Baraka Mina
JF-Expert Member
- Sep 3, 2020
- 581
- 574
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan amemteua Mobhare Matinyi kuwa Mkurugenzi wa Idara ya Habari–MAELEZO na Msemaji Mkuu wa Serikali.
Kabla ya uteuzi huo Bw. Matinyi alikuwa Mkuu wa Wilaya ya Temeke.
Uteuzi huu unaanza mara moja.
Julai 2, 2023, Rais Rais Samia Suluhu Hassan alimteua Mwanahabari Mobhare Matinyi kuwa Mkuu wa Wilaya ya Temeke Mkoani Dar es Salaam. Miezi mitatu baadaye amemteua Matinyi kuwa Mkurugenzi wa Idara ya Habari na Msemaji Mkuu wa Serikali.
Matinyi mbali na kuwahi kuwa Mkufunzi katika Kituo cha Diplomasia cha Msumbiji-Tanzania amekuwa Mwanahabari na Mchambuzi wa Maswala mbalimbali mengi yakilenga kuitetea Tanzania. Pia amewahi kuwa na ukurasa – column katika Gazeti la Kingereza la ‘The Citizen’ – The Eagle’s Eye na ameandika Makala mbalimbali kupitia Gazeti la Jamhuri.
Wengi wanamkumbuka Matinyi kwa uchambuzi wake tunduizi wa mabendekezo ya CHADEMA kuhusu Katiba Mpya wakati huo akiwa kama Mshauri Mwelekezi nchini Marekani.
Hata hivyo, kabla ya kuwa Mkuu wa Wilaya, Mwanahabari huyu kitaaluma, alikuwa akitumika kwenye jumuiya ya maendeleo kusini mwa Afrika maarufu kama SADC. Kwa sasa Matinyi anaenda kuziba nafasi iliyoachwa wazi na Gerson Msigwa, aliyeteuliwa kuwa Katibu Mkuu Wizara ya Utamaduni, Sanaa na Michezo.
MAJUKUMU YA KAZI
Lecturer
Mozambique-Tanzania Centre for Foreign Relations
Oct 2013 - Present · 10 yrs 1 mo
Analyst, Columnist
VoA, BBC, RFI, The Citizen, Majira
May 2003 - Sep 2013 · 10 yrs 5 mos
International affairs, Tanzanian and American issues, etc.
Instructor
United States Foreign Service
Feb 2008 - May 2013 · 5 yrs 4 mos
Washington DC
Consultant
Foreign service and educational institutions
Oct 2003 - May 2013 · 9 yrs 8 mos
Marketing executive, bank manager
Corporate America (various)
Oct 2003 - Jan 2008 · 4 yrs 4 mos
Washington D.C. Metro Area
Chief Editor
Business Times Limited
Jun 1998 - May 2003 · 5 yrs
Dar es Salaam, Tanzania
Editor June 1998 - Jan 2000
Instructor
Tanzania School of Journalism
Jan 2002 - May 2002 · 5 mos
Dar es Salaam
Journalist
Business Times Limited
Nov 1993 - Oct 1995 · 2 yrs
Dar es Salaam, Tanzania
ELIMU
American
Master of Arts (M.A.)
2010 - 20122010 - 2012
American
Master of Arts (MA)
2008 – 2010
Johns Hopkins
Master of Arts (M.A.)
2006 - 2008
Osmania
Bachelor of Arts (B.A.)
1995 – 1998
Azania O-Level
Tambaza A-Level
Chanzo: Ukurasa wa Linkedin wa Mobhare Matinyi