Tangu aingie madarakani Rais Samia Suluhu aliahidi vitu vingi na akasema yeye amekuja na nguzo nne zitakazomuongoza katika uongozi wake ambazo ni Maridhino, Ustahimilivu, Mabadiliko pia Kujenga upya. Tumeona amezifanyia kazi nguzo zote nne na sasa yuko katika ujenzi wa Tanzania mpya.
Rais Samia Suluhu kupitia kuwaunganisha wanachama wote wa upinzani kukaa pamoja, hii imekuaw na tafsiri kwamba vyama vyote vimemkubali na 2025 hawatakuwa na nguvu ya kusimamisha Mgombea Urais atakaepingana na Rais Samia maana Mama amefanya yote yale ambayo hayakuwahi kufanyika tangu Tanzania ipate uhuru.
Watanzania wote tumekuwa na tukiimba wimbo mmoja, wa kwamba tuko na mama hadi 2030.
Asante Mama kwa kufanikisha ujenzi wa Tanzania mpya