Biden ana uzoefu mkubwa sana wa siasa za Marekani

ward41

JF-Expert Member
Apr 3, 2022
397
1,398
Huyu raisi amebahatika kupita kwenye vyeo vyote vikubwa vya maamuzi.

Amekuwa senator wa Delaware kuanzia 1972 - 2009.

2009 -2016 makamu wa raisi wa Marekani
2021 - present: Rais wa sasa wa Marekani

Biden ana uzoefu mkubwa sana wa siasa za Marekani
Apewe hongera
 
Trump,Husema Joe anayejikongoja!

America the Great Nation,U.S.A
 
jamaa ni mtata kuiko Trump, suburi uchaguzi upite uone moto atakaouwasha
 
Mzee imekuwa taabu sana hata kuongea maneno matano bila kuandaliwa cha kuongea.

Mzee ana tatizo kubwa sana kwenye akili ni marakadhaa anasau sehemu ya kwenda akimaliza kusoma speech.

Mwili umeisha nguvu, kujikwaa kwaa imekuwa kawaida

Hawezi kujibu maswali ya press, shughuli zoye hizo zimehamishiwa kwa mtu mwengine msemaji wa white house.

Biden anabebwa sana na media ila kiutendaji ni sifuri, hivi sasa nchi imevamiwa na maharamia wasio na vibali zaidi ya milioni 6 na Biden kaacha mipaka wazi, Texas wamejaribu kuzuia maharamia yeye anataka kupeleka jeshi kukabiliana na Texas, Ni wazi kwamba itakuwa anakula dili na wanaosafirisha maharamia na hii ni biashara haramu ya human trafficking
 
Back
Top Bottom