rais

  1. benzemah

    JamiiForums Tanzania Rais Samia aunda kamati kutathmini utendaji kazi Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki

    Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Samia Suluhu Hassan ameunda Kamati kwa ajili ya kutathmini utendaji kazi wa Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki ili kuiwezesha Wizara hiyo kutekeleza malengo ya Serikali katika kukuza diplomasia ya uchumi na ushirikiano wa...
  2. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Rais Samia, nimefurahi sana Taifa Stars Kufungwa ili Pesa zako zikasaidie hasa Watu wenye Uhitaji na siyo Goigoi wa Viwanjani

    GENTAMYCINE mapema tu leo nilijua kuwa Taifa Stars itafungwa na nilianzisha Uzi wa Kutahadharisha hapa hapa JamiiForums na nashukuru Wachache mno walinielewa japo Nilifumba. Rais Samia acha kupoteza Pesa za Watanzania Kusaidia Watu wasiojielewa (Wachezaji wa Taifa Stars) na badala yake peleka...
  3. Meneja Wa Makampuni

    JamiiForums Tanzania Nyumba ya babu yake Naibu Rais Kamala Harris yatafutwa Zambia

    Makamu wa Rais wa Marekani Kamala Harris ana nia ya kutembelea nyumba ambayo aliwahi kuishi na babu yake miaka ya 1960, jambo ambalo imesababisha msako wa nyumba hiyo kuanza, gazeti la Times la Uingereza linaripoti. Bi Harris, ambaye yuko katika ziara ya siku tisa katika nchi tatu za Afrika...
  4. B

    JamiiForums Tanzania Ditopile afuturisha Dodoma, wamuombea Rais Samia

    Katika Muendelezo wa Mwezi Mtukufu wa Ramadhani, Mbunge wa Viti Maalum Mkoa wa Dodoma Mhe. Mariam Ditopile ameaandaa Iftari na Dua Maalum ya Watoto Yatima na Wajane kuiombea Nchi na kumuombea Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan. Hafla hiyo ya Iftari imefanyika...
  5. Stephano Mgendanyi

    JamiiForums Tanzania Mbunge Latifa Juwakali: Rais Samia ni Mfano wa Kuigwa Amefanya Mkabwa Ndani ya Miaka Miwili.

    MHE. LATIFA JUWAKALI ASEMA RAIS SAMIA NI MFANO WA KUIGWA, AMEFANYA MAKUBWA KWA MIAKA MIWILI MADARAKANI. Mbunge wa Viti Maalum CCM Vijana Mkoa wa Unguja Mhe. Latifa Khamis Juwakali amesema kwa Miaka Miwili ya Madarakani Rais Mhe.. Samia Suluhu Hassan amekuwa mfano wa kuigwa maana amefanya...
  6. Chizi Maarifa

    JamiiForums Tanzania Hapa sasa Rais ametuchanganya sana ujio wa Kamala Harris

    Kuja kwa Makamu huyu wa Marekani inatufanya tuwe njia Panda. Hawa wamarekani tunawachukia sana. Makafiri. Sasa tuseme nini? Rais aliyeko madarakani si kafir. Sasa hapo tunashindwa mpongeza na tunashindwa mkosoa. Maana ni taabu juu ya taabu. Na hawa wamarekani si wanaunga mkono ushoga? Huyu...
  7. mngony

    JamiiForums Tanzania Udhaifu katika miundombinu yetu vipindi vya Mvua, aibu kwetu na ugeni huu mkubwa wa Makamu wa Rais Marekani

    Vipindi vya mvua ( Masika) Miaka yote kumekuwa kukionekana udhaifu wa miundominu yetu hasa barabara kuhimili hali hiyo ya hewa Sura za kujaa kwa maji barabara zetu, kupelekea foleni kubwa, vyombo vya moto kuharibika njiani na uharibifu vyombo hivyo na mali Hata miundombinu mipya kama vile...
  8. N

    JamiiForums Tanzania Ujio wa Makamu wa Rais wa Warekani sio bahati mbaya

    Haya mambo hayatokei kwa bahati mbaya! Rais Samia Suluhu amerudisha sana heshima ya Tanzania kwenye diplomasia na sasa imerejea mahali pake, Serikali ya awamu ya tano ilififisha mahusiano kati ya Tanzania na nchi nyingi lakini Rais Samia Suluhu alipoingia madarakani amefanikiwa kuimarisha...
  9. Anna Nkya

    JamiiForums Tanzania Karibu Kamala Harris, Asante Rais Samia Suluhu

    Kuna kipindi Rais Samia alienda Marekani, halafu ikatokea kwamba hajafika Ikulu ya Marekani. Baasi humu mitandaoni akaanza kushambuliwa hasa na watu wa CHADEMA kwamba hajaonana na viongozi wakuu wa Marekani kisa Tanzania hakuna demokrasia. I dont think kama walisema kweli ila sawa hakwenda...
  10. Guselya Ngwandu

    JamiiForums Tanzania Kwa sasa tunamuhitaji Rais Samia Suluhu kuliko Katiba Mpya

    Jamhuri ya Muungano wa Tanzania... Kwanza pongezi sana kwa kila anayetamani Katiba Mpya kwa sababu nia ya Rais Samia Suluhu kutekeleza nia yake inaonekana wazi. Kwenye Bunge lijalo la Bajeti, Wizara ya Katiba na Sheria inaenda kuomba pesa kwa ajili ya mchakato wa Katiba Mpya. Ni wazi 'Mama'...
  11. Stephano Mgendanyi

    JamiiForums Tanzania Mbunge Ezra Chiwelesa Achaguliwa Kuwa Rais wa Moja ya Kamati Bunge la Maziwa Makuu

    MBUNGE MHE. EZRA CHIWELESA ACHAGULIWA KUWA RAIS WA MOJA YA KAMATI BUNGE LA MAZIWA MAKUU. Tarehe 27 Machi, 2023 umefanyika uchaguzi wa viongozi mbalimbali wa Kamati za Kudumu za Bunge la Nchi za Maziwa Makuu Jijini Juba Sudani Kusini. Katika uchaguzi huo Mbunge wa Jimbo la Biharamulo Magharibi...
  12. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Rais Samia ukimaliza kuchezea Pesa kuisaidia Taifa Stars tunakuomba uwasaidie na Watanzania wote kwenye jambo hili la Muhimu

    Kwa sasa ni rasmi kuwa ukitaka Kumlipia Mwanao Bima yake ya Afya kwa Mwezi ni Tsh 160,000/ na ya Familia ni Tsh 600,000 huna hizo Pesa ukiugua subiria tu Kufa na tukakuzike. Hivyo basi GENTAMYCINE (Zanaki and Makuwa Think Tank) namuomba Mheshimiwa Rais Samia kuwa kwakuwa kumbe kuna Hela za...
  13. B

    JamiiForums Tanzania Makamu wa Rais wa Marekani kuanza ziara Tanzania kesho, dondoo kadhaa kuzijua

    Na Bwanku Bwanku. Wakati huu, Makamu wa Rais wa Marekani Bi. Kamala Harris akitarajia kuanza ziara yake nchini Tanzania siku ya kesho Jumatano Machi 29, 2023, historia ya mahusiano ya Nchi hizi mbili ni ya kusisimua sana ikianza mwaka 1961, miaka 62 iliyopita. Ni ziara ya kimkakati ya...
  14. BARD AI

    JamiiForums Tanzania, JamiiForums Uganda Mtoto wa Rais Museveni atangaza kustaafu utumishi wa Jeshi mwaka huu

    Mtoto mkubwa wa Rais wa Uganda Yoweri Museveni anasema kuwa atastaafu kutoka jeshi mwaka huu, baada ya karibu miongo mitatu ya kuhudumu ndani ya Jeshi. Muhoozi Kainerugaba, jenerali wa jeshi, alitoa tangazo hilo katika chapisho la Twitter. "Nitastaafu UPDF mwaka huu," alitweet. Alitoa tangazo...
  15. BARD AI

    JamiiForums Tanzania Makamu wa Rais wa Marekani, Kamala Harris awataja Harmonize, JUX, Darasa, Zuchu, Alikiba, Mbosso, Jay Melody, Marioo na Platform kwenye Playlist yake

    Makamu wa Rais wa Marekani Kamala Harris ametoa Spotify playlits yake ya nyimbo 25 za Wasanii wa Afrika ambazo anazikubali ambayo ameipa jina la “Safari Zangu: Ghana, Tanzania na Zambia”, kama sehemu ya kukuza muziki na kuwapa hamasa zaidi Wasanii wa Afrika wakati huu ambapo anafanya ziara...
  16. DogoWaNjombe

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mamia ya watu wasiojulikana wavamia ardhi ya Rais mstaafu Uhuru Kenyatta

    Mamia ya watu wasiojulikana wavamia ardhi ya Rais mstaafu Uhuru Kenyatta iliyoko Ruiru [Northland's farm]. Imeripotiwa kuwa wamekata miti kadha na kuondoka na mbuzi. ======= Armed groups breach Kenyatta family-owned Northlands City, loot property Armed groups breached the Kenyatta...
  17. marehem x

    JamiiForums Tanzania Rais Putin ana uwezo kwa kwenda Le Poisson Rouge night club, Manhattan Club akala bata

    Si rahisi kama weng wanavyofikiria, ICC haina ubavu wa kumshika Putin huyu jamaa ana uwezo wa kwenda Le Poisson Rouge night club, Manhattan Club Marekani na akala bata na hakuna wa kimshika. Miaka au hivi karibuni utaona atafanya hilo jaribio la kuingia maeneo tatanishi. Hii inasababishwa na...
  18. N

    JamiiForums Tanzania Kishindo cha Rais Samia 2025

    Uongozi wa Rais Samia Suluhu ambao umeimarisha utawala bora, utengamano wa kisiasa na utekelezaji wa miradi mikubwa ya maendeleo, umezidi kumpa mvuto kwa watanzania wa kada tofauti, ambao wengi wao wamesema anatosha kukalia tena kiti hicho katika uchaguzi mkuu a 2025. Pia wamempongeza kwa...
  19. J

    JamiiForums Tanzania James Mbowe amvaa Askofu Gwajima kuchanganya mikutano ya injili na siasa za Rais Samia

    Kada maarufu wa CHADEMA, James Mbowe ameandika kuhusiana na utaratibu ulionzishwa na Askofu Josephat Gwajima kuendesha mikutano ya Injili huku akitumia kufanya kampeni za siasa. === "Bishop Gwajima nisikilize kwa makini huenda umezungukwa na watu ambao hawakuambii ukweli! Lakini huu usanii...
  20. T

    JamiiForums Tanzania Utabiri: Mungu tunaileta mbele yako kamati itakayopitisha jina la Rais wa Tanzania 2025

    Mungu ulie chanzo cha Taifa la Tanzania watu wako tunakuja mbele yako kwa sala na maombi maalumu juu ya Taifa letu Tanzania. Mungu Baba tunasema Asante kwa kila kiongozi ulie tupa ktk jamuhuri yetu ya Tanzania. Mungu Baba tuna sema Asante kwa kutupa Mashujaa walio lipigania Taifa hili kwa dam...
Back
Top Bottom