rais

  1. B

    JamiiForums Tanzania Rais Samia asingembadilisha Balozi Mbelwa Kairuki

    Habari zenu, Siku za hivi karibuni Rais wa Tanzania Mama Samia Suluhu Hassan alifanya mabadiliko ya mabalozi wa Tanzania katika nchi mbalimbali. Kati ya taarifa iliyonishitua ni ya balozi Mbwelwa Kairuki kutolewa China na kupelekwa Kwa Malikia Uingereza. Kwanini kitendo cha...
  2. DogoWaNjombe

    JamiiForums Tanzania FIFA yamsimamisha Rais wa Shirikisho la Uhispania kwa siku 90

    Uamuzi huo umechukuliwa na Kamati ya Nidhamu ya Shirikisho la Soka la Kimataifa (FIFA) kutokana na kitendo chake cha kumbusu mdomoni mchezaji wa Timu ya Taifa ya Wanawake ya Uhispania, Jenni Hermoso Barua ya FIFA kwenda kwa Shirikisho la Soka la Uhispania (RFEF) imeeleza kuwa maamuzi hayo...
  3. benzemah

    JamiiForums Tanzania Gumzo Hotuba ya Rais Samia Mkutano wa BRICS

    Ushiriki wa Rais Samian Suluhu Hassan na kutoa hotuba katika mkutano wa Kimataifa wa BRICS uliofanyika mini Johannesburg, Afrika Kusini, umewaibua wachumi wamesema ambao mkutano huo una tija kubwa kwa Tanzania katika kumarisha diplomasia ya uchumi, kuipa heshima nchi kimataifa. Katika mkutano...
  4. B

    JamiiForums Tanzania Wasaidizi wa Rais Samia: Mkutano wa BRICS nyie Mnamwandalia Rais Hotuba ya North-South Geopolitics

    Asalam. Nimefuatilia hotuba ya Rais wetu Mpendwa. Nikaona maudhui Mengi ni ya Mkutano Mwingine, sio huu. Hotuba imejaa masuala ya North-South badala ya BRICS. Iko hivi, Kwenye Diplomasia na Uhusiano wa Kimataifa kuna miungano mingi ya namna nyingi (Intergrations). North_South ni mojawapo ya...
  5. L

    JamiiForums Tanzania Mungu Ndiye Anayejua Atakayempokea Urais Rais Samia 2030

    Ndugu zangu Watanzania, Uongozi unatoka kwa Mungu,huyo ndiye awezaye kumuinua mtu na kumpa madaraka,huyo ndiye humpa kibali mtu akakubalika ,kuungwa mkono na kupendwa na watu,huyo ndiye humpitisha mtu katika njia ambayo wengine hawapitishwi,huyo ndiye humlinda na kumshindia vita vyote viwavyo...
  6. K

    JamiiForums Tanzania DOKEZO Rais tunakuomba utupie jicho TARURA

    Tunaishukuru Serikali yetu inatoa fedha nyingi sana kwa TARURA ili iendeleze barabara zetu hasa za Vijijini. Kwa mtindo wa sasa labda siyo wote unapotakiwa kupata kazi lazima utoe rushwa to the tune mpaka 4 millioni. Ukiisha kupewa kazi kuna mgao wa Ofisi ya RM Mkoa na Ofisi ya TARURA wilaya...
  7. benzemah

    JamiiForums Tanzania Wasomi wapongeza Rais Samia anavyochungulia fursa kwa Mataifa tajiri

    Wachambuzi wa masuala ya uchumi na diplomasia wamempongeza Rais Samia Suluhu Hassan kuhudhuria mkutano wa mataifa matano tajiri (BRICS), wakisema kitendo hicho kinaimarisha uhusi-ano wa kimataifa na kama Tanzania ikijiunga itakuwa na uchumi imara. Mkutano huo wa siku mbili ulihitimishwa jana...
  8. J

    JamiiForums Tanzania Yevgeny Prigozhin, Boss wa Wagner Group ahofiwa kufariki kwenye ajali ya ndege!

    Prigozhin ahofiwa kufariki katika Ajali ya Ndege Watu 10 wameripotiwa kufariki kwenye ajali hiyo ya ndege Watanzania tumuombee apumzike kwa amani! Source: Al jazeera ==== Kwa mujibu wa Idara ya Habari ya Urusi (TASS), abiria 10 waliokuwa kwenye Ndege Binafsi wamefariki ambapo inaaminika...
  9. B

    JamiiForums Tanzania Viongozi kuweni makini na Watanzania, wengi wao ni Wanafiki

    Asalaam Aleykum. Bila shaka wote mko vizuri na mnaendelea na kazi za ujenzi wa Taifa letu. Leo ninao wosia kwa viongozi wa nchi yetu kuwa makini na raia wao, maana ni ukweli usiopingika kwamba Watanzania wengi ni wanafiki. Mnafiki ni mtu anayejifanya vile asivyo. Kwa maneno mengine, mnafiki ni...
  10. benzemah

    JamiiForums Tanzania Rais Samia ashusha neema Vijijini

    Serikali ya awamu ya Sita chini ya Rais Dkt Samia Suluhu Hassan imedhamiria kuimarisha miundombinu ya barabara katika maeneo ya vijijini na mijini ambapo imetenga sh. bilioni 858.5 kutengeneza barabara zenye urefu wa kilomita 21,058 zikiwemo za kiwango cha lami kilomita 427 na makalavati na...
  11. BARD AI

    JamiiForums Tanzania Rais Putin atuma salamu za Rambirambi kwa Familia za Waliouawa kwenye ajali ya Ndege akiwemo Prigozhin

    Akizungumza katika Televisheni ya Taifa, Rais Vladimir Putin ameitaja ajali ya Ndege hiyo kuwa mbaya na imeua Watu 10 ambao ni Wafanyakazi wa Jeshi Binafsi la Wagner akiwemo Kiongozi wake, Yevgeny Prigozhin ambaye ametoa mchango mkubwa kwa Taifa hilo. Pia, amesema Kamati ya Uchunguzi imeanza...
  12. Azniv Protingas

    JamiiForums Tanzania UTEUZI: Rais wa Zanzibar amemteua Jaji George Joseph kazi kuwa Mwenyekiti wa Tume ya Uchaguzi

    Jaji George Joseph Kazi ameteuliwa leo na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi kuwa Mwenyekiti wa Tume ya Uchaguzi Zanzibar ataapishwa tarehe 28 Agosti, 2023 saa 8 Mchana Ikulu Zanzibar na wajumbe wa Tume hiyo. Uteuzi wake unaanza leo 24 Agosti, 2023...
  13. benzemah

    JamiiForums Tanzania Picha: Rais Samia Afanya Mazungumzo na Rais wa China, Xi Jinping Kwenye Mkutano wa BRICS

    Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akiwa kwenye mazungumzo na Rais wa China Mhe. Xi Jinping kando ya Mkutano wa BRICS unaofanyika Jijini Johannesburg nchini Afrika Kusini tarehe 24 Agosti, 2023.
  14. Nsanzagee

    JamiiForums Tanzania Rais Samia, kunyamaza kuhusu matatizo ya Watanzania ni kufurahia shida zao

    Ni kweli kabisa sisi TANZANIA ndo wa kuhangaika kutafuta kituo kipi chenye mafuta, hapa Tanzania, kweli kabisa Rais? Umeme, vibarua wote wanaofanya kazi kwenye viwanda, wanalaza njaa watoto wao, gereji, salon, wanaishi kwa tabu sana kwa sasa Mungu akupe moyo wa kutovumilia haya mateso ya...
  15. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Rais Samia ashiriki Mkutano wa BRICS Nchini Afrika Kusini

    Mkutano wa kilele wa BRICS umeingia siku ya 3 huko Johanesburg, Afrika Kusini. Nchi wanachama zinapania kuimarisha ushawishi kuukabili muundo wa uchumi wa dunia unaoongozwa na nchi za Magharibi. Viongozi wa muungano wa BRICSwamegeukia ajenda kuu ya mkutano wao, siku moja baada ya Rais wa Urusi...
  16. K

    JamiiForums Tanzania "Heri wao walioushuhudia uongozi wa Rais Samia", yatakuwa maneno ya vizazi vyetu 50-100 ijayo

    Najaribu kuwaza kwa sauti nzito lakini yenye utulivu wa kutosha tutakayoyasikia au vizazi vyetu watakayotamani kuyasikia kutoka kwetu miaka 50-100 ijayo juu ya uongozi wa Rais Samia. Kama vile ambavyo, kizazi kilichokuwa hakipo enzi ya uongozi wa Mwalimu kinavyotamani kumjua Mwalimu kutoka kwa...
  17. benzemah

    JamiiForums Tanzania Rais Samia Kushiriki Mkutano wa BRICS, Afrika Kusini

    Rais Samia Suluhu Hassan akiwasili uwanja wa ndege wa Waterkloof Air Force Base, Pretoria,nchini Afrika Kusini usiku wa kuamkia leo nakulakiwa na viongozi mbalimbali akiwemo Balozi wa Tanzania nchini Afrika Kusini, Meja Jenerali Gaudence Milanzi na viongozi mbalimbali waandamizi wa Ubalozi wa...
  18. J

    JamiiForums Tanzania Mtanzania ahoji Rais Magufuli angekuwa hai Kikwete angesema hayo?

    Mtanzania Omari Hussein amemtaka Rais Jakaya Kikwete kumuacha Rais Samia Suluhu aongoze nchi kwa hekima zake hasa kushughulikia kashfa kubwa inayolikabili taifa kwa sasa ya mkataba wa Bandari na DP World. "Halafu Mstaafu angetulia hayupo kwenye kiti kabisa au anataka Tena ?? hatutaki Escraw...
  19. L

    JamiiForums Tanzania Rais Samia ni chaguo la Mungu na aliandaliwa na Mungu kuongoza Taifa letu

    Ndugu zangu watanzania, Huo ndio ukweli, ndio uhalisia,ndio jibu kwa wale wote wanaojiuliza ujasiri mkubwa alio nao na alio uonyesha Rais samia katika kuongoza Taifa letu pamoja na mafanikio makubwa aliyoyapata ndani ya muda mfupi. Ni dhahiri katika ulimwengu wa kiroho Mwenyezi Mungu alikuwa...
  20. H

    JamiiForums Tanzania 2025: Ahadi yangu kwa Mungu, kura yangu ni kwa Rais mwenye uwezo wa kutunza rasilimali za Tanganyika, na atakaye ahidi kuliondoa Zimwi la DPW

    KURA YANGU NI KURA YA UPENDO KWA TANGANYIKA: Kwa kuwa mihimili inayoongoza nchi yetu imetoa baraka, kwa maana ya serikali, kupitia ikulu imebariki, bunge kwa mbwembwe na bashasha imebariki, na mahakama imeshindwa kutoa msimamo wake kwa kuogopa kuingia madaraka. Sihitaji kuungwa mkono, wala...
Back
Top Bottom