Gumzo Hotuba ya Rais Samia Mkutano wa BRICS

benzemah

JF-Expert Member
Nov 19, 2014
1,504
3,034
Ushiriki wa Rais Samian Suluhu Hassan na kutoa hotuba katika mkutano wa Kimataifa wa BRICS uliofanyika mini Johannesburg, Afrika Kusini, umewaibua wachumi wamesema ambao mkutano huo una tija kubwa kwa Tanzania katika kumarisha diplomasia ya uchumi, kuipa heshima nchi kimataifa.

Katika mkutano huo uliofanyika juzi Afrika Kusini, ulijumuisha marais wa mataifa makubwa tajiri duniani ikiwemo China, India, Brazil, Iran na mengine ya Afrika huku Rais Samia akipata nafasi ya kuhutubia katika kilele cha mkutano huo

Wakizungumza na gazeti la Habari Leo kwa njia ya simu jana, wachumi hao walisema kitendo cha Tanzania kualikwa kushiriki na kutoa hotuba katika mkutano huo, kimeipa heshima nchi na Rais Dk. Samia kama taifa linalotambulika na kukubalika katika nyanja ya kimataifa.

Kwa upande wake, Mhadhiri wa Chuo cha Uongozi cha Kumbukumbu ya Mwalimu Nyerere, Kampasi Kuu ya Kivukoni, Dk. Philip Daninga, alisema kushiriki kwa Rais Dk.Samia katika mkutano huo, ni ishara kubwa. na hatua nzuri ya kuendelea kuiweka nchi katika nafasi na wakati mzuri wa kukubalika na mataifa yaliyoendelea kiuchumi.
Alisema ni heshima kwa taifa na kwa Rais mwenyewe, kúpata nafasi hiyo katika mkutano mkubwa ambao macho na masikio ya dunia yako hapo kwa kutoa hotuba nzuri.

"Nchi yetu inaheshimika, inaendelea kuaminiwa duniani katika mataifa makubwa na kupewa nafasi ya kutoa neno kupitia hotuba, hakika ni fahari na heshima kubwa ya kujivunia kama taifa." alisema

Aliongeza; "Ni tafsiri ya kujua kuwa nchi ipo katika mazingira mazuri ya kuheshimu demokrasia na utawala bora duniani, hivyo kuthaminika na kutambuliwa had kualikwa na kupewa nafasi hiyo,"

Alieleza kuwa; "Hali hiyo inaonyesha nch: anavyoheshimika na yenye kiongozi makini, mwenye ushawishi mkubwa kimataifa na kusikilizwa, hivyo tuendelee kuilinda na kumuheshimu kiongozi mkuu wa nchi Rais Dk. Samia."
Alisisitiza kuwa; "Kwa hali hiyo, kila Mtanzania aendelee kumuunga mkono Rais Dk. Samia na kumuombea, kwani anatanya mambo makubwa na kuiheshimisha Tanzania.

Vilevile, alisema Tanzania, imendelea kuheshimika kutokana na kuendelea kuwa katika hali nzuri ya kisiasa na ushirikiano na mataifa mengine.

Akielezea suala la mikopo kutoka mataifa hayo yaliyoendelea, alisema nchi hizo zimekuwa zikiweka vikwazo katika masuala ya fedha, hivyo Rais Dk. Samia ameliona hilo a kusisitiza katika mkutano huo mkubwa kupitia hotuba yake aliyoitoa.

Alisisitiza kuwa nchi hizo zinatakiwa kutoa mikopo nafuu, badala ya kuzididimiza chi zinazoendelea na kuiifunza teknoloiia kutoka kwao kupata maono hayo

Katika ushirikiano wa kilimo,Rais Dk. Samia aliziona fursa zilizopo chini, hivyo alitafuta masoko, kushirikiana kiuchumi na kibiashara ili wananchi, wakulima wanufaike na kuzalisha ajira nyingi.

Naye, Mhadhiri wa Chuo Kikuu cha Dar es Salaam (UDSM), Silvester Rugeiyamu, alisema Rais Dk. Samia anafanya vyema katika kuendeleza ushirikiano na urafiki, ambao ulikuwepo muda mrefu, hivyo anauendeleza katika hali nzuri na namna nzuri inayokubalika kimataifa.
 
Sawa, hawa wahadhiri wamemsikia kweli Mama? Kwanini hawajatupia hata hoja moja alizotoa mama katika mkutano huo ?
 
Stop this nonsense, tunataka bandari zetu! Hakuna cha hotuba hapa
halafu useme bandari zetu ziko salama.........HAPA NI BRICKS

1693059358769.png

1693060591854.png

Back
Top Bottom