rais samia

Samia Suluhu Hassan[a] (born 27 January 1960) is a Tanzanian politician who is serving as the sixth and the first female president of Tanzania since 2021. She is a member of the ruling social-democrat Chama Cha Mapinduzi (CCM) party and the third female head of government of an East African Community (EAC) country.

A native of Zanzibar,[2] Suluhu served as a minister in the semi-autonomous region during the administration of President Amani Karume. She served as the Member of Parliament for the Makunduchi constituency from 2010 to 2015 and was the Minister of State in the Vice-President's Office for Union Affairs from 2010 to 2015. In 2014, she was elected as the vice-chairperson of the Constituent Assembly tasked with the drafting of the country's new constitution.

Suluhu became Tanzania's first female vice-president following the 2015 general election, after being elected on the CCM ticket with President Magufuli. Suluhu and Magufuli were re-elected to a second term in 2020. She briefly served as the second female interim Head of State in the EAC – 27 years after Sylvie Kinigi of Burundi, spanning a period around the end of the year 1993.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Rais Samia akiwa ziara ya kitaifa nchini India, leo Oktoba 9, 2023

    Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akiwa ziara ya kitaifa nchini India tarehe 9 Oktoba, 2023. https://www.youtube.com/live/4CCyGB0ET68?si=SxgeV7L3rZnjBpLi === Rais Samia Suluhu Hassan amesema Tanzania na India zimekubaliana kukuza uhusiano wao wa kihistoria baina...
  2. JamiiForums Tanzania Rais Samia alivyowasili nchini India kwa ziara ya Kikazi ya siku 4

    Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan amewasili jijini New Delhi, India leo tarehe 08 Oktoba, 2023 kwa ajili ya kuanza ziara ya kitaifa ya siku nne nchini humo. Mapokezi rasmi ya Rais Samia yatafanyika tarehe 09 Oktoba, 2023 ambapo atapokelewa na mwenyeji wake Rais wa...
  3. JamiiForums Tanzania Pongezi Rais Samia, Serikali, Kukubali Kubadili Sheria ya Uchaguzi, Tume Huru ya Uchaguzi!. Tuanze na Katiba Kwanza Ndipo Sheria Au?.

    Wanabodi, Kama kawaida yangu kila nipatapo fursa, huja na makala zangu elimishi kuhusu Maslahi ya Taifa, ambazo ni kuhusu jambo lolote la Kisiasa, Kiuchumi au Kijamii . Bandiko la leo ni pongezi kwa Rais Samia na serikali yake, kukubali kubadili sheria ya uchaguzi, na kuunda Tume Huru ya...
  4. JamiiForums Tanzania Maadhimisho ya Siku ya Walimu Duniani: Rais Samia aahidi kutatua changamoto za walimu ili kuleta ufanisi

    Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt.Samia Suluhu Hassan amesema Serikali itaendelea kushughulikia changamoto za Walimu nchini hatua kwa hatua ikiwa ni pamoja na kuwapandisha Madaraja na kutoa malipo ya stahiki mbalimbali. Rais, Dkt. Samia ameyasema hayo tarehe 6 Oktoba 2023, alipokuwa...
  5. L

    JamiiForums Tanzania Rais Samia aendelea kuifungua Tanzania, kuanza ziara ya kikazi Nchini India

    Ndugu zangu Watanzania, Rais wetu mpendwa kipenzi cha Watanzania, Mheshimiwa Mama Samia Suluhu Hassan, anatarajiwa kuanza ziara ya kikazi nchini India kuanzia Tarehe 6-11 mwezi huu wa October kwa mualiko maalumu wa Rais wa nchi hiyo. Katika ziara hiyo, Mheshimiwa Rais ameambatana na...
  6. JamiiForums Tanzania Prof. Lipumba: Nina Matumaini Makubwa na Rais Samia, Chaguzi Zijazo Zitakuwa Huru na Haki!, Mambo ya 2019/2020 Yasijirudie!

    Wanabodi, Nimeanzisha mfululizo wa makala za Uso kwa Uso, au Face to Face Vox Pop, ambapo nikialikwa event yoyote, nitakuwa nafanya mahojiano mafupi ya face to face kupata Vox Pop ya baadhi ya washiriki wa event hiyo Face2Face ya leo ni c̅ M/Kiti CUF, Prof. Lipumba - "Nina Matumaini Makubwa na...
  7. B

    JamiiForums Tanzania Dkt. Samizi ashuhudia Serikali ya Rais Samia ikimwaga vyeti vya kuzaliwa bure kwa watoto

    Mbunge wa Jimbo la Muhambwe mkoani Kigoma, Dkt. Florence George Samizi akiambatana na mkuu wa wilaya ya Kibondo Agrey John Magwaza, leo tarehe 03/10/2023 amekuwa Mgeni rasmi katika zoezi la kampeni ya usajili wa vyeti vya kuzaliwa kwa watoto wenye umri chini ya miaka 5(0-5) ambao umefanyika...
  8. JamiiForums Tanzania Mtaalamu wa mipango na mikakati aonekana Doha kwenye ziara ya Rais Samia

    Watanzania mchangamkie fulsa za mbogamboga na matunda. https://twitter.com/DIONIZKIPANYA25/status/1709048646375805055?t=HyUFD88LmFNZDr0eAmNBSQ&s=19
  9. N

    JamiiForums Tanzania Unyonyaji wa rasilimali na wawekezaji wa kigeni unachangia mapinduzi Africa. DP World utakuwa mfupa mgumu kwa Rais Samia na CCM yake

    Wakati wakuu wa nchi wanachama wa Umoja wa Mataifa walipozungumza mbele ya Baraza Kuu la Umoja wa Mataifa wiki iliyopita, baadhi ya Viongozi wa Afrika hawakuweza kuhudhuria, baada ya kuondolewa madarakani katika mapinduzi ya kijeshi. Mataifa haya hayashiriki mambo mengi yanayofanana nje ya...
  10. JamiiForums Tanzania Rais Samia ateua Katibu Mtendaji wa Tume ya Kurekebisha Sheria

    iyeteuliwa ni George Nathaniel Mandepo akichukua nafasi ya Griffin Venance Mwakapeje aliyeteuliwa kuwa Jaji wa Mahakama Kuu Pia, Rais amemteua Dkt. Saudin Jacob Mwakaje kuwa Mwenyekiti wa Baraza la Sanaa la Taifa (BASATA). Dkt. Mwakaje ji Mhadhiri Mwandamizi wa Chuo Kikuu cha Dar es Salaam...
  11. B

    JamiiForums Tanzania Rais Samia Hassan awasili Doha, Qatar maonesho ya kilimo expo 2023

    Doha 2 October 2023 Mheshimiwa rais Samia Suluhu Hassan awasili Doha, Qatar kwa ajili ya International Horticultural Expo 2023 Doha Picha na habari : Rais Samia Hassan na Waziri wa Nchi anayeshughulikia Ushirikiano wa Kimataifa katika Wizara ya Mambo ya Nje wa Qatar mheshimiwa Lolwah bint...
  12. JamiiForums Tanzania Mbunge Atupele Mwakibete amshukuru Rais Samia, asema Busokelo Sekta ya Afya Wamepiga Hatua Nzuri Sana

    "Namshukuru Mheshimiwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania aliyeniteua tarehe 08 Januari, 2022 kuwa Naibu Waziri wa Uchukuzi. Alituheshimisha sana Vijana, alituheshimisha sana wana Busokelo na Mkoa wa Mbeya kwa ujumla. Ninaamini nilifanya kazi kwa Weledi, Uaminifu na nina hakika bado...
  13. JamiiForums Tanzania Swali Rais Samia yupo Doha Qatar kimyakimya? Kwanini uteuzi wa Mobhare Matinyi ufanyike akiwa Uarabuni?

  14. JamiiForums Tanzania Mobhare Matinyi - Mpiganaji mpya wa Rais Samia kwenye ulingo wa habari na mawasiliano

    Na Kevin Lameck Kama ipo sehemu ambayo Rais Samia Suluhu Hassan amepatia katika teuzi zake za karibuni, bhasi miongoni mwake ni uteuzi wa sasa wa kujaza nafasi iliyoachwa wazi na Gerson Msigwa. Bwana Mobhare Matinyi, Mkuu wa wilaya ya Temeke ameteuliwa kuwa Msemaji mkuu wa serikali na...
  15. JamiiForums Tanzania Mobhare Matinyi ateuliwa kuwa Mkurugenzi wa Idara ya Habari–MAELEZO na Msemaji Mkuu wa Serikali

    Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan amemteua Mobhare Matinyi kuwa Mkurugenzi wa Idara ya Habari–MAELEZO na Msemaji Mkuu wa Serikali. Kabla ya uteuzi huo Bw. Matinyi alikuwa Mkuu wa Wilaya ya Temeke. Uteuzi huu unaanza mara moja. Julai 2, 2023, Rais Rais Samia...
  16. JamiiForums Tanzania Kumtumia mtu mmoja [Rais Samia] kuwa mwakilishi wa jinsia nzima nchini; ni akili timamu kweli?

    Msimamo wangu unajulikana. Nausimamia bila chembe ya soni. Na ndani kabisa katika kilindi cha moyo wangu, najua kuwa niko sahihi. Tena sahihi kabisa. Lakini kuna suala moja ambalo nimeanza kuliona humu ambalo halinipendezi hata kidogo. Hii habari ya kuuhusisha uwezo duni wa Rais Samia na...
  17. JamiiForums Tanzania Rais Samia: Chuo cha Diplomasia sasa kitaitwa Chuo cha Dkt. Salim Ahmed Salim

    https://www.youtube.com/watch?v=Y8ALXkIaiow Rais Samia Suluhu Hassan anatarajiwa kuwa mgeni rasmi wa shughuli ya Uzinduzi wa Tovuti ya Hifadhi ya Nyaraka za Dkt. Salim Ahmed Salim, leo Septemba 30, 2023 katika Kituo cha Mikutano cha Kimataifa cha Julius Nyerere, Dar es Salaam. Maktaba hiyo ya...
  18. JamiiForums Tanzania Uzalendo umeshuka na kutoweka kwa Watanzania bada ya Rais Samia kurithi Urais. Watanzania hawamuaamini kwa kila kila jambo

    Mitaani anaonekana ni rais anaendesha nchi kama picha tu huku wanaomua nchi iende vipi wapo kando . Ameonekana ni rais ambaye hana maamuzi ya msingi. Wanaoiba mali za umma kwa ufisadi mkubwa yuko nao. Watumishi wa hali ya chini wakiiba hata mil 5 anag'aka. Anaendesha nchi kwa kwa kudhibitiwa...
  19. JamiiForums Tanzania Mijitu hii iliyoshindikana unaishia kuiambia "STUPID"?

    Ukihitaji salamu soma kwanza hizi nondo, tofauti na hapo utaambulia chuya! Wakazi wa Pemba & Unguja ni wakazi wa jamii ya Kiswahili ambayo hufanya mambo Ki-Goi Goi mnoooo!,Hii imepelekea hata viongozi wanaopatikana kutoka hizo pande mbili kutokuwa na misimamo mikali kama watu wa...
  20. R

    JamiiForums Tanzania Prof. Kennedy kutenguliwa siku moja baada ya kuapishwa kuwa Katibu Mkuu Wizara nyeti ya Mambo ya Nje kuna shida katika "Vetting" za Viongozi?

    Juzi Mhe. Rais Rais alimteua Prof. Kennedy Gaston kuwa Katibu Mkuu wizara ya mambo ya nje (anayeshughulikia ushirikiano wa Afrika Mashariki). Ijumaa tar. 1 akaapishwa huko Zanzibar. Jumamosi akarudi nyumbani Dsm. Jana jumapili akaenda kanisani kutoa shukrani kwa kuteuliwa lakini jana usiku...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…