Prof. Lipumba: Nina Matumaini Makubwa na Rais Samia, Chaguzi Zijazo Zitakuwa Huru na Haki!, Mambo ya 2019/2020 Yasijirudie!

Pascal Mayalla

Platinum Member
Sep 22, 2008
50,503
113,616
Wanabodi,
Nimeanzisha mfululizo wa makala za Uso kwa Uso, au Face to Face Vox Pop, ambapo nikialikwa event yoyote, nitakuwa nafanya mahojiano mafupi ya face to face kupata Vox Pop ya baadhi ya washiriki wa event hiyo

Face2Face ya leo ni c̅ M/Kiti CUF, Prof. Lipumba - "Nina Matumaini Makubwa na Rais Samia, Chaguzi Zijazo Zitakuwa Huru na Haki!, Mambo ya 2019/2020 Yasijirudie!.

Karibu
View: https://youtu.be/U2sP1sh3Si8?si=38AfGpvn3eiYvNv4

Lengo la hii Vox Pop ni kuwapa sauti the voiceless wasikike, hizi Vox Pop zikiwa nyingi na kuwa compiled together na kupazwa kwa pamoja, zinakuwa ni Vox Pop only, zinakuwa transformed into Vox Populi, na kama ni kweli wasemavyo walimwengu, "Vox Populi is Vox Dei", then viongozi wetu wana wajibu wa kuzisikia sauti hizi kwasababu zina undergo conversion to Vox Dei!.

Wasalaam.

Paskali
 
Ona jinga lingine hili hapa eti ni Prof!!!. Kwa dalili zipi za uchaguzi huru anazoziona? Ili uchaguzi huru uwepo what are the ingredients?
1. Independent electoral commission

2. Voter registration

3. Voters have access to reliable information

4. Citizens can run

5. All voters are able to vote

6. Voters are not intimidated

7. Voting is free from fraud

8. Ballots are counted accurately and the correct results are reported

9. The results are respected

sasa muulize kati ya hizi ( na nyingine ambazo sizijui) kuna mechanism gani in place kuhakikisha those ingredients are satisfied?

Eti na hilo ni Professor! Rubbish1
 
Waliotumwa ns CCM kwenda upinzani kuendeshs vyama wanajulikana😀

Tuko pamoja na lipumba popote alipo "nafsi imesutaaa"!
 
Ona jinga lingine hili hapa eti ni Prof!!!. Kwa dalili zipi za uchaguzi huru anazoziona? Ili uchaguzi huru uwepo what are the ingredients?
1. Independent electoral commission

2. Voter registration

3. Voters have access to reliable information

4. Citizens can run

5. All voters are able to vote

6. Voters are not intimidated

7. Voting is free from fraud

8. Ballots are counted accurately and the correct results are reported

9. The results are respected

sasa muulize kati ya hizi ( na nyingine ambazo sizijui) kuna mechanism gani in place kuhakikisha those ingredients are satisfied?

Eti na hilo ni Professor! Rubbish1
Yeye ana imani tu na unajua IMANI NI BAYANA YA
 
Sifa za dictator, katiba ni kijitabu,kuingiza jwtz ngorongoro,kuzuia Raia kuwasilisha mawazo yao kwenye nchi Yao,kusafiri kwenda nchi nyingine bila kuaga, Pascal are you there?
 
Lengo la hii Vox Pop ni kuwapa sauti the voiceless wasikike, hizi Vox Pop

Mkuu mahojiano ya online za kiswahili zimekuwa kibao na zimefanyika nyingi sana Tanzania.

Ushauri kwako ni kuwa nenda kimataifa sasa tumia lugha ya kiingereza kuwahoji watu maarufu wenye ushawishi utengenze brand ndani ya nchi na kimataifa.

Mahojiano ya watu na "wasiokuwa na sauti" yamejaa kupita kiasi cha mahitaji ya walaji, sasa ni wakati mwanahabari msomi nguli kwenda kimataifa mahojiano yote mwanzo-mwisho kwa kiingereza na kujenga brand kubwa.
 
Ona jinga lingine hili hapa eti ni Prof!!!. Kwa dalili zipi za uchaguzi huru anazoziona? Ili uchaguzi huru uwepo what are the ingredients?
1. Independent electoral commission

2. Voter registration

3. Voters have access to reliable information

4. Citizens can run

5. All voters are able to vote

6. Voters are not intimidated

7. Voting is free from fraud

8. Ballots are counted accurately and the correct results are reported

9. The results are respected

sasa muulize kati ya hizi ( na nyingine ambazo sizijui) kuna mechanism gani in place kuhakikisha those ingredients are satisfied?

Eti na hilo ni Professor! Rubbish1

Wanabodi,
Nimeanzisha mfululizo wa makala za Uso kwa Uso, au Face to Face Vox Pop, ambapo nikialikwa event yoyote, nitakuwa nafanya mahojiano mafupi ya face to face kupata Vox Pop ya baadhi ya washiriki wa event hiyo

Face2Face ya leo ni c̅ M/Kiti CUF, Prof. Lipumba - "Nina Matumaini Makubwa na Rais Samia, Chaguzi Zijazo Zitakuwa Huru na Haki!, Mambo ya 2019/2020 Yasijirudie!.

Karibu
View: https://youtu.be/U2sP1sh3Si8?si=38AfGpvn3eiYvNv4

Lengo la hii Vox Pop ni kuwapa sauti the voiceless wasikike, hizi Vox Pop zikiwa nyingi na kuwa compiled together na kupazwa kwa pamoja, zinakuwa ni Vox Pop only, zinakuwa transformed into Vox Populi, na kama ni kweli wasemavyo walimwengu, "Vox Populi is Vox Dei", then viongozi wetu wana wajibu wa kuzisikia sauti hizi kwasababu zina undergo conversion to Vox Dei!.

Wasalaam.

Paskali

Ngoja waende darasa la wanafunzi 61m kupata shule ya kijitabu! fyuuuuuu! hatuna wasomi tanzania
 
tafakari taratibu , acha kufikiri kwa kasi sana. Mambo ni taratibu kwa hatua....
 
uko sawa na kamili sana comrede ,
ni jambo jema, zuri na muafaka kabisa kupata hisia, misimamo na matarajio ya hawa viongozi wa kisiasa na wengine juu ya uelekeo wa taifa kwa siku za usoni....
 
Ngoja waende darasa la wanafunzi 61m kupata shule ya kijitabu! fyuuuuuu! hatuna wasomi tanzania
Maskiniiiiii Mzee Pascal leo umeabikaaaa kumbe Wasukuma ni wachoyo hivi, yaani Mdude anasema kila hoteli, mgahawa wamenyimwa kula ugali, wali, chai. Maskiniiii halafu nyinyi ndio mnajifanya kupiga magoti kusalimia watu kwa heshima. Mhhhh, aisee, nyinyi Wasukuma ni wabaguziiiii yaani Nyerere amepigania ubaguzi Africa. Nyinyi Wasukuma mnakwenda mbali kwa kuwanyima Watanzania huduma za kijamii! 😎 Jamani, Wasukuma mmetia aibu yaani. Mimi Mzaramo nahama hadi makazi, wewe Mzee Pascal ukae kwa amani hapo. Maswali, lakini leo unabagua watu kwa kuwanyima chakula? Aisee, so sad yaani tumefika mahali Wasukuma mnaona chai, ugali, ni dili. Aibuuuu Wasukumaaaa.
 
Ona jinga lingine hili hapa eti ni Prof!!!. Kwa dalili zipi za uchaguzi huru anazoziona? Ili uchaguzi huru uwepo what are the ingredients?
Mkuu Retired, nimemuweka Prof. Lipumba ili umsikilize hoja zake!, wewe badala ya kusikiliza unaanza kwa kumtukana jinga!.
1. Independent electoral commission
Samia anaunda Tume huru ya Uchaguzi
2. Voter registration

3. Voters have access to reliable information

4. Citizens can run

5. All voters are able to vote

6. Voters are not intimidated

7. Voting is free from fraud

8. Ballots are counted accurately and the correct results are reported

9. The results are respected
Sheria zinabadilishwa yote haya yatafanyika.
sasa muulize kati ya hizi ( na nyingine ambazo sizijui) kuna mechanism gani in place kuhakikisha those ingredients are satisfied?
Maadam sheria zinabadilishwa baada ya kila sheria kunatungwa kanuni
Eti na hilo ni Professor! Rubbish1
Try to be fair!, gentle na usitumie lugha ya maudhi, tumia lugha ya staha!.
P
 
Back
Top Bottom