Tetesi: Rais Mstaafu Jakaya Kikwete amelazimika kukatisha ziara yake nchini Korea Kusini ili kuwahi msiba wa Membe

Andre-Pierre

JF-Expert Member
Nov 4, 2019
328
1,209
Nimepenyezewa taarifa kuwa Rais mstaafu Jakaya Kikwete amelazimika kukatisha ziara yake Korea Kusini ili kuja kuhudhuria msiba wa aliyekuwa Waziri wake wa Mambo ya Nje ndugu Bernard Membe aliyefariki leo asubuhi.

Iliwahi kuvumishwa wawili hawa kuwa wana undugu lakini Rais Kikwete alikanusha na kusema hawana undugu wa aina yoyote.

Nami kwa niaba yangu na Jamii Foruma natoa pole kwa ndugu, jamaa na marafiki walioguswa na msiba huu, Mungu awape wepesi kipindi hiki kigumu kwenu. Amen
 
Architect/Pele wa siasa za Bongo

Mtoto wa mjini

Rais wa milele

JK Himuselfu....

512-044553.jpg
 
Back
Top Bottom