langu la pharmacology na some lingine la microbiology so vyuo Vingi vimenitaka dunia ikiwemo cha zenith university,ivano University, Cairo American University in Egypt Capetown University,Watford University,synergy University na vyuo vingine ulaya.
 
Nikiwa lecturer bora au kwq namna nyingine nikiwa mmoja wq wafanyakazi bora wa nchi ya nchi ya Russia hatimaye wiki iliopita nimeweza kutimiza ndoto yangu ya kukutana na Rais wa nchi ya urus bwana Vladimir putting na kuweza kushikana nae mkono ama hakika hayo kwangu ni mafanikio na hata kama nikifa leo basi sio case as long as nimefanikiwa kutimiza ndoto yangu"jokes"

Nilianza kuitwa kwa jina langu la bwana ngengemkeni kwilasa basi bwana kelele pale Kremlin zilipigwa balaa na wala sikujui sababu ipi zile kelele kwanini zilipigwa ila nikahisi kwasababu mimi ni shemeji yao au kwanini bwana jamii forum mimi nimeoa mzungu wa huku Russia na nimeoa Kwasababu wakati niko chuo kikuu nilikuwa na akili balaa na pia nimesoma na mtoto wa puttin huku Russia na nilipewa mke kutokana na GPA zangu mpaka wa Russia wakati mke Dr. Marian zincheko mzaliwa wa Petersburg Russia

Hongera
 
Hongera kwa kukutana na huyo mwamba,vipi ulimpa mkono ama ulimuona kwa mbali tu?
 
Sawa msomi wa pharmacology. Msalimie baba mkwe wako Mr. Putting!

-Kaveli-
 
Nikiwa lecturer bora au kwq namna nyingine nikiwa mmoja wq wafanyakazi bora wa nchi ya nchi ya Russia hatimaye wiki iliopita nimeweza kutimiza ndoto yangu ya kukutana na Rais wa nchi ya urus bwana Vladimir putting na kuweza kushikana nae mkono ama hakika hayo kwangu ni mafanikio na hata kama nikifa leo basi sio case as long as nimefanikiwa kutimiza ndoto yangu"jokes"

Nilianza kuitwa kwa jina langu la bwana ngengemkeni kwilasa basi bwana kelele pale Kremlin zilipigwa balaa na wala sikujui sababu ipi zile kelele kwanini zilipigwa ila nikahisi kwasababu mimi ni shemeji yao au kwanini bwana jamii forum mimi nimeoa mzungu wa huku Russia na nimeoa Kwasababu wakati niko chuo kikuu nilikuwa na akili balaa na pia nimesoma na mtoto wa puttin huku Russia na nilipewa mke kutokana na GPA zangu mpaka wa Russia wakati mke Dr. Marian zincheko mzaliwa wa Petersburg Russia

Basi bwana,nikaitwa mbele ya Rais puttin nikavalishwa Nishai na kupewa kiasi cha dola 150000 kwa mafanikio yangu ya ku produce one of the best student katika chuo cha kursk university katika somo langu la pharmacology na some lingine la microbiology so vyuo Vingi vimenitaka dunia ikiwemo cha zenith university,ivano University, Cairo American University in Egypt Capetown University,Watford University,synergy University na vyuo vingine ulaya.
Amka wewe usije ukakojoa kitandani,,
 
FB_IMG_1677269048538.jpg
 
Back
Top Bottom