rais

  1. JamiiForums Tanzania Tetesi: Rais Mstaafu Jakaya Kikwete amelazimika kukatisha ziara yake nchini Korea Kusini ili kuwahi msiba wa Membe

    Nimepenyezewa taarifa kuwa Rais mstaafu Jakaya Kikwete amelazimika kukatisha ziara yake Korea Kusini ili kuja kuhudhuria msiba wa aliyekuwa Waziri wake wa Mambo ya Nje ndugu Bernard Membe aliyefariki leo asubuhi. Iliwahi kuvumishwa wawili hawa kuwa wana undugu lakini Rais Kikwete alikanusha na...
  2. JamiiForums Tanzania Rais Samia Ashusha Neema Miradi ya Trilioni 42.4/=

    Tanzania inatarajia kupata miradi ya hifadhi ya mazingira, mabadiliko ya tabianchi ikiwemo nishati jadidifu yenye thamani ya sh. trilioni 42.4. Miradi hiyo itasaidia kupunguza changamoto ya ukataji miti kwa ajili ya kuni na mkaa kwa muiibu wa Mchango wa Taifa wa Kukabiliana na Mabadiliko ya...
  3. K

    JamiiForums Tanzania DC wa Bariadi, Simon Simalenga anakaidi maagizo ya Rais, Makamu wa Rais na Waziri Mkuu

    Machi 13, 2023 Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa, iliendesha Mafunzo ya uongozi kwa wakuu wa Wilaya wote nchi nzima, hii ni kutoka na Rais Dkt Samia Suluhu Hassan kufanya uteuzi wa Wakuu wa Wilaya. Mgeni rasmi katika ufunguzi alikuwa Makamu wa Rais Dkt. Phillip Mpango...
  4. K

    JamiiForums Tanzania DC wa Bariadi, Simon Simalenga anakaidi maagizo ya Rais, Makamu wa Rais na Waziri Mkuu

    Machi 13, 2023 Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa, iliendesha Mafunzo ya uongozi kwa wakuu wa Wilaya wote nchi nzima, hii ni kutoka na Rais Dkt Samia Suluhu Hassan kufanya uteuzi wa Wakuu wa Wilaya. Mgeni rasmi katika ufunguzi alikuwa Makamu wa Rais Dkt. Phillip Mpango...
  5. JamiiForums Tanzania Namuomba Rais Samia amsaidie huyu dada aliyekuwa muigizaji

    Sina hakika kama imeshaletwa huku au laa, ila mimi ndio nimeiona leo. Nikaona niilete hapa ili mwenye kuweza kusaidia matubabu ya mwigizaji Carina asaidie. Pengine hata tukimega pesa kidogo toka kwenye yale magoli ya Mama si mbaya sana, asaidiwe apelekwe hata India tu. Maelezo kamili yapo chini...
  6. JamiiForums Tanzania Dkt. Mpango: Kuna Mawakili wanatuhumiwa kuchukua rushwa. Profesa Hoseah: Wimbi la Polisi na Vyombo vya Dola kukamata Mawakili ovyo limetulia

    Mkutano Mkuu wa Chama cha Mawakili Tanganyika (The Tanganyika Law Society - TLS) unafanyika Jijini Arusha, leo Mei 11, 2023 ambao Makamu wa Rais, Dkt. Phillip Mpango ndiye mgeni rasmi katika shughuli hiyo. RC Mongella anatoa neno Mkuu wa Mkoa wa Arusha, John Mongella amepata nafasi ya kutoa...
  7. JamiiForums Tanzania Siasa zinaamua pia mpira: Kipindi cha Rais wa Pwani / Zanzibar GSM huwa anachapisha pesa, Timu anayoidhamini itaendelea kutawala hadi 2030

    Kwa mpunga anaoingiza kwenye biashara kwa sasa pesa zinatiririka mithiri ya mashine ya kutoa copy. Kipindi cha Kikwete mambo kwa GSM yalikuwa poa sana japo hakuwa kaingia kwenye mpira. Kipindi cha Magu hali ilikuwa ngumu sana, hapa nakumbuka alikuwa anasumbuliwa hata na kina Makonda Rais wa...
  8. JamiiForums Tanzania Picha ya Kimkakati: Rais Samia na Watoto wa Kitanzania nchini Namibia

    Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan alirejea nchini jana kutoka nchini Namibia. Akiwa nchini humo baada ya kuhitimisha Mkutano wa Dharura wa Wakuu wa Nchi na Serikali wa Jumuiya ya Maendeleo Kusini mwa Afrika (SADC) Troika Jijini Windhoek nchini Namibia, alipata...
  9. JamiiForums Tanzania Kwa hili la katiba mpya rais Samia atalamba dume

    Kwa wacheza karata wanafahamu faida za kulamaba dume na athari za kulamba garasa, nami napenda kumpa wosia Rais Samia Suluhu Hassan kwamba kama atafanikisha upatikanaji wa Katiba mpya, basi atakuwa amelamba dume. Unapocheza karata ukalamba magarasa lazima upate maumivu ya kiakili na...
  10. JamiiForums Tanzania UTEUZI: Rais Samia ateua Mwenyekiti Tume UNESCO

    Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Samia Suluhu Hassan amefanya uteuzi kama ifuatavyo:- Amemteua Prof. Elifas Tozo Bisanda kuwa Mwenyekiti wa Tume ya Taifa ya UNESCO ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. Prof. Bisanda ameteuliwa kuwa Mwenyekiti wa Tume hiyo kwa kipindi cha pili...
  11. J

    JamiiForums Tanzania Rais Samia Atoa Milioni 100, Kuongeza Uzalishaji Mbegu Bora

    RAIS Dk. Samia Suluhu Hassan ametoa sh. milioni 100 kwa Taasisi ya Utafiti wa Kilimo (TARI) Kituo cha Hombolo, kuongeza uzalishaji wa mbegu bora za mazao kwa wakulima. Akizungumza jijini hapa mwisho wa wiki, Meneja wa Kituo cha TARI Hombolo, Dk. Joel Meliyo alisema fedha hizo zimesaidia...
  12. JamiiForums Tanzania Hivi huyu msemaji wa Yanga anadhani Rais Samia hajielewi?

    Mimi ni shabiki wa Yanga (kiasi) ila kitendo cha huyu msemaji wa Yanga kutaka Jumatano kazi ndani ya ofisi za umma kuishia saa sita mchana siku ya Jumatano kwakuwa Yanga inacheza HAPANA. Hata ingekuwa ni final bado hatupaswi kusitisha shughuli za umma kwa vitu vyenye tija kwa wachache huku...
  13. JamiiForums Tanzania Leo Mei 8, 2023 Rais Mstaafu Ali Hassan Mwinyi ametimiza miaka 98

    Happy Birthday Mzee Mwinyi. Umeona niliandika pale mwanzo kwa nini Hussein anakwenda huko kila wakati, kumbe leo birthday ya Mzee.
  14. F

    JamiiForums Tanzania Msisitizo unaowekwa Mara kwa Mara na waziri mkuu na Makamu wa Rais kuwa waliotajwa kuhusika na ufisadi kwenye Ripoti ya CAG, una maana gani?

    Si chini ya Mara mbili kumsikia Makamu wa Rais na Waziri Mkuu kwa nyakati tofauti wakiweka msisitizo na mkazo juu ya waliohusika na ufisadi na waliotajwa na Ripoti ya CAG kuchukuliwa hatua kali za kinidhamu, kiuwajibikaji na kisheria. Je, msisitizo huo wa Mara kwa Mara una maana ipi hasa? Nina...
  15. JamiiForums Tanzania Tetesi: Rais Samia kubadilisha Baraza la Mawaziri hivi punde

    Kufuatia ripoti ya CAG kuonyesha upigaji mkubwa wa fedha za umma, Mh Rais Dokta Samia Suluhu Hassan anatarajia kutengua uteuzi wa mawaziri ambao wizara wanazozisimamia zilionyesha upigaji mkubwa. Aidha, wakurugenzi ambao halmashauri zao zilipewa hati chafu nao watafyekelewa mbali na panga la Mh...
  16. JamiiForums Tanzania Rais Samia Suluhu Hassan akiwa kwenye Mkutano wa Dharura wa Wakuu wa SADC

    Rais wa Tanzania, Mhe Samia Suluhu Hassan ameshiriki Mkutano wa Dharura wa Wakuu wa Nchi na Serikali wa Jumuiya ya Maendeleo Kusini mwa Afrika (SADC) Organ Troika, SADC Troika na Nchi zinazochangia Vikosi vya Jeshi katika Force Intervention Brigade (FIB) Windhoek nchini Namibia tarehe 08 Mei...
  17. JamiiForums Tanzania NEMC wamedhamiria kuua baishara ya baa na sanaa kwa ujumla. Baa itaendeshwa vipi bila muziki? Liquid Bar wamezuiwa kupiga muziki

    Rais Samia kupitia NEMC umeaamua kuuwa baishara za watu na kuuwa biashara za watu ni sawa na kuuwa watu kabisa! Mh Rais wewe na wasaidizi wako mnakula raha kila siku na mko angani kila siku mnakula asali lakini sisi wananchi wengine burudani yetu ni muziki lakini mmeona tunafaidi sana ndio...
  18. JamiiForums Tanzania Heri ya Kuzaliwa Rais Ali Hassan Mwinyi 😄

    Wakuu leo Mei 8, ni siku aliyozaliwa Rais wa Awamu ya Pili Mh. Ali Hassan Mwinyi. Mh. Mwinyi alizaliwa Mei 8, 1925, hivyo leo ametimiza miaka 98. Tunamtakiwa Mzee Mwinyi heri na baraka kwa siku yake ya kuzaliwa.
  19. JamiiForums Tanzania Maoni ya Wadau, Wasomi Kuhusu Hatua ya Rais Samia Kuagiza Kuanza Mchakato wa Katiba Mpya

    Mhadhiri wa Chuo Kikuu cha Kumbukumbu ya Mwalimu Julius Nyerere, Dk. Philip Daninga, alisema Rais Dk. Samia, kuwa, anaishi anazidi kuonyesha misingi ya utawala bora na anatekeleza kwa vitendo yale anayoahidi. Dk. Daninga alisema maelekezo ya Rais Dk. Samia kwa Jaji Mutungi inaonyesha yeye ni...
  20. JamiiForums Tanzania Kasi ya Rais Samia yamuibua Hillary Clinton

    Mke wa Rais wa zamani Marekani na Mgombea Urais wa Marekani mwaka 2016, Hillary Clinton, anafurahishwa na Kazi Kubwa inayofanywa na Rais Dkt. Samia Sulunu Hassan ya kuwaletea watanzania maendeleo. Bi Hillary alitoa kaull hiyo Jijini Washington DC, wakati akizungumza na Mbunge wa Viti Maalumu...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…